FANYA utafiti ukipewa mkopo wa trilioni saba za korona kwa riba ya asilimia 200 UTALipa kiasi ganiNa yeye kutoa subsidies ,aids za madawa ,vifaa tiba ,elimu na mikopo ya fedha ambayo anazipa nchi zenu hizo za kijinga zilizofail kujiongoza na kuondoa Umasikini kupitia serikali yake ,NGOs ,balozi na IMF na UN agencies nyingine msimpangie sasa na wala msimlazimishe .
Contributor mkubwa pale UN ni yeye na Hakuna big contributor WA foreign aids Chini ya dunia tofauti na yeye .
Kama mbwai na iwe mbwai sasa tuone Nani anamhitaji mwenzake .
Yaani Mimi nawashangaa ni Bora hata nchi nyingine zingeongea si nchi za kijinga kama hizi za Hapa Africa ambazo donor kama USA akijiondoa Tu nchi inarudi Zama za mawe , fanyeni utafiti muone ni kiasi gani hizi nchi zinategemea US aids , handouts na mikopo kwenye budget zake ili kujiendesha .
We jamaa toka utuwekee video hapa unatuonyesha makombora yanapiga daraja la Crimea siziamini tena taarifa zakoJana mrusi akihangaika kurusha makombora ambayo mengi yamezuiwa na mengine kutua barabarani Ukraine imakaanga hii column ya missile launchers kipigo cha Himars tazama zilivyo accurate zinachapa target palepale ni hatari[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anaye ishushia hadhi jf ni ww uliye jaa upuuzi wa kutoa matusi kiholela badala ya hoja, alafu utakuta na ww eti una familia.Wewe uwe Unatumia akili , kuna hoja mnaandika humu ni za kipumbav Sana , mnashusha hadhi ya hii platform , kila siku iukimbilia hoja ya ushoga ,rubbish . Ni uwezo mdogo WA kiakili WA kushindwa kuchambua mambo , Kuna mtu alisha kulazimisha kukuingizia matacleni mwako na kukulazimisha kuwa shoga ?
Huyu gaidi anatakiwa afinywe hadi akojoe damu
Demilitarised and denazified Ukraine patakuwa mahali salama.Kwani Afghanistan/Zimbabwe/Burundi wapo wangapi kwa gharama za yeyote?
Kwenye porojo zako zote umesahau kuweka hii ya zaidi ya 50% ya silaha za nuclear za US zinabebwa na nyambizi zilizotawanyika kote duniani. Itabidi Russia wakianza kushambulia West kwa nuclear wazikusanye na submarines zote za West sehemu moja wazimalize kabla wao hawajamalizwa.
Mkubwa bi mkubwa tu, Russia anajaribu kujitutumua tu, lakini kihualisia jamaa ni wepesi sana kama pamba,Mmarekani anatoa USd billion 100+ kila mwaka kama misaada Tu hapo hata mikopo haijawa included
Huyu gaidi hatari, alitaka kumeza line ya simu na simu yenyewe, wamemuwahi!
"Wanazi wapo wapi"........... Wa Russia wengi waloenda vitani yukreni wamewauliza wenyeji swali hilo.Demilitarised and denazified Ukraine patakuwa mahali salama.
Kapumzishe akili,stress zikiisha utakuja humu kujadili hoja!Kwa ushauri tu,mkiwa na stress kwenye mihamgaiko ya maisha,msije nazo humu JF!Wewe uwe Unatumia akili , kuna hoja mnaandika humu ni za kipumbav Sana , mnashusha hadhi ya hii platform , kila siku iukimbilia hoja ya ushoga ,rubbish . Ni uwezo mdogo WA kiakili WA kushindwa kuchambua mambo , Kuna mtu alisha kulazimisha kukuingizia matacleni mwako na kukulazimisha kuwa shoga ?
ukisha kuwa huna hela huna sautiKisa unapewa msaada ndio upangiwe adui na rafiki?Kisa unapewa msaada ndio uwapigie magoti kila wakitakacho mkifanye?Ndio hayo ya kulazimishwa ushoga wakati ni kinyume na Mila na desturi zetu!Fikra za hivi ni za kitumwa!Sasa mnamuitaje baba wa demokrasia wakati anatumia uwezo wake kiuchumi na kijeshi kukandamiza nchi huru?
Misaada hata kama sio ya kiwango Cha US,mbona nchi nyingi zinatupa misaada na hawatuchagulii marafiki Wala maadui?
Msikilize waziri wa mambo ya nje wa South Africa alichomchana Blinken!
Russia anatakiwa kuimarisha uchumi wake mengine yote yatamfata, wakiwemo na hawa akina yukreni anaolazimisha kuwamiliki watamfuata pasipo kuwarushia hata risasi.Mkubwa bi mkubwa tu, Russia anajaribu kujitutumua tu, lakini kihualisia jamaa ni wepesi sana kama pamba,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama nakiona vile kifua chako kilivyojaa chuki na mihasira [emoji16]Halafu haya mavaa kobaz yalivyojificha Kwa kisingizio cha u pro Russia ni majinga Sana , eti jitu limevimbiwa kiporo cha maharage in the middle of nowhere linaandika humu eti NATO alliance ni undemocratic , how stupid and pathetic that is , out of all 30+ members of the alliance Kura ya member wawili Turkey na Hungary ndio imesababisha process ya kuadminister new members isimame , where on earth you can get that ? Kama huyo mmarekani wanaesema ndio ananguvu Kule si angeforce Sweden na Finland wajoin the alliance ?
Yule jamaa naiskia ni Shoigu mwenyeweKwahiyo mkuu huyo memba wa jf ambaye unamtumia kama ushahidi wako siku hizi ana cheo ndani ya serikali ya Urusi?
Na Bado mnamuita baba wa demokrasia?ukisha kuwa huna hela huna sauti
sawa ila ukiwa huna hela huna sauti hata mtaani iko ivoNa Bado mnamuita baba wa demokrasia?
South Africa aliwavimbia