Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Habari hii hapa ikielezea jinsi Russia ilivyogeuza ZNPP kambi ya jeshi,wakirusha Makombora toka kwenye kinu cha nyuklia ili kukwepa counter attack. Halafu Leo wanalalamika kuhusu ugaidi?! Kuna ugaidi gani kuzidi huu uhuni wa kutumia kinu cha nyuklia kama kambi ya jeshi?!Wiki mbili zilizo pita ulisikia Generali wa Ukraine alisema nini? Alirudia maneno yale yale niliyo yasema tangu mwanzo kwamba kumbe jeshi la Russia liliwawekea mtego wa panya jeshi la Zelensky huko KHERSON, waliwasubiri wajae kibaba kwanza halafu wawashushie fundisho la mwaka/zawadi ya Krismas - sasa sijui alishtuliwa na nani aliye mwambia,look here General - uondokaji wa wanajeshi wa Urusi mkoani KHERSON pamoja na jiji na kujifanya wameacha baadhi ya silaha zao nyuma kitendo hicho kijeshi kinaonekana ni "too good to be true,which is true" ndivyo Generali alivyo shituliwa hivyo aka toa order kwamba jeshi lake lisijiingize KHERSON kichwa kichwa, actually baadhi ya wanajeshi wa Ukraine wamehamua kujisalimisha kwa jeshi la Urusi kuliko kuendelea kupigana a futile war ambayo wana uhakika kwamba jeshi la Ukraine haliwezi kushinda.
Ukiona hivyo bhas kuna uwezekano Yale mameli yake yaliyobutuliwa juzi yameharibiwa vibaya. Maana kawaida ya Russia tangu kuzamishwa kwa Moskva, kubutuliwa kwa kambi kule Crimea,Daraja la Crimea wakati wa retaliation hua anavurumisha Makombora si mchezo kama kulipa kisasi.Makombora zaidi ya 40 uelekeo wa Kyiv, Lviv, Zaporizhzhia etc
Kusitisha vita kutakuja baada ya kunyosha mikono atakae ona anaumia,Tena Putin apige kwelikweli mashoga hawa.Kumuweza ama kutomuweza siyo msaada sana.
Kusitisha vita ndiyo msingi mkuu
Kwani vita vya Ukraine na urusi mbona vinaendelea huyo mshindi ni yupi, vita vikikoma ndo mshindi anajulikana Sasa vita vinaendelea alafu unasema flani mshindiKweli ni uzoba lakini kuingia kwenye vita ambayo unajua huwezi kushinda unapigana ili usionekane zoba na matokeo yake mnapoteza maisha kwa kiasi kikubwa na hiyo nchi yenyewe mnaiharibu na mwishowe inakuja kuchukuliwa hali mshakufa sana, Binafsi nina mitazamo tofauti kwenye haya mambo ya vita na utengenezaji na uuzaji wa silaha.
Corona na vita wapi na wapi ebu tuweni seriousKilichowafanya Wazungu wafe kwa Wingi kwenye Corona kuliko hata Africa ilitokana na wazungu hao hao kuweka imani kwenye mifumo ya afya na kujiaminisha kwamba hakuna kitakachowadhuru kwa sababu wana Hospitali kubwa, za kisasa, matokeo yake corona ikawaacha uchi..
Hayo makombora yanatoka wapi sasa kama Meli ziliharibiwa?Ukiona hivyo bhas kuna uwezekano Yale mameli yake yaliyobutuliwa juzi yameharibiwa vibaya. Maana kawaida ya Russia tangu kuzamishwa kwa Moskva, kubutuliwa kwa kambi kule Crimea,Daraja la Crimea wakati wa retaliation hua anavurumisha Makombora si mchezo kama kulipa kisasi.
Sijasema nani mshindi kwenye hiyo vita bali kiujumla nimesema huwezi kuingia kwenye vita ambayo unajua huwezi kushinda, unapoteza uhai wa raia zako kwa kiasi kikubwa huku ukishuhudia hiyo nchi yenyewe ikiharibika kwamba na kwamba ndio gharama ya kutokuonekana zoba.Kwani vita vya Ukraine na urusi mbona vinaendelea huyo mshindi ni yupi, vita vikikoma ndo mshindi anajulikana Sasa vita vinaendelea alafu unasema flani mshindi
Si tuliambiwa juz intelligence zinaonyesha urus kaishiwa makombora sasa haya yametoka wap?Makombora zaidi ya 40 uelekeo wa Kyiv, Lviv, Zaporizhzhia etc
sasa hapo ndio kitu kinaitwa "genocide" kinaweza kuundwa na viongozi wa urusi wakashitakiwa, though kosa linakuja kwa mbali. na ndicho kilichofanywa na Uturuki kuwafukuzia Armenians kwenye barafu na eneo ambalo halina chakula, wakasterve wakafa. urusi haitakiwi kutumia mbinu ya kuwaweka waukrain kwenye natural disaster itakayowafanya wafe.Winter is Coming!!
Ili kuepusha maafa, Vitaly Klitschko anazitaka nchi za Magharibi kutuma mablanketi na mavazi ya joto haraka.
View attachment 2401436Mwanamke akitembea kwenye kivuko cha theluji baada ya theluji nzito kuanguka katika mji mkuu wa Ukraine, kyiv, Februari 6, 2019.
Raia wengi wa Ukraine wanaweza "kuganda hadi kufa" katika miezi ijayo isipokuwa nchi za Magharibi ziwasaidie kukabiliana na tatizo kubwa linalokuja kutokana na mashambulizi ya anga ya Urusi kwenye miundombinu ya nishati ya taifa hilo, Meya wa Kyiv Vitaly Klitschko aliviambia vyombo vya habari vya Uingereza siku ya Ijumaa.
Akizungumza na The Daily Telegraph, Klitschko, bingwa wa zamani wa ndondi uzito wa juu, alikiri kwamba Ukraine itakabiliwa na changamoto kubwa. "Tunafanya kila tunaloweza kufanya kuokoa maisha ya watu wetu na kuwalinda," meya aliambia chombo hicho.
Afisa huyo alisema timu yake imeweza kununua idadi ya jenereta za umeme huku ikitayarisha vituo 1,000 vya kutengeneza joto huko Kyiv kwa kutarajia kile alichokiita "hali mbaya zaidi."
Klitschko aliashiria kwamba Ukraine inahitaji haraka sio tu silaha za Magharibi na mifumo ya ulinzi wa anga, lakini pia blanketi, nguo za msimu wa baridi na jenereta.
"Ni wakati muhimu kwa aina hii ya msaada," alisisitiza.
Ukrainians ng'ambo waliambiwa wasirudi nyumbani msimu huu wa baridi
Akitoa mfano wa "hatari ya suala la kibinadamu," pia aliwataka Waukraine ambao wamekimbia nchi kukaa mbali msimu huu wa baridi kama wanaweza. "Lakini lengo letu kuu ni kuwarudisha watu wetu, thamani kubwa ya Ukraine ni raia wetu na watu wetu," aliongeza.
Maoni ya meya yanalingana na matamshi ya awali yaliyotolewa na Naibu Waziri Mkuu wa Ukraine Irina Vereshchuk. Wiki hii, alitoa wito kwa Waukraine walioondoka baada ya kuanza kwa mashambulizi ya kijeshi ya Urusi kutorejea nyumbani kabla ya majira ya kuchipua, kutokana na mgomo wa Moscow kwenye miundombinu ya nishati.
Wakati huo huo Yuri Vitrenko, mkuu wa kampuni kubwa ya nishati inayomilikiwa na serikali ya Naftogaz, amewaonya raia wenzake kwamba Ukraine inakabiliwa na majira ya baridi kali zaidi kuwahi kutokea, huku akidai kuwa mashambulizi ya anga ya Urusi yameharibu "karibu 40% ya mitambo ya kuzalisha umeme".
Ukraine imekuwa ikikabiliwa na kukatika kwa umeme mara kwa mara tangu Moscow ilipoanzisha mgomo mkubwa diidi ya vituo vyake vya nishati, ikiwa ni pamoja na vituo vya nishati mnamo Oktoba 10, baada ya kuishutumu Kyiv kwa mashambulizi ya kigaidi kwenye miundombinu ya Urusi, ikiwa ni pamoja na daraja la kimkakati la Crimea.
Katika jaribio la kuepusha maafa ya kibinadamu, EU wiki iliyopita ilitangaza mpango mpya wa makazi ya dharura na vifaa vya msimu wa baridi kwa Ukraine, ikiahidi kutoa zaidi ya Euro milioni 175 ($ 174 milioni) katika usaidizi wa kibinadamu kwa sehemu zilizo hatarini zaidi za idadi ya watu nchini Ukraine na. nchi jirani ya Moldova.
Mapema mwezi huu Marekani, mfadhili mkuu wa kimataifa wa Ukraine, iliahidi kuunga mkono Kyiv kwa usaidizi wa dharura wa dola milioni 55. Mfuko huo ni pamoja na uwekezaji katika miundombinu ya kutengeneza joto, ununuzi wa jenereta na njia zingine za kuwapa joto Waukrainia.
My Take:
Nmpongeza Klitschko kwa kusema ukweli. Suala hilo ni muhimu na halihitaji propaganda za Zelensky!!
Nani ambaye hawez kushindaSijasema nani mshindi kwenye hiyo vita bali kiujumla nimesema huwezi kuingia kwenye vita ambayo unajua huwezi kushinda, unapoteza uhai wa raia zako kwa kiasi kikubwa huku ukishuhudia hiyo nchi yenyewe ikiharibika kwamba na kwamba ndio gharama ya kutokuonekana zoba.
Hayo makombora bila shaka kapewa na Iran., maana Iran ndio mfadhiri mkuu wa silaha wa urusi Kwa Sasa,Si tuliambiwa juz intelligence zinaonyesha urus kaishiwa makombora sasa haya yametoka wap?
Naomba tukumbushe tena marekani, canada, australia, na wenzao hizo ardhi alizipataje vileKabisa. Ila Marekani(with exception to few countries) na NATO wao sio wanyang'anyi wa ardhi ni waporaji wa utamaduni, maadili, uchumi, siasa na mtindo wa maisha. Hawatumii mabomu sana, silaha yao kubwa ni haki za binadamu, uhuru na demokrasia huku wakikushawishi na mikopo, misaada, teknolojia n.k.
Wale ni kuwa nao makini zaidi maana wakiivamia nchi yako hawakulazimishi bali wanakushawishi na ukija kushtuka haupo huru tena na mambo yako ya kimaadili, kijamii, uchumi na mtindo wa maisha. Ukiwa mzembe tu unakuwa na nchi ya watazama filamu za ngono, mashoga, wanaojiuza, watukanaji, watoto wenye kiburi kwa wazazi sababu wanajua haki zao n.k
Zishazamishwa zote ndo maana kaamua leo kunyesha mvuaUkiona hivyo bhas kuna uwezekano Yale mameli yake yaliyobutuliwa juzi yameharibiwa vibaya. Maana kawaida ya Russia tangu kuzamishwa kwa Moskva, kubutuliwa kwa kambi kule Crimea,Daraja la Crimea wakati wa retaliation hua anavurumisha Makombora si mchezo kama kulipa kisasi.
Ila urusi analambishwa hasara aisee.., mpaka hii vita iishe.., atakuwa hoi,kuja ku-cover hii loses anazopata itachukua miaka,hii ndo ghalama ya vita,Zishazamishwa zote ndo maana kaamua leo kunyesha mvua
Point yangu mkuu ni kwamba kiujumla vita nyingi ni ujinga ambao unagharimu maisha ya watu wengi pamoja na uharibifu mkubwa, tizama hiyo vita ya Ukrane achilia mbali watu kufa na miundombinu ya nchi kuharibika tu bali imeleta shida kubwa duniani kisa tu Russia na Ukrane wanagombea mipaka huko.Nani ambaye hawez kushinda
Hizo kh101,104Ila urusi analambishwa hasara aisee.., mpaka hii vita iishe.., atakuwa hoi,kuja ku-cover hii loses anazopata itachukua miaka,hii ndo ghalama ya vita,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app