Punguza utoto basi unatia aibu wenzioKizimba kinamsubiri mtu. ,Ni suala la muda tu [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2382972
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
ulipotelea wapi kiongozi mda cjaona koment zakoMh leo uzi unatembea ni π₯π₯π₯
Lakini mimi nataka kuzungumza na wachambuzi wangu wa kibahigwa walio niambia kua Russia bila Nukes ni kama mgambo wa JKT hana lolote.
Nisaidieni kuwatag wajomba. Msimsahau yule bingwa wa nanhiu!
Kama utakua unafanya upembuzi basi ungegundua tishio la kutumia nyuklia Putin analosema wala si kwa Ukraine kuna kitu analenga, Ukraine hawa ambao leo wamepigwa na missiles za kawaida tu na nchi nzima ikapoa ndio atumie nyuklia kwao? Ni sawa na kuua sisimizi kwa rungu, hao anawamudu wala hawamsumbui leo kawaonya na siku nyingine ataendelea kuwaonya.Warusi hawana mbinu za kivita za kisasa pia silaha zao za enzi za kisovieti zimefeli vibaya kwenye front line field battle. Alichobaki nacho ni kupiga miji kwa kutumia masafa marefu ili kuharibu miundombinu na kuwatisha wa Ukraine..ila uwanja wa vita front line kachoka vibaya.
Na kwa kauli yake ya leo Ukraine ijiandae anaweza kuwarushia hata nuclear wakati wowote.
Kutumia masafa marefu ni dalili za woga, ni sawa na kumvizia mtu kwa manati..poor Putin..
He will be fixed...time.
Mwana umechangamsha meno ya wengi leo hhhhhhhhhhKinachoniogopesha ni kwamba ndani ya ile circle nzima ya wafanya maamuzi ya kijeshi Urusi, inasemekana Putin pekee ndo mpole na mpenda amani. Vichwa vingine vinapenda shari kuliko kula[emoji3][emoji3]
Dah nimecheka sana,kwamba jamaa kawapakia mkongo mashoga wa Ukraine!!!!teh teh teh homos kina NATO na US wako wapi ?
kamanda mpya kapaka Mkongo, hao m@sh0g@ kazi wanayo
Ataua nchi nzima kwa dakika 15 tuUkraine kapiga daraja tu leo ndio majibu yake hayo, akijaribu kushambulia maeneo mengine ndani ya Russia unahisi nini kitampata?
Mbona nipo kila siku kiongozi, tofauti nimegeuka kua msomaji. Lakini nipo hapa kila kukicha napitia kila comment mkuu!ulipotelea wapi kiongozi mda cjaona koment zako
Putin akiamua hata leo kuimaliza uk anamaliza nimejifunza leo uwezo wakeUkraine wepesi sana...wamepigwa kwa less than 8 hours kwa makombola machache tayari nchi nzima inahaha..hakuna umeme etc...basi hazifanyi kazi, treni zimesimama..Hivi hawa wakipigwa siku tatu mfululizo si nchi inafutika...???
Ndio maana Putin alisema hajaanza anything serious in Ukraine ila hawa mashabiki wa HIMARS wakawa wanafurahia daraja kulipuliwa leo majibu yametoka wanaanza kulia liaAtaua nchi nzima kwa dakika 15 tu
Kama daraja tu hivi ndo waguswe Moscow
Uwiiiii
Hata hao Pentagon wame overestimate Urusi anatumia 2% tu ya nguvu zake-Mkuu MTU kuogopwa na Nchi 28+ zenye uwezo wote wa kiuchumi Duniani sio kitu kidogo.Pentagon walikua sahihi, Russia inatumia 10% tu ya nguvu yake kijeshi Ukraine,
Waliolipua daraja walikua wanampiga nani pale darajani?Dictator anapiga makombora miji ya watu tu
Vya bure gharama boss
China ameshauri dozi iongezweWakileta fyoko fyoko, wanaongezewa tu dozi πππ UE na NATO lazima vianguke
Huyu mwamba anaitwa nani nikamgoogle asee hawa ndo watu sasaBila huyu jamaa leo hii Syria Ingekuwa chini ya Islamic State pamoja na America. Huyu Jamaa aliwanyoosha wamarekani na Islamic State. Huyu ni mad dog chinja chinja.