Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hapa pro Russia watapita kama hawaoni vile [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hata mi nilikuwa nashangaa kwanini hawahangaiki na viwanja vya kijeshi, makambi, radar sites
 
Endeleeni kujifariji hivyo hivyo.., inapunguza msongo wa mawazo [emoji2957]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wenzako pro-NATO Mara nyingi majibu yao Yana namna ya mantiki Kama akina Pietro, fuso, na wengine wengi...ila wewe huwa nashindwa kuelewa Kama ni robot au mtu...majibu yako hayawezi kukosa maneno Kama kujifariji, fashisti, dikteta, pimbi, kupelekewa Moto, na picha za mtu unayemuita nguchiro au ile sijui kidole Cha kati kimeoneshwa juu ...yaani mpaka mtu unashangaa inakuwaje mtu awe na majibu ya Aina moja kwa Kila comment?!?!
 
Hoja za kimantiki na Kipropaganda ndiyo zinatakiwa zitawale huu mjadala. Russia wanapigwa ila bado wanayo "Laverage" ya hii vita. Nayo ni Ulaya na Marekani.

Mpaka Ulaya itakapokuwa na Gesi na Mafuta ya Uhakika ndipo Urusi itaacha kujiona ni "super Power" na Kiburi chake kwa Marekani kitapungua.

Mrusi anategemea makombora na mabomu ya kuangushwa kwa Ndege wakati Ukraine wao tegemeo lao kubwa ni Askari waenda kwa miguu na vifaru. Kuingia kwa msimu wa Baridi na unyeshaji wa mvua utaipunguza kasi hii vita.

Bado kimantiki mpaka sasa anayeshambuliwa (siyo kushindwa) ni Mrusi. Vita ina mapambano (Batles) ambayo ndiyo huijenga vita. Jee bado mapambano mangapi mpaka pale mshindi atakapojulikana?
 
Ficha upumbavu wako.., ukulazimishwa kujibu coment yangu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mwanzo Russia ilikamata 20% ikashuka mpaka 15% na Kwa kipigo anachoendelea kukipata sina Shaka mpaka Mwisho wa mwaka atabakiwa na 10% ,2023 Ukraine inamalizana na Supapawa wa mchongo.
Ripoti Gani ilisema imekamata 20% kaka... Serikali ya Kiev ilikiri 15%... Nileteee chanzo kinachosema 20% ... Ukishindwa nakutia kapuni utakuwa ni HEARSAY PERFORMER... Tuongee facts kaka... Nileteee source iliyosema 20% ya Ukraine imechukuliwa. Karibu
 
Kwa kuwa "Batlefields" zina "Shift" kutokana na mapigano yanayoendelea, kubishania asilimia ni kuvishusha hadhi vita vyenyewe. Urusi inashambulliwa na bado inatega mitego. Ukraine inasonga mbele lakini kwa tahadhari pia.

sasa hapo utaona mambo ya asilimia ngapi zinashikiliwa na nani haina uhusiano na kinachoendelea kule. Labda iwe ni kwa ajili ya kubishana.
 
Here we go ... Karibu tuongee ubongo..... Ndio maana nimeacha kureply na kucomment sana ..wengi tuna ama wanaenda na mihemko ... Karibu tujadili facts...
Lastly, as I Know Kiev ilikiri kupoteza 15% of the land.... Non came to say otherwise!?? Are we there!? So we stick to it..., Secondly whom one got the "pinch" of the sanctions!!? , Thirdly... Who benefits from this "trident" proxy war ...
NIMEKAAA PALEEE UKINIJIBU NTAJUA NAONGEA NA MTU WA UWEZO GANI KIAKILI... ASANTE. KARIBU
 
Mkuu ukiamini hivi, asante sana. Ila kwa bahati nzuri Bwana Kim, pamoja na makelele yote anayopenda kupiga, anajua ni kweli pia ana akili. Kwa hiyo hatamshambulia yeyote kwa vidoli vyake vya nyuklia.
Mi kweli umenena vema.
Vivyoi hivyo hata US hawezi kurusha hivyo vikombora vyake NK, achilia Russia
 
kuna mtu anatafutiwa reason
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…