MkuuJuzi pale UN kajitahidi sana kura zisiwe against him kakwama...UN ikapigilia msumari wa mwisho dadadeq...kura za kupora majimbo ni za uzushi, zoezi feki ..hazitambuliki yaani anazijua yeye na mkewe tu.
Umeshiba manumbu au umekula ngano safi toka Urusi!?
Ukikimbia frontline wewe sio panya road ? Kwa sababu panya ndio huwa tunawaona wakikatiza upande mmoja wa barabara kwenda mwingine, ni analogy tu.
We jamaa ni kichekesho sana [emoji3][emoji2]Time !!
Baada ya miezi 3 utajua nina maana gani?
Rusia kashapotea...better Putin akubali yaishe mezani...I badala ya vitisho vya hovyo hovyo..I promise you.
Wengi humu hamjui namna Dunia yetu inavyoongozwa...ni ushabiki usio na maana
Putin will be fixed. Over.
Hahaha Putin anazidi kugongelea msumari wa mwisho kwa EU
Ameongea na Edrogan uso kwa uso
Mambo ni moto huko View attachment 2387237View attachment 2387238
Warusi ni kenge tu, mikwara kibao lakini hawana lolote. Frontline wanajua watapata cha moto. Imagine special forces za Russia ndio zipo maeneo kama Kherson zikinyukwa na askari wa kawaida wa Ukrane.
Hawa panya wengine ambao wanakuwa mobilized wakisikia hivyo, ndio wanaamua kukimbia nchi, ni bora kwao kujiokoa:
Si alisema yeyote atakayeingilia au kusaidia atakiona cha mtema kuni, check wababe:
Russia's army would be "annihilated" by the West's military response if Vladimir Putin uses nuclear weapons against Ukraine, EU foreign policy chief Josep Borrell has warned.
"Putin is saying he is not bluffing. Well, he cannot afford bluffing, and it has to be clear that the people supporting Ukraine and the European Union and the member states, and the United States and Nato are not bluffing either," Borrell said in Brussels.
"Any nuclear attack against Ukraine will create an answer, not a nuclear answer but such a powerful answer from the military side that the Russian army will be annihilated."
Hii imewakera sana Magharibi na [emoji631]
Macron hana kupepesa macho na ukweli mchungu
Wa kuelewa amuelewe
Iwapo Mrusi atatumia nuclear wao hawatajibu mapigo View attachment 2387270
Najua unapiga kelele baada ya kula maandazi na chapati za unga wa ngano toka Urusi.
View attachment 2387289
Acha vituko. Au msemo kuwa wewe ni maskini jeuri!?Sihitaji kitu chochote kutoka Urusi. Wewe hapo unatumia nini ya Urusi ?
Kwa hiyo NATO wanasubiri Hadi Urusi arushe nyukilia ndio waingie?Mwambie arushe nuclear....
Nyie wapumbavu, mlikuwa mnasema the same -- Gaddafi noma, kwanza ana nyuklia, Saddam mziki mzito, blah blah, where are they ?Hao ni maneno tu hawana action ingekua Libya wangekua washapeleka majeshi yao muda.
Wampige mngesema Urusi imepigana na NATO, Ukraine ameiweza frontline warusi wanakimbia, NATO ya nini ?Kwa hiyo NATO wanasubiri Hadi Urusi arushe nyukilia ndio waingie?
Hizi sio akili Bali ni tope kabisa kwao.
Ilitakiwa wampige Putin mapema kabla hajarusha nuke.
Huwa mnajifariji kwa vitu vya kijinga sana.Hajui kama Russia inamlisha chapati asubuhi na anasema tamu [emoji23][emoji23]
Ngano isije kwetu uone kama hatutaishi. Urusi hata ikifutwa kwenye uso wa dunia no one will even care. Tanzania ina ngano, ina mashamba yenye rutuba ya kuzalisha ngano mpaka ya kuuza nje, kama ilivyokuwa NAFCO.
Ha ha haaa!EU, UK, Japan na US ndio wameweka vikwazo vya kiuchumi kwa Urusi sio NATO.
Na kuongezea hapo kwani nani anawalazimisha kununua gas/oil Urusi...si wanunue tu kwingine shida iko wapi??Kama wangekuwa wanaweza kuishi bila gas/oil from Russia basi haya maandamano yanayoendelea kwa Sasa across Europe yasingekuwepo.
Haswa na wanamtumia kupitisha mafuta tangu wakati wa vita vya Iraq na pia baadae SyriaTurkey yuko NATO coz anafaidi anapata pesa nyingi sana kutoka NATO bila Turkey Ulaya ingekua na magaidi mengi sana, wapo kimkakati sana hapo, NATO inawahitaji sana Turkey kuliko hata waturuki wenyewe
Majimbo manne ya Urusi. Wewe unaimba na kucheza vigodoro humu JFWampige mngesema Urusi imepigana na NATO, Ukraine ameiweza frontline warusi wanakimbia, NATO ya nini ?
Acha ujinga, hivyo vitu vipo everywhere duniani. The only respected products ni rare earth metals ambazo zipo Taiwan 3/4 ya the whole world production. Chukua hii point utaitumia siku nyingine wakati wa ubishi wako.Acha vituko. Au msemo kuwa wewe ni maskini jeuri!?