Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Chawa wa Putin ss hv hawana tofauti na kina Juma lokole[emoji23][emoji23][emoji23] yani ni kutunga tunga tu stori za kimbea kimbea

Today on Russian TV:

Ukraine has a nuclear bomb primed in Mykolaiv which it will detonate and then blame on Russia so that the US has a justification for getting directly involved in the war and launching missiles on Russia

Got all of that? [emoji2957]

 
Waziri wa mambo ya nje wa Russia jana kaitaka UN ifanye uchunguzi kujua chakula kinachosafirishwa kutoka Ukraine kinaenda kwny mataifa maskini kama ilivyo kwny mkataba au kinaenda Nchi za Magharibi

akigundua kuna mkataba umekiukwa anazuia tena …anataka wafe kwa njaa kabla ya baridi kuwagandisha wazungu kwa kukosa Gas
Habari njema

Winter hio yaja watakufa kama majani yakiangazi hao kenge
 
Analeta umbea wake hapa kuwachota maboya
 
Ajabu ya mwaka hii.., kumbe hata urusi Kuna wasaka teuzi.., nilijua kwamba uchawa ni Kwa nchi zetu za kiafrika tu[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hii forum ina matikiti maji mengi sana
 
Mgao wa umeme huko Ukraine ndio kete mliyo Baki nayo[emoji16][emoji16]

Uzuri ni kwamba vijana wa zelensiky Wala hawasikii kelele za chura,ni mwendo wa kichapo tu [emoji2]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mgao wa umeme huko Ukraine ndio kete mliyo Baki nayo[emoji16][emoji16]

Uzuri ni kwamba vijana wa zelensiky Wala hawasikii kelele za chura,ni mwendo wa kichapo tu [emoji2]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Zile mbwembwe za Referendums kwisha kabisaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1255] [emoji635] - Russia now see the "de-satanization" of Ukraine as a war aim.
[emoji1258][emoji1255][emoji1258][emoji1255]Sio Tena denazification na demilitarization.., Russia atabadili malengo yake mpaka lini Sasa, maana haeleweki,

Au kipigo kimemchanganya?[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wanaota kumvamia Marekani kwa zile Shaheed za Iran ambazo Russia hakuwa nazo kama zile. Hata Israel muda sana anazo loitering munitions kama Harop na Azerbaijan wenyewe wamezitumia 2020 wanazijua kazi zake. Kama Turkey kaiuzia Ukraine zile Bayraktars na bado Turkey huyo huyo kanunua Harop kwa Israel sasa hapo huhitaji akili nyingi kuelewa zina uwezo kiasi gani mpaka Uturuki ambaye ni drone giant nae kazinunua.

Russia kachelewa kwenye drones. Hizo Forpost-R ni licenced copy ya IAI Searcher Mk.II ya Israel. Hapo kapewa drones za Iran kaona deal sana ila sio kwamba zimewashtua maadui wa Iran, wanajua uwezo wake vizuri. Hata hizo missiles wanazotaka kupeleka hazitoshtua adui halisi wa Iran.

Ukrainian engineers wamefungua hizo Shaheed na kuna Western components kadhaa. Kwanza mainly zinatumia GPS, sasa sijui nani dunia hii anawaza kuivamia Marekani kwa silaha inayotumia GPS
 
US concerned about Russia-Iran 'deepening alliance' - State Department
Another version of the same story!

[emoji298]️BREAKING NEWS[emoji298]️

The US is concerned about the "strengthening alliance" between Russia and Iran - State Department.

Earlier, the President of the Islamic Republic of Iran Ibrahim Raisi said that the 'creation of a multipolar world cannot be stopped, there are already many centers of power outside the West.'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…