Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna sehem uliona kwenye katiba ya taifa lako wanahalalisha huo ujinga

Huko kwahao shost zenu wanahalalisha huo upuuzi kikatiba

Alichokifanya huyo mwalimu nikubaka kwanza umeona kabaka watoto

Kwamaendeleo na ustawi wa dunia tuungane wote kuupongeza uvamizi wa PUY OUT nchini UKRAINE

Maana unaleta mafanikio mema mpaka sasa

Wanaokufa bila sababu walale pema peponi

Wale magidi wafe kwawingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh...eti maji ya shingo?!?!?!
 
C mnasema kama IRAN hakuna demokrasia sasa mnalia lia nn

Wanaoandamana IRAN nivibaraka wawamagharibi

Wanatakiwa wakatwe miguu kabla ya kuuwawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii tabia ya sababu za udhaifu binafsi kutafutiwa msababishi na wa kumlaumu ipo hadi huku chini kabisa.

Mwanafunzi ukimuuliza kwann unafeli?
Mwanaume akiulizwa kwann humuudumii mwanao?
Mfanyakazi akiulizwa kwann hufanyi kazi vizuri?

Mara nyingi majibu huwa yanahusisha lawama kwa mtu mwingine na sio udhaifu wa mhusika.
 
Joker Medvedev anawaonya US wasimpe Ukraine silaha kali za kushambulia ndani ya Russia halafu Mrusi wa buza anasema Ukraine wameshapewa silaha za teknolojia ya juu kabisa[emoji16]

Mkuu hakika kwa kiu ambayo NATO wanayo kuona Russia anashindwa kwenye hii SMO ni wazi wameshafanya kila modern&advanced weapons trial na output ni failure tu ndo maana unaona sanction mpaka toilet paper za Russia hivi hizi si ni hasira tu za kichapo anachowapa Russia!
 
Umeongea kama haujui siasa za uchumi wa kimataifa. Hata ingekuwa ni Tanzania ndio superpower, angetumia njia hizo hizo ili kubakia na hadhi yake. Usione Mrusi au Mchina wanapambana na US ukadhani wanafanya vile kwa sababu hawataki uonevu au wana tabia tofauti na US, kila mmoja anapambana ili siku US akiteleza basi waweze kumpiku na wao waje na mipango yao.
Kwa mfano hebu angalia, huku tunalalamika bei ya mafuta imependa sana, wakati huo huo Mrusi anashawishi wazalisha mafuta wenzake wapunguze uzalishaji ili bei zipande. Hii dunia watu wanatumia fursa tu kupiga pesa hakuna cha zaidi.
 
Tanzania tuna vipaji vingi sana vya ujinga.
 

Russia estimated to have spent $400-700 million on Oct. 10 missile strikes​


Tue, October 11, 2022, 12:46 PM·1 min read

Consequences of strikes on the city of Dnipro
It is noted the barrage involved various missiles, such as Kh-101, Kh-555, Kalibr, Iskander, S-300, and Tornado-S.
Read also: Russians launch mass missile strike against numerous Ukrainian cities, including Kyiv
To calculate the cost of these missiles, Forbes Ukraine used the following estimates: the cost of the Kh-101 missile - $13 million, Kalibr - $6.5 million, Iskander - $3 million, Oniks - $1.25 million, Kh-22 - $1 million, Tochka-U - $0.3 million.
 
Simplistic thinking
 
We fwaraa mbona unajisema mwenyewe hapo..unashabikia mabwana zako usa kisa mipira ya kondomu! Akili yako ndo ndogo kiasi kwamba huna upeo wa mambo. Hufuatilii hata hotuba za nyerere baba wa taifa lako kuhusu hao mabeberu na tabia zao..shwain kabisaa
 
Njaa ilipopiga Tanzania mwaka 1974 Nyerere alipewa mahindi ya njano/unga wa yanga kutoka kwa Mabeberu wa Marekani ili Watanzania wale wasife njaa.
We fwaraa mbona unajisema mwenyewe hapo..unashabikia mabwana zako usa kisa mipira ya kondomu! Akili yako ndo ndogo kiasi kwamba huna upeo wa mambo. Hufuatilii hata hotuba za nyerere baba wa taifa lako kuhusu hao mabeberu na tabia zao..shwain kabisaa
 
Australia kutoa mafunzo ya KIJEDA Ukraine .... Sababu yao kuu hii hapa !!

“This is a fight about the international rule of law, about whether sovereign borders will be respected and that is why the world is united in their support for Ukraine against this Russian aggression,” Albanese said.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…