Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

russia wakitenda wema wanakharamu wanamchokonoa, russia wakionyesha upande wa pili wa sura wanakharamu wanalalamika.

hii mizungu pori iliwezaje kututawala?

Italian FM Antonio Tajani: “Blocking the grain corridor means food deprivation for millions of people living in poverty. This is tantamount to grave acts against humanity. I hope that Russia will reconsider its position regarding participation in the grain export agreement.”
 
Boss, Ukiwa na huduma yako, bora upate wateja wazungu kumi kuliko wateja wahindi/wachina 20. Wale si walipaji wazuri, wana tabia za kutumikisha, wanapenda bei ya chini lakini thamani iwe juu, kubargain ilihali tayari kuna price tag na hawana descipline ya utunzaji. Jaribu kufatilia hata watalii wa kihindi au kichina waliopo hapa.

Yes they have population, and yes their pp is growing but Still you can not replace Europe with China/Asia market and declare a win, their spending habit is not good. (Hata hapa kwetu kwenye utalii hawafai bado)

Mayb in long-run as you sugest...... Plus, we have no clue if technology will not provide the word with energy alternative.
 
Tatizo wabongo mnafananisha Ukraine na Burundi au Congo kumbukeni hawa ni wazungu Kwa namna yeyote Ile watapata misaada ya kila namna na watavuka salama kipindi hiki cha baridi..
Ni Nani anapicha au video za wakimbizi wa Ukraine wakigombea chakula kwenye kambi za wakimbizi? Au Nani ana picha za kambi za wakimbizi kama ilivyo huku Africa?
 
Wawapelekeee na solar panels jameni gaiiiii........
 
Kwa nini wazungu wengine wanaandaman kupinga ugumu wa maisha?. Kwa nini wazungu wengine wanaandaman wakidai Kuna uhaba wagesi?. Kabla ya hii SMO niliamini viongozi wa EU wanaakili kuliko viongozi wakiafrika wengi, lkn baada yahili tukio naamini hawana tofauti na viongozi wengi wa Afrika. Kuna baadhi yaviongozi wachache wanaojitambua kama viongozi wa Hungary, wengine wengi niwajinga wajinga.
 
Kama South ossetia na Crimea tu.... Na maisha yataendelea.
 
Anataka kuwaua watu wake bila sababu iliyokuwa ya maana kuliko uhai wao
 
Wanasema ETI "WALIWEKA NO FLY ZONE LIBYA SABABU GADAFFI ALIKUWA ANAUA RAIA WAKE.... ila hao hao HAWAJAWEKA NO FLY ZONE UKRAINE wakati UKRAINE wanaua raia WA DONBASS KWA MIAKA 8 Baada ya Maidan Revolution iliyopangwa na kifadhiliwa na Marekani" ..... inafikirisha sana hawa watu.
 
Kwa sasa machungu anayabeba nani ndugu mtabiri!!?? Ya mbeleni huko hatyajui sisi nani ataumia WALIWEKA vikwazo tangu south ossetia, wakaweka vikwazo vya Crimea , wakaweka vikwazo Baada ya Maidan Revolution Russia alipowasaidia DONBASS wamewekwa vikwazo sasa na wameongeza vikwazo anayebeba machungu Kwa sasa ni nani !!! Tuanzie Hapo na tuwe tunakumbushana Kila siku mpaka hiyo mbeleni yako itapofika.
 
What happened to Admiral Makarov class frigate.
What happened to Moskva?
View attachment 2401735
Does it mean NATO countries do not have navies?! Does it mean USA does not have a navy?! Nor does UK has a navy?! Russia is fighting against 30 countries most of which have navies..This is a proxy war which is being fought in Ukraine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…