Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Supa pawa anapokopa vi drones toka Iran...inatia mashaka makubwa..
Mkuu,pole sana! hawa jamaa hawana ubongo wa kuelewa vitu kama hivyoRais wa Sri Lanka aliondolewa Kwa kura?Nguvu ya Umma ikiamua,nayo ni demokrasia!Maana Kwa mujibu ya demokrasia ya west ni Kuwa power belongs to the people!
Mfano Leo Russia wananchi waandamane watake Putin aondoke madarakani,hatutaona kauli za hivi!Media zote za west na wafuata nyayo zao kama wewe mtakuwa mkiwapa airtime za kutosha na kusupport jambo Hilo,hamtakumbushia njia za kidemokrasia!
Huo ndio unafiki wa west!
Wakati Iran amezima internet Ili machafuko na maandamano yasitapakae nchi nzima,US wao wakaiondolea vikwazo Iran kwenye internet na kumlipa mkwanja Elon musk awawashie internet wananchi Ili waendelee kuhamasishana na kuleta vurugu nchi isitawalike!
Matokeo yake watu wengi wamekufa na wanaendelea kufa!
Naomba ieleweke siungi mkono sheria Kali za Irani dhidi ya mavazi Kwa wanawake!
Lakini usalama wa nchi ni muhimu!Civil unrest sio jambo la kuchezea,kama umetulia na familia Yako,una kamradi Kako na maisha yameanza kunyooka,unaweza kunielewa zaidi Ninaposema civil unrest can take you back to zeroo!
Watakutana na mziki wa Tirada-2SGharama ya kumaintain starlink ni ndogo sana ukilinganisha na misaada mingine.
Kyiv vows to find solution to keep Starlink working in Ukraine
Hizo submarine anazo mrusi peke yake sio? Hivi Kuna nchi Ina idadi kubwa ya submarine zaidi ya marekani?[emoji848]SUBMARINE FULL NUKE IPO BARAZANI KWAKE UKIILIPUA NDO UMEJILIPUA UKIIACHA NDIO INAKUSUBIRI BARAZANI. NGOJA MJERUMANI NAE AAMKE AKUTE MZIGO UPO UPENUNI
EU, UK, Japan na US ndio wameweka vikwazo vya kiuchumi kwa Urusi sio NATO.
Juzi pale UN kajitahidi sana kura zisiwe against him kakwama...UN ikapigilia msumari wa mwisho dadadeq...kura za kupora majimbo ni za uzushi, zoezi feki ..hazitambuliki yaani anazijua yeye na mkewe tu.Na superpower anayelilia mafuta ya saudia??[emoji23][emoji23]
NATO hajatia mguu wowote kwa vita hii...ila wameuambia Umoja wa Mataifa juzi kwamba endapo Putin atathubutu kurusha nuclear yoyte basi wataingia full mziki.
Zile kura za UN za kutoyatambua majimbo aliyopora imempunguzia mzuka.
Kwa hiyo unakiri kuwa Starlink ya tajiri wa USA imewakomesha ?
Wewe unalima ekari ngapi za ngano!?Ngano isije kwetu uone kama hatutaishi. Urusi hata ikifutwa kwenye uso wa dunia no one will even care. Tanzania ina ngano, ina mashamba yenye rutuba ya kuzalisha ngano mpaka ya kuuza nje, kama ilivyokuwa NAFCO.
Walikuwa wanasema eti ulaya haiwezi ku-survive bila gesi ya urusi..Sasa mabomba ya ges ndo hayo yalibutuliwa, ngoja tuone kama ulaya watakufa kwa kukosa gesi ya urusi..,Ngano isije kwetu uone kama hatutaishi. Urusi hata ikifutwa kwenye uso wa dunia no one will even care. Tanzania ina ngano, ina mashamba yenye rutuba ya kuzalisha ngano mpaka ya kuuza nje, kama ilivyokuwa NAFCO.
Russia's army would be "annihilated" by the West's military response if Vladimir Putin uses nuclear weapons against Ukraine, EU foreign policy chief Josep Borrell has warned.
"Putin is saying he is not bluffing. Well, he cannot afford bluffing, and it has to be clear that the people supporting Ukraine and the European Union and the member states, and the United States and Nato are not bluffing either," Borrell said in Brussels.
"Any nuclear attack against Ukraine will create an answer, not a nuclear answer but such a powerful answer from the military side that the Russian army will be annihilated." -- Russia Invades UKraine - Page 15
FUSO HIMARS himaars
Hao wavaa kubanzi ndio alimtandika Marekani mpaka akakimbia Afghanistan.
Unadhani mimi ni useless kama wewe ? Tuna ardhi na sehemu mbalimbali nchi hii ngano inalimwa, go and find acha kuwa ng'ombe. Hiyo ngano inakuja TZ sababu ni cheap plus uzembe wa hali ya juu. Haina maana hatuna ngano.Wewe unalima ekari ngapi za ngano!?
Tanzania tunalima shayri ya kutengenezea pombe. Wewe endelea kula viazi vitamu toka Nangurukuru sisi tutaendelea kula mazao ya ngano safi toka Urusi.
Hicho ndicho tunataka kuona, Ukraine warriors wapo frontline, waende wawapush back na kukomboa majimbo yao ya makaratasi.Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji. Wapeleke majeshi tuone u mwamba wao sio kelele za media. Watangaze tunapeleka jeshi Ukraine
Wewe na Elon Must na mwenye akili nyingi!? Mwenzako mjanja kaona mziki wa Russia ni mzito kaamua kukimbia kiaina. Sasa hivi mwenzako amehamia kuuza perfume.Kwa hiyo unakiri kuwa Starlink ya tajiri wa USA imewakomesha ?
Mjulishe huyo jamaa.. hata silaha zinatoka nchi hizo na zinakuwa declared.
Na kama hajui Ukraine tangu vita ianze inajihami tu ndani ya mipaka yake....ila uwezo wa kurusha kitu kirefu hadi Urusi wanao.
Vita ina sheria zake..
Ongea kitu reality kijana...usitegemee Mchina na Mhindi atakusaidia wakati wa shida... Na huyo kijana anayenyoa mapank ni wa kutegemea kweli?Labda NATO wa buza ila hawa tunaowajua sisi ni dhaifu na Waoga ulimsikia Macron alichosema kama Russia atatumia nuclear Ukraine?? Afu NATO ni US,UK,Turkey,France & Germany hao wengine walobaki ni machawa ambao ni watu wa YES [emoji23][emoji23].
NATO kwa Russia ni dhaifu ndugu yangu.
Acha kubweka hovyo. Sisi tunakula Chapati, Mikate, Maandazi nk ya ngano safi toka Urusi. Wewe endelea kula manumbu.Unadhani mimi ni useless kama wewe ? Tuna ardhi na sehemu mbalimbali nchi hii ngano inalimwa, go and find acha kuwa ng'ombe. Hiyo ngano inakuja TZ sababu ni cheap plus uzembe wa hali ya juu. Haina maana hatuna ngano.
Ni ujinga sana kwa Tanzania kuingiza ngano badala ya kuuza kwa sababu ina ardhi nzuri ya kilimo cha ngano.
Unarusha nini kwa mtu asiye na plan?Wanasubiri nini kurusha??
Elon ni tajiri wa Kimarekani.Wewe na Elon Must na mwenye akili nyingi!? Mwenzako mjanja kaona mziki wa Russia ni mzito kaamua kukimbia kiaina. Sasa hivi mwenzako amehamia kuuza perfume.
View attachment 2387299
Atarusha lini nuclear huyu kenge Putin, mbona anaongea tu, arushe.Ongea kitu reality kijana...usitegemee Mchina na Mhindi atakusaidia wakati wa shida... Na huyo kijana anayenyoa mapank ni wa kutegemea kweli?
Vita ni support, Putin standing alone I can't see him atoboe hapa.
Kura za UN zishammaliza already. Vita kuu ya 3 haiwezi kutokea kwa kura 143 kwa 35 tumia akili kijana.