Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Russia anazidi kutepeta, wahuni wanaongeza mzigo [emoji2957]The Latest Military package:
I spent this week in Brussels working with Allies & partners on immediate & long-term security needs for Ukraine. We heard some great security assistance announcements from Germany, Spain, Denmark, Norway, Canada & more. And yesterday, we announced our latest package:
See Russia Invades UKraine - Page 17
Russia anazidi kutepeta, wahuni wanaongeza mzigo [emoji2957]
Huu mchezo hauitaji hasira,
Ukraine hafui dafu kwa urusi hivyo angeopt diplomasia mapema. Diplomatic solution should have been not only the option but the only option to them.Xo kwnn Nchi zinakua na majeshi?
May be, but Kwa maoni yangu km Ukraine wangesurrender bas Russia angepachika serikali yake kibaraka na Ukraine ingekua km Belarus ilivyo hii Leo, tungekuwa tunasikia habari za Belarus, Ukraine na urusi kuform new union state na hatimaye nchi hio ingemezwa na urusi km Belarus itavyoenda mezwa kwe hio wanayoiita union state, so hio asilimia 20 walioipoteza sawa tu na ht km watapoteza asilimia 35 at least watabaki na nchi Yao wenyew kuliko kupoteza everythingWangenyoosha mikono juu still bado wangekuwa na 20% za ardhi yao zilizokwishachukuliwa mpk sasa. Unampongeza zelensky kwa kipi!? Kwa kumuonesha urusi kwamba 'siku nyingine ukitaka kuvamia mwingine tegemea upinzani'. Is that worthy of Everything Ukraine has lost until now!?
1. Crimea imeenda hawawezi kuirudisha tena
2. Donbass imeenda na nyongeza ya kherson na zaporozhie.
3. Hawatojiunga tena nato
4. Jeshi limekuwa crippled
5. Raia wamekimbia nchi
6. Miundombinu imeharibika
7. Uchumi wa nchi umekufa
8. Nchi imejiingiza kwenye madeni lukuki
All this in the name of 'kesho akitaka kuvamia mwingine atafikiria mara mbili'. Ok
Kwa hiyo mwenye nyuklia usimchezee sharubu au siyo?!?!Usijisahaulishe kuwa islaer ni nuclear powered,
Hivyo kumchezea sharubu inabidi ujipange,
Hayo ni mawazo yako wewe...na lile lilikuwa ni swali langu..Hilo si wewe wala watoto wa vitukuu vyako watawahi kulishuhudia
Acha tuone MKUUWanataka kuwadistract Ukraine ili waache wanajeshi wao wazuri Kyiv baada ya kuona wanasonga mbele Pande zote Kherson, Donestsk, Zaporizhzhia wanataka kurudia mchezo uleule ambao Ukraine iliwafanyia warusi walitangaza counter offensive Kherson wakaenda kuipiga Kharkiv baada ya Russia kuhamisha wanajeshi wengi Kherson na kuacha Kharkiv ikiwa dhaifu.