Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298]️Germany hands over 16 Biber bridge-layer tanks to Ukraine.

The German Defense Ministry pledged the delivery in late July, saying that the tanks “will enable Ukrainian troops to cross waters or obstacles in combat.”

According to the country's government, Germany also supplied Ukraine with ten pontoon bridge machines. On Oct. 12, the German government announced it would hand over to Ukraine more Panzerhaubitze 2000 self-propelled howitzers and MARS II multiple rocket launchers.
 
Wait a minute.....himars mbona ngonjera yake siisikiii tena au ishapungukiwa na utufuku tayari
 
Kabibi nyoli nyoli wanataka wakapanguse [emoji23]

[emoji298][emoji298][emoji298]



Liz Truss to be removed as PM in a few weeks, according to UK Treasury head Kwasi Kwarteng

The Times reports that it is not only Kwarteng, who is of this opinion, other government officials from Downing Street also believe that it is only a matter of time before Truss is removed from office.

[emoji188][emoji188][emoji188]

Verily, it pays much kupigana Proxy na Bear Putin. Mtaa wa 7 huku tunasema "lete mudhungu".
 


Russia's energy reserves are incomparably larger than Ukraine's to be a decisive factor in conflict this winter, 19fortyfive writes

"By this winter, they will be producing a constant stream of war materiel and ammunition, while Ukraine will be almost completely dependent on supplies from the West that may or may not arrive in time or in required quantities," the piece stated.

[emoji188][emoji188][emoji188]

The Stranger twenzetu tukawashitaki hawa, hivi hawajui kama umepigiwa sim na mchepuko wa kirusi anakwambia huko hali mbaya na soon Russia atajisalimisha [emoji23], kwani wanalipwa nini Kremlin kueneza hizi propaganda [emoji1787].
 
Mkuu kwa nini Ukraine Ishambulie Moscow?? Ninavyosikia Ukraine ilifurahi kupata uhuru wake kutoka Urusi 1991 ikapatia Urusi silaha zake za kinyuklia mnamo mwaka 1990s, sivyo?
Kama ni kweli naona waliamini Urusi itakuwa jirani mwema atakayewalinda na kusaidia.
Kwa bahati mbaya yule mtawala wa sasa Putin alikuwa na mawazo tofauti...
Nikielewa vema Ukraine wanataka tu Putin aondoke katika ardhi yao.
Mkoa wa Krimea labda ni hali ya pekee, maana ilikuwa Urusi hadi 1950s hivi ikahamishwa kwa amri ya dikteta ya Urusi.
Ila siamini ni sawa kuhamisha maeneo na watu kwa sababu ya dikteta fulani. Bila shaka kura ya Krimea ya 2015 au 2016 haikuwa sahihi, ila kama inarudiwa chini ya usimamizi wa watu wa nje itakuwa sawa, sijali kama Putin anafoka au Zelenski anafoka.
Michezo hiyo ya kura ya juzi ni kichekesho tu, hakuna duniani anayekubali, kumbuka kura ya Umoja wa Mataifa!
 
Namsubiri Mkubwa Vladimir Putin ashinde hii vita dhidi ya watu wachafu na wapumbaf sana (waliberali) nichinje mbuzi,,waliivunja Soviet kwa kutumia kibaraka wao gobachev na wakaiba teknolojia na silaha za nyuklia za wasoviet zilizohifadhiwa Ukraine na Sasa wanataka waimeze Ukraine kwa kuiunga NATO kwa jinsi walivyojaa Hila ila kwa Sasa wameyakanyaga vibaya,,,nchi chafu hasa uingereza najua Mkubwa V Putin anaiangalia sana na siku na wakati mzuri utakapofika Uliberali utaleta mkosi katika nchi zote zilizokuwa affected na Uliberali na nyuklia ya megaton 500 inatosha kuikaanga ulaya na megatons 1000 inatosha kuikaanga miji ya kiliberali kama New York, California na Nevada hata Maryland,,
 
Dah unawachukia mabepari!
 
Mkuu, bado nahangaika kuhusu mantiki yako!
Kuhusu nguvu unayoona katika jeshi la Ukraine - mbona nchi ndogo kama Finland iliacha kuogopa Urusi tangu kuona kazi ya jeshi lake huko Ukraine?? Finland ni nchi ya watu milioni 5 (TANO! tena haina gesi wala mafuta) ilhali Urusi ina milioni 145. Tangu mwisho wa vita ya pili ya dunia ilikaribishwa kuingia katia NATO lakini iliona kwa usalama wake Finland isijiunge na NATI, waliogopa hasira ya Urusi. Lakini sasa baada ya kuona vita ya Urusi katika Ukraine, wanajiunga na NATO wakibadilisha siasa ya miaka 60!! Siyo kwa sababu waliona jeshi la Urusi inafanya vibaya vile basi hakuna sababu tena ya kuogopa jeshi hilo??

Mfano wako wa Syria... Naona tu kwamba baada ya vita za Iraki na Afghanistan hakuna serikali ya NATO iliyokuwa tayari kuona wanajeshi wengi kuuawa Syria tena. Hivyo hawakuingia kwa wanajeshi bali kwa ndege na kombora tu na kwa kusaidia wanamigambo Wasyria walishikamana nao. Nikielewa vema shabaha kuu haikuwa Assad bali mabaki ya Islamic State - hapa walifaulu kiasi kikubwa.
Sioni sababu yoyote mbali na silaha za nyuklia zinazozuia majeshi ya NATO kufyeka jeshi la Urusi moja kwa moja...
 
Mkuu unachekesha! Sawa kama ukisubiri kumchinja mbuzi hadi ushindi wa Mkubwa Vladimir Putin basi umpe mbuzi wako salamu zangu umwambie asiogope chochote maana yuko salama atakuwa na maisha marefu!
 
Italy ni NATO
 
propaganda

Ata huku kenya wali recruit kina MK254
 
Mkuu lee van cliff umenisaidia vyema sana kumjibu umshana baada ya kuquote bandiko langu (leo nilikuwa busy),

Itoshe tu kusema kwa jinsi ulivyo fafanua, kila kitu cha mhimu umekiweka. Binafsi sioni pa kuongezea wala kupunguza nyama.

Nashukru sana Mkuu, na hii ndo inathibitisha jinsi Pro-Russia mlivyo bright hasa linapokuja suala la kuelimisha wale walio tayari kuelimishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…