Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sijajua kwanini ametumia neno KUWAZA.Unajua hata mimi ninawaza kuivamia Marekani,ila matokeo yake ndio sijui.

ILA umemjibu vizuri sana,na nadhani hata yeye amejua kwamba umemjibu vizuri ila anaweka vizingiti ili madini yatiririke
 
Al sahaf alikuwa kituko sana[emoji23]
 
Defensive Line ya US ni NATO, mbona hili liko wazi sana Mkuu.
 
Huku nuke zikiwa store, Russia angetumia Kila alichonacho kama anavyofanya yeye ingekuwaje
 
Unajilambalamba tuu jamaa kakushinda hoja
 
Unafikiri Mexico anafurahi alivyopokonywa majimbo yake !!?? Unasema tu ETI .... Marekani ni kuongea tu na Canada na Mexico Ili asivamiwe labda Canada chawa wake lakini sio Mexico..... Nakuuuliza tena unafikiri Mexico anafurahi kupoteza majimbo yake!!?? Acha ujuaji mwingi .....INAWEZA kupigwa proxy war hapohapo Marekani kutokea Mexico hilo Moja, Pili unasema China ana uwezo wa kuvamia kisiwa Cha Taiwan (awali ulisema Hakuna wa kuvamia Marekani Kwa kuwa haipakani na nchi zaidi ya Mexico na Canada ) Kwa kuwa ana uwezo na vifaaa ila China kuvamia Taiwan inawezekana.... Kwani Urusi hawezi kuingia Hapo Alaska !!?? Alaska ni Mafinga eti!!??
 
Aisee huyu kamanda Surovikin ni nouma...anatumia mbinu za kibabe vitani...

Alijifanya kutangaza kuwa hali ya mapigano ni tete huko Kherson. Akadai kuwa jeshi lake litaondoka maeneno hayo. Na wakajifanya kama wanafanya hivyo (retreat) pamoja na kuondoa raia. Kumbe jamaa kwa njia nyinginezo ndio anamimina wanajeshi wa Urusi kwa wingi zaidi na zana zaidi ili awatie nyavuni wanajeshi wa Ukraine watakaojipeleka kichwakichwa kama nyumbu.

Vita ni mbinu muraa...
====

 

Mobilised Russians to wear Iranian-made bulletproof vests and helmets​

Ukrainska Pravda

Mon, October 24, 2022, 5:05 PM·2 min read



IRYNA BALACHUK — MONDAY, 24 OCTOBER 2022, 17:05

The Russian government is unable to provide the new wave of conscripts with sufficient Russian-made ammunition, so it has started using equipment manufactured in Iran.

Source: Defence Intelligence of Ukraine

Quote: "Due to its inability to provide the new wave of conscripts with the necessary ammunition of its own production, the Russian Federation is starting to use Iranian-made equipment. 3,000 pieces of body armour are shortly to be transferred - 1,500 bulletproof vests and 1,500 helmets
 
Majeshi ya Urusi yamemla kichwa (yamemuua kikatili) mwanajeshi wa Israel (former IDF solder) aitwaye Dymitro Pialka (39) aliyejiingiza kwenye kuipiga vita Urusi huko Donetsk nchini Urusi mwezi uliopita (September).

Kudadeki Urusi yapeleka misiba hadi kwa taifa teule😆😅🤣😂😇.
Mwili wake ulizuiwa na majeshi ya Urusi, na ukakabidhiwa baadae kwa serikali ya Ukraine kupitia prisoner exchange deal iliyofanyika mwezi huu wa October.

Taifa teule limeufyata!
---

An Israeli citizen from Lviv, Ukraine was buried in his hometown this weekend after being killed in battle during the war against Russian forces in the Donetsk region of Eastern Ukraine.

Dmytro Pialka, who was 39 years old at the time of his death, immigrated to Israel at the age of 15. He served in the IDF and was a soccer coach for Maccabi Beer Sheba’s urban youth team. He returned to Lviv and worked as a soccer coach in 2015 before taking up arms to defend Ukraine amid the Ukraine-Russia War.

He fell in battle at the beginning of September. The Federation of Jewish Communities of Ukraine (FJCU) worked behind the scenes to reach his body, together with senior government officials in Kyiv. His body was eventually returned to the Ukrainians as part of a prisoner exchange deal in early October.

Pialka’s ties in Israel​

Pialka has a mother and a younger brother who currently reside in Israel. His family wanted his body to be returned to Israel for burial, but it was Pialka’s wife’s wish that the body remained in Lviv for burial.

Smoke rises over the city after Russian missile strikes, amid Russia's attack on Ukraine, in Lviv, Ukraine, October 10, 2022. (credit: REUTERS/PAVLO PALAMARCHUK).

The funeral, which was held with the participation of the city's Rabbi Shlomo Bled, was attended by hundreds of people, including his family members, close friends and members of the Lviv Jewish community.
"We are happy that at least Dmytro Pialka was given an Israeli grave."
-FJCU statement
"Roughly 100 Jews have been killed in the war so far, including soldiers who fought on the front and also civilians who lost their lives in the Russian bombings,” the FJCU said in a statement, “Unfortunately, despite our attempts, we are unable to reach everybody and bring it to the Israeli grave.

Some of the bodies were buried in public parks and in mass graves. We are happy that at least Dmytro Pialka was given an Israeli grave. May his memory be blessed," the statement concluded.
 
Sky news
Ukraine’s military destroys 3 ammunition depots in southern Ukraine.
Ukraine’s Operational Command “South” reported that Ukrainian forces also killed 40 Russian troops and destroyed three tanks, an anti-aircraft missile system "Osa,” and six armored vehicles on Oct. 24. Ukrainian forces also reportedly shot down an Orlan-10 UAV and an Iranian-made Shahed-131 kamikaze drone in Kherson Oblast.
 
Ahsante MKUU

aione ulimi waupanga
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…