Baba jeshi la Urusi ni moja ya majeshi makali sana hata bila nyukilia.
Mnachokiona ukraine Iko hivi;
Urusi inapeleka askari Wachache sana mfano tufanye imepeleka askari 150000 wanapambana na askari wa nchi nzima ya Ukraine,Tena waliofunzwa na NATO kwa miaka zaidi ya minane.
Tufanye Ukraine Ina askari zaidi ya 300000 yaani ni marabili ya askari wa Urusi walioko kwenye op hii.
Ukraine ilikua na silaha nyingi sana za kwake na inazipewa na NATO.
Urusi ulikua inapigana kistaarabu na kiungwana sana yaani haikutumia uwezo wake wote.
Hadi Sasa hivi Ukraine haina silaha zake za zamani,zote zililiwa na Urusi.
Upinzani anaoupata Urusi ni Halili na WA kawaida kwa sababu Ukraine wanapigana wakiwa kwao kujihami na kile wao wanakiita uvamizi kwa hiyo wanapigana kufa na kupona.
Urusi wanafanya op maalum kuondoka kitisho Cha silaha na uwezekano wa kuja kuvamiwa baadae na NATO.hivyo spirit walionayo Ukraine sio walionayo Urusi.
Lkni ikatokea nchi yoyote kuivamia Urusi katika ardhi yake ndo utajua kama Urusi ni Urusi ama ni Urusi ya kinondoni Moscow.
Upinzani anaoutoa Ukraine kwa Urusi ni mkubwa kwa kweli kama nilivyosema ,wao wanapigania nchi yao.Lakini huo uwezo unaouona wa Ukraine ni uwezo wa NATO na nchi zote za west.
Tumeshuhudia michango ya silaha ya kujirudia,hizo silaha walizokua wakipewa mwanzo zinzenda wapi?zinaliwa na moto wa Urusi.
Ukraine wanapewa taarifa zote muhimu za kiintelijensia ya kijeshi na kiraia kutoka nchi zenye uwezo mkubwa mno katika nyanja hizo.
USA,UK,Fr, German,Poland,Canada,Estonia,Lithuania,Italy,Sweden,Denmark,Finland,Turkey,burgaria, Australia,Austria etc.
Taarifa za Kijasusi kijeshi ni muhimu mno,ndio zinaonesha adui Yuko wapi,ana silaha kiasi Gani,umballi Gani,idadi ya askari na hata ushauri I silaha Gani itumike kumpiga.
Ukraine inapewa vifaa vya mawasilia I na njia za kudukua mawasiliano.
Inapewa misaada ya fedha kula kukicha.
Kwa uchache ni hayo.
Sasa.
Hebu fikiria hayo yoote yanafanyika Urusi Iko peke yake inapigana vita peke yake.
Urusi Ina wanajeshi karibu 900,000.
Wengi hawajaingia vitani,wanasubiri kama vita itakua kubwa ama NATO wataingiza majeshi ndio na wao wataingiza.
Kumbuka kwa akili ndogo TU ya kawaida huwezi kupeleka askari wote hodari na muhimu katika vita,unaanza naseto kwanza ,mambo yakizidi kua magumu nawe unaongeza dozi.
Hapa Urusi hawezi kupeleka askari wake wote vitani wala silaha zake zote muhimu vitani kwa kuangalia NATO watafanya Nini.
Ikiwa NATO wataingiza Mazuma nae Urusi ataingiza mazima maana hatutegemei kua na vita zaidi ya NATO na Urusi.
Huwezi kuweka mayai yote mazuri kwenye kapu moja.
Urusi sio nchi nyepesi Braza.
Amefanana na baba yakoGeneral wa natoView attachment 2387782
nimekua nikisoma hoja za pro westen na pro russia nimekuja kugundua wengi ni washabiki hawatizami matokeo ya nje ya uwanja wa kivita,Paka sasa russia kuna vitu vingi viko upande wake, Makeran anavozidi kuisapoti Taiwan ni sawa na kuimalisha urafiki wa china na russia.Umesema kweli mwamba.
Putin Kila hotuba yake haachi kutaja neno multipolar,
Na ni kweli Kuna wimbi kubwa sana la nchi zilizokua watiifu kwa Marekani Sasa zinaikaidi.
Inawezeka Kuna mipango nyuma ya pazia Urusi aliiandaa na kuwamezesha sumu wakuu wa nchi hizo juu ya ukoloni wa Marekani.hebu tazama wimbi la wakuu wa nchi za kiarabu Wanavyopishana kwenda kwa mzee mzima Putin.
Tazama Soud Arabia wanamvimbia USA,na USA anatishia kuondoka wanajeshi wake na mifumo ya ulinzi wa anga kwenye visima vya mafuta ya soud.Hivi hapa kweli kuondoka mifumo ya ulinzi si ndio kitu Urusi anaombea ili apeleke Yeye vifaa vyake?
Kama Kuna kitu Urusi wameonesha uwezo wao wa kucheza Chess basi ni kumvutia kwake Saudia.
Huwezi Amini hata wale ambao sikuwategemea kumfuata Urusi katika umoja wake ni pamoja na Pakistan.
Pakistan nae anatamani sana kujiunga na umoja ambae Russia ndio kaka mkubwa wao ama china
Wakati Pakistani miaka yote ni mfuasi wa Marekani.
Sasa watiifu wote wa Marekani wanaanza kumkwepa.
Tusubiri.
Mwanachama mwenzako huyo [emoji304]Amefanana na baba yako
Warusi wa mwakaleli ni shida SanaYaan ht siku Putin akifa watasema ni mbinu tu hio atafufuka,
Kuna mambo mengi sana juu ya starlink na Elon,nazan kama unakumbuka baada ya ukrein kuichukua Khakiv kuna comprain zilitokea kutoka upande wa ukrein kwamba kuna baazi ya vijiji mtandao ulikata. baadae kidogo elon akaja na pendekezo la amani ambapo alipendekeza referendum ifanyike chin ya usimamizi wa UN kitu ambacho pande zote mbili zilipinga na baada ya hapo elon musk akaanza kuwa adui wa ukrein.kuna vitu vingi sana vimetokea ila kwa ufupi nimeweka iyo twitt ya elon tafakari kidogo nje ya box nazan unaweza kupata sababu mr Elon kuanza kutoa excuse maana jamaa ni mfanya biashara na analinda mali yakeMkuu FUSO hawa kenge umeona kabisa hoja hawana, hawaongelei chochote frontline.
Ati leo wanasifia mpaka starlink ya USA kwamba Elon haisupport kama sehemu ya kujipa credit wakati hawapendi chochote kutoka USA! Starlink inafanya kazi na itakuwa financed. Walitaka Elon assuport bure mpaka lini ?
Mimi nawaacha, nitarudi hapa siku zero brain mtumia nguvu Putin akirusha nuclear. Majibu ya kitakachompata watakuwa nayo tayari.
Putin alivyo mjinga amekuwa provoked kupitia daraja la Kerch akjaa mazima, response yake ya kupiga ovyo raia ilitegemewa, halafu watu wenye akili wakatengeneza justification ya kuisaidia Ukraine kwa kuongeza nguvu za kijeshi, including Germany ambayo ilikuwa iansuasua kwa sababu ya makubaliano yake na Russia, hasa ya kibiashara na kidiplomasia.
Unajiunga na NATO kwa kuwa Urusi ni dhaifu au kwa kuwa ni strong na unaogopa unaweza kushambuliwa ukakosa msaada?Finland waliogopa sana - tangu kuona udhaifu wa jeshi la Putin waliamua kujiunga na NATO, Sweden vivyo hivyo.
Kumbe nyie team NATO hamna akili?Mimi naongea Kwa facts na wewe leta factsWewe Acha upumbav ,Nani kakudanganya Russia ndio ina mabomu makubwa na mabaya ya nyuklia ? Au unadhani kila mtu mbugila humu
Peleka Huu ujinga Kwa ngumbaru wenzako .wewe ulishayaona hayo mabomu ya nuclear ya Russia ?
Hujui chochoteVichekesho kama hivi mnavitungaje? [emoji16]
Hujui chochote kama huna facts njamaza Russia ndo anamabomu makubwa ya nuclearMkuu,
Unajua mambo machache sana. Bahati mbaya haujui kuwa haujui. Pole.
Sasa mbona unajichanganya mwenyewe maana hizo Mother of All Bombs (MOAB) na FOAB sio mabomu ya nyukliaHujui chochote kama huna facts njamaza Russia ndo anamabomu makubwa ya nuclearView attachment 2387921
BADO wa referendum wanaendelea kujinoa[emoji3502][emoji1255][emoji635] The Russian army is firing at the AFU along the entire front line — the main thing from the summary of the General Staff of the AFU:
[emoji3502]The Armed Forces of the Russian Federation are advancing in the areas of Berestove, Yakovlevka, Bakhmutskoye, Artemovsk, Opytne, Ivangrad, Spirne, Nevelskoye, Maryinka, Belogorovka, Terny, Novomikhailovka and Krasnogorovka.
[emoji3502]The Armed Forces of the Russian Federation are concentrating their efforts on reaching the administrative borders of the Donetsk region and retaining the occupied territory.
[emoji3502]The Russian army fires at the AFU along the entire front line, carries out engineering equipment of positions in certain directions and conducts aerial reconnaissance.
[emoji3502] Russian cruise missiles and UAVs have struck infrastructure facilities in the localities of Kharkiv, Konstantinovka, Soledar, Artemovsk, Chumak, Lebedinsky, Zaporozhye, Davidov Brod and Mirny.
[emoji3502]The Russian Air Force carried out 6 missile and 30 air strikes, as well as 48 MLRS attacks.