Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Kama RUSSIA dhaifu wanakimbilia NATO kufanya nnMkuu, bado nahangaika kuhusu mantiki yako!
Kuhusu nguvu unayoona katika jeshi la Ukraine - mbona nchi ndogo kama Finland iliacha kuogopa Urusi tangu kuona kazi ya jeshi lake huko Ukraine?? Finland ni nchi ya watu milioni 5 (TANO! tena haina gesi wala mafuta) ilhali Urusi ina milioni 145. Tangu mwisho wa vita ya pili ya dunia ilikaribishwa kuingia katia NATO lakini iliona kwa usalama wake Finland isijiunge na NATI, waliogopa hasira ya Urusi. Lakini sasa baada ya kuona vita ya Urusi katika Ukraine, wanajiunga na NATO wakibadilisha siasa ya miaka 60!! Siyo kwa sababu waliona jeshi la Urusi inafanya vibaya vile basi hakuna sababu tena ya kuogopa jeshi hilo??
Mfano wako wa Syria... Naona tu kwamba baada ya vita za Iraki na Afghanistan hakuna serikali ya NATO iliyokuwa tayari kuona wanajeshi wengi kuuawa Syria tena. Hivyo hawakuingia kwa wanajeshi bali kwa ndege na kombora tu na kwa kusaidia wanamigambo Wasyria walishikamana nao. Nikielewa vema shabaha kuu haikuwa Assad bali mabaki ya Islamic State - hapa walifaulu kiasi kikubwa.
Sioni sababu yoyote mbali na silaha za nyuklia zinazozuia majeshi ya NATO kufyeka jeshi la Urusi moja kwa moja...
Muda utaongea MKUUChina yatangazia wananchi wake wote kuondoka Ukraine.
Je kuna tukio laja kabla ya msimu wa baridi? Au Kuna kitu China yajua ?
Au ndo uvamizi kutokea Belarus?
Poland anachokochoko nyingi sana...anachokonoa vitu vingi sana..mara alipwe na Ujerumani,mara anataka nuclear weapons,Belarus wamesema Kuna wanamgambo wanapata mafunzo Poland wakifadhiliwa na Nchi za magharibi na wanapelekwa Ukraine kupata uzoefu iliwaje kufanya ugaidi Belarus na hiyo ndio sababu Belarus kujiandaa kuvamia Ukraine
The saboteurs who planned terrorist attacks in Belarus were trained on the territory of Poland and received combat experience on the territory of Ukraine - the Ministry of Internal Affairs of the Republic of Belarus.
The Belarusian state TV channel showed footage of the detention of suspects in the preparation of a series of terrorist attacks.
Subscribe to @Sputnik
Ukraine inazidi kukimbiwa
[emoji298]️[emoji1255][emoji1212]Serbia is closing its embassy in Ukraine due to concerns about the safety of diplomatic mission staff.
Subscribe to @SputnikView attachment 2389100
Anachokitafuta atakipata tuPoland anachokochoko nyingi sana...anachokonoa vitu vingi sana..mara alipwe na Ujerumani,mara anataka nuclear weapons,
Unajifanya unajua watu ndani nje...sasa huyo mdau mbona umemjibu personal sana..Kwa hiyo wewe akili zako ndo Genius wa karne hii au sio na ndo ujuaji mwingi??
Jibu hoja za watu kuleta inferiority complex hapa hajusaidii chochote....Hao warusi na Wamarekani hawapiganii kizazi chenu wala cha hao unaowatukana...wanapigania future ya kizazi chao..
Uko tayari kukaza mishipa na kutukana kutetea wazungu ambao hata hawajui kuna kiumbe kama wewe duniani..na hata uwepo wako hauwasaidii chochote....
Usifanye vitu personal
Hali ya kawaida huo usalama umekua mbaya Leo mbona toka Feb kulikua na vita.Mbona nchi zote zinaondoa raia wake. Kutokana na hali ya usalama iliyopo. Ni utaratibu wa kawaida
Kumbe NATO.....Sasa mlikuwa mnabisha Nini?!?!Zelensky alipochaguliwa aliwaondoa viongozi wengi serikalini na jeshini wenye umri mkubwa. Hawafundishiki na mbinu mpya za kisasa na NATO walipokuwa wanatoa mafunzo wanachukua maofisa wenye umri mdogo. Huwezi tumia gharama kubwa upelekwe UK uko wakati unastaafu miaka 10 ijayo. Na Zelensky anapendelea kuteua watu wenye experience, maofisa wa kijeshi wengi Ukraine walikuwa frontline Donbas na waliongoza sabotage occupied areas. Hata Mkuu wa majeshi ana miaka 49 alafu kazeeka ghafla mwaka huu, kazi nzito.
Wakongwe jeshini ndio walijisalimisha pale Crimea bila kurusha hata risasi wala kutorosha silaha, hata intelligence yao hawakugundua watavamiwa. Na wamesoma na Warusi vyuo vilevile, ilikuwa si ajabu kukutana na Major General wa Ukraine kasomea military school ndani ya Russia enzi za Soviet Union na ana marafiki uko au aliacha watoto
Subiri sasaTangu mwanzo wa vita nchi kadhaa zimetoa wito kwa raia wake waondoke huko Ukraine.., hivyo hakuna jipya [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ili Mpinga Kristo afunuliwe,ni lazima NWO at some point waitawale dunia,na hii itatokea kwa kuwa Wanadamu wamemkataa Mungu,kwa hiyo Mungu anawaletea uongo ili wauamini.Urusi watafurukuta weee,na hata labda kusaidiwa na China,lakini NWO wataitawala Dunia for seven years na kiongozi wao Shetani,ambaye atawapa Mamlaka Mnyama atokaye baharini,Mnyama atokaye kwenye nchi na nabii wa uongo.Ufunuo wa Yohana 13 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹¹ Kisha nikaona mnyama mwingine, akipanda juu kutoka katika nchi; naye alikuwa na pembe mbili mfano wa Mwana-Kondoo, akanena kama joka.
¹² Naye atumia uwezo wote wa mnyama yule wa kwanza mbele yake. Naye aifanya dunia na wote wakaao ndani yake wamsujudie mnyama wa kwanza, ambaye jeraha lake la mauti lilipona.
¹³ Naye afanya ishara kubwa, hata kufanya moto kushuka kutoka mbinguni uje juu ya nchi mbele ya wanadamu.
¹⁴ Naye awakosesha wale wakaao juu ya nchi, kwa ishara zile alizopewa kuzifanya mbele ya huyo mnyama, akiwaambia wakaao juu ya nchi kumfanyia sanamu yule mnyama, aliyekuwa na jeraha la upanga naye akaishi.
¹⁵ Akapewa kutia pumzi katika ile sanamu ya mnyama, hata ile sanamu ya mnyama inene, na kuwafanya hao wote wasioisujudu sanamu ya mnyama wauawe.
¹⁶ Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao;
¹⁷ tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.
¹⁸ Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.
WHAT IF USA AKASHINDA HII VITA?
DUNIA IJIANDAE KUINGIA KWENYE MAJIRA MAPYA YA STYLE YA MAISHA NA IMANI, NA STYLE MPYA YA UCHUMI?