Narumu yetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,448
- 5,146
ma-ta-ko wewe... kwani nimekwambia mimi ninanjaa..... hapa na ongelea kuhusu makubaliano yao..... tatizo mnajibu tu...ila ni wavivu wa kufuatilia mambo....Limen achen ushoga wa kutak kulelewa , mnadai hamuewapend wazung hlf mnataka kula vyao
Ulisema mpk mwezi November jeshi la Ukraine litakua limefutwa kwa kupata kipigo cha Historia, November ni kesho Mkuu. Nakukumbusha tu.
Kweli ni uzoba lakini kuingia kwenye vita ambayo unajua huwezi kushinda unapigana ili usionekane zoba na matokeo yake mnapoteza maisha kwa kiasi kikubwa na hiyo nchi yenyewe mnaiharibu na mwishowe inakuja kuchukuliwa hali mshakufa sana, Binafsi nina mitazamo tofauti kwenye haya mambo ya vita na utengenezaji na uuzaji wa silaha.Basi ni mtazamo wa kijinga yaani uache nchi yako ichukuliwe huku unaangalia huo ni uzoba wa kiwango Cha u-professor
We jamaa muongo sana eti jeshi la ukraine limejisalimisha unaongelea mahaba niuwe.Hujajibu swali unarukaruka tuuWiki mbili zilizo pita ulisikia Generali wa Ukraine alisema nini? Alirudia maneno yale yale niliyo yasema tangu mwanzo kwamba kumbe jeshi la Russia liliwawekea mtego wa panya jeshi la Zelensky huko KHERSON, waliwasubiri wajae kibaba kwanza halafu wawashushie fundisho la mwaka/zawadi ya Krismas - sasa sijui alishtuliwa na nani aliye mwambia,look here General - uondokaji wa wanajeshi wa Urusi mkoani KHERSON pamoja na jiji na kujifanya wameacha baadhi ya silaha zao nyuma kitendo hicho kijeshi kinaonekana ni "too good to be true,which is true" ndivyo Generali alivyo shituliwa hivyo aka toa order kwamba jeshi lake lisijiingize KHERSON kichwa kichwa, actually baadhi ya wanajeshi wa Ukraine wamehamua kujisalimisha kwa jeshi la Urusi kuliko kuendelea kupigana a futile war ambayo wana uhakika kwamba jeshi la Ukraine haliwezi kushinda.
Kwanini hamtaki kuambiwa ukweli?!Alaska ipi MKUU
Hem ongea fact acha huu utoto bado hujafikia level za chini kiasi hiki MKUU chakufananisha Alaska na Kaliningrad shida nn mpaka mnatoka nje ya reli kiasi hiki !!!??
Sasa wao wamemuwekea vikwazo maelfu ....lakini wao grain tu na gesi vilio viiiiingiiiiii. Watulie
Naona uingereza anachukua nafasi ya PolandWamelikoroga wao,halafu wanalalamika nini, swine. Yaani Putin kutumia uwanadamu kuruhusu meli za Ukraine na za kimataifa kusafirisha ngano and other produce kwenda kwenye masoko ya nje, wakamuona Putin mjinga ndio maana British Intel agencies na Zelensky wakatumia mwanya huo kutumia baadhi ya Meli kama spring board za kurushia Drones kwenda kushambulia Navy fleet za Urusi bandarini Sevaspol - huu ni ujinga uliyo pitiliza mipaka - na Uingereza inajitafutia balaa tu, sijui hata akili zao zinafanyaga kazi vipi - kakisiwa kadogo tu kanajitia kimbembele kama nini,yaani nako kanajiona ni lama vile ka-mini super power wakati Urusi ina uwezo wa kuzamisha kisiwa kizima cha Uingereza in no time at all halafu viongozi/jeshi la Uingereza linataka kuwaweka raia wake na Taifa lao lote in harms way.Mapema jana kambi ya Uingereza iliyo kuwa inatumiwa na special forces wa Uingereza (mostly likely SAS) imetiwa kiberiti na precision missile ya Urusi sijui kama kuna mtu aliye pona pale!! Na Uingereza ikiendeleza hujuma zake dhidi ya Urusi watakuja kujuta sana sana kwa vitendo vyao vya kijinga, just imagine kumbe ndio walihusika na ulipuaji wa bomba za gesi Nord1 and Nord2, jaribio la kulipuwa daraja la Kerch, utumaji wa Drones kujaribu kulipuwa makao makuu Russian NAVY nk, yaani they're more aggresive and calculating kuliko Waamerika - 'am sure Russia military will eventually figure out how to deal with them summarily bila ya kuwaonea huruma hata kidogo.
Hahahaha sasa Mkuu unadhani Ukraine ni wapumbafu kama Russia ambao waliondoa wanajeshi wao Kharkiv na kuwapeleka kusini baada ya kuchuzwa na Ukraine?!...Hali iliyopelekea Russia kuukosa mji wa Kharkiv ambao ni mkubwa baada ya Kiev,ikapelekea wakaikosa Izium, Kupiansk na Lyman ambazo zilikua ni vitovu vya usafirishaji wa mahitaji ya wanajeshi wa Urusi.Wiki mbili zilizo pita ulisikia Generali wa Ukraine alisema nini? Alirudia maneno yale yale niliyo yasema tangu mwanzo kwamba kumbe jeshi la Russia liliwawekea mtego wa panya jeshi la Zelensky huko KHERSON, waliwasubiri wajae kibaba kwanza halafu wawashushie fundisho la mwaka/zawadi ya Krismas - sasa sijui alishtuliwa na nani aliye mwambia,look here General - uondokaji wa wanajeshi wa Urusi mkoani KHERSON pamoja na jiji na kujifanya wameacha baadhi ya silaha zao nyuma kitendo hicho kijeshi kinaonekana ni "too good to be true,which is true" ndivyo Generali alivyo shituliwa hivyo aka toa order kwamba jeshi lake lisijiingize KHERSON kichwa kichwa, actually baadhi ya wanajeshi wa Ukraine wamehamua kujisalimisha kwa jeshi la Urusi kuliko kuendelea kupigana a futile war ambayo wana uhakika kwamba jeshi la Ukraine haliwezi kushinda.
We jamaa muongo sana eti jeshi la ukraine limejisalimisha unaongelea mahaba niuwe.Hujajibu swali unarukaruka tuu
Mmeanza kusema hayo leo??Alivamia na SMO ilikuwa SMO ya siku 3 leo mwez wa 9 tunaingia , subir ubao umgeukia ataikimbia Moscow
Wamelikoroga wao,halafu wanalalamika nini, swine. Yaani Putin kutumia uwanadamu kuruhusu meli za Ukraine na za kimataifa kusafirisha ngano and other produce kwenda kwenye masoko ya nje, wakamuona Putin mjinga ndio maana British Intel agencies na Zelensky wakatumia mwanya huo kutumia baadhi ya Meli kama spring board za kurushia Drones kwenda kushambulia Navy fleet za Urusi bandarini Sevaspol - huu ni ujinga uliyo pitiliza mipaka - na Uingereza inajitafutia balaa tu, sijui hata akili zao zinafanyaga kazi vipi - kakisiwa kadogo tu kanajitia kimbembele kama nini,yaani nako kanajiona ni lama vile ka-mini super power wakati Urusi ina uwezo wa kuzamisha kisiwa kizima cha Uingereza in no time at all halafu viongozi/jeshi la Uingereza linataka kuwaweka raia wake na Taifa lao lote in harms way.Mapema jana kambi ya Uingereza iliyo kuwa inatumiwa na special forces wa Uingereza (mostly likely SAS) imetiwa kiberiti na precision missile ya Urusi sijui kama kuna mtu aliye pona pale!! Na Uingereza ikiendeleza hujuma zake dhidi ya Urusi watakuja kujuta sana sana kwa vitendo vyao vya kijinga, just imagine kumbe ndio walihusika na ulipuaji wa bomba za gesi Nord1 and Nord2, jaribio la kulipuwa daraja la Kerch, utumaji wa Drones kujaribu kulipuwa makao makuu Russian NAVY nk, yaani they're more aggresive and calculating kuliko Waamerika - 'am sure Russia military will eventually figure out how to deal with them summarily bila ya kuwaonea huruma hata kidogo.
Thibitisha."Civil war" ulisababishwa na Putin alimtumia jamii zile kutaka kuingiza kibaraka wake.
Hakuna tofauti kati ya wewe na JiweSi wanasema atakufa Muda Sio MREFU!?
Angalau anapinga ushoga huyu Jamaa! Namsapoti KWA hilo!!!
Je hao wanaosapoti America wanaunga mkono ushoga!!?
Huyo tushamzoea,uzuri hapigi military targets yeye ni kulipua Tu apartments,chekechea za watoto na miundombinu,kamaliza.Urusi kaanza tulipua asubuhi hii
Kilichowafanya Wazungu wafe kwa Wingi kwenye Corona kuliko hata Africa ilitokana na wazungu hao hao kuweka imani kwenye mifumo ya afya na kujiaminisha kwamba hakuna kitakachowadhuru kwa sababu wana Hospitali kubwa, za kisasa, matokeo yake corona ikawaacha uchi..Tatizo wabongo mnafananisha Ukraine na Burundi au Congo kumbukeni hawa ni wazungu Kwa namna yeyote Ile watapata misaada ya kila namna na watavuka salama kipindi hiki cha baridi..
Ni Nani anapicha au video za wakimbizi wa Ukraine wakigombea chakula kwenye kambi za wakimbizi? Au Nani ana picha za kambi za wakimbizi kama ilivyo huku Africa?