Narumu yetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,448
- 5,146
Tushawazoea hawa
Kwa hiyo mkuu wewe unaamini kuna SMO nikuulize kitu SMO gani inakua na mobilazationNiliwahi sema hapa kwenye hii SMO kama jamaa hawatapita na ODESSA sidhanii kama watakua wamefanikiwa kwenye malengo yao ingawaje wao wenyewe ndio wanajua zaidi
Ila kwahii kauli naiona kabisa ODESSA inaenda kua sehemu ya RUSSIA sijui lini ila kupitia hii SMO
Kama vipi USSR irejee tuuu [emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji635][emoji1255]The city of Odessa is one of the most beautiful in the world, it can be both a bone of contention and a symbol of conflict resolution-Putin
There goes Odessa Ukraine...
Al Jazeera wanaonyesha hapa Wananchi wa Kiev wakiwa na ndoo za maji na madumu huku wamepanga foleni ndefu za kuchota maji.About 80% of consumers in Kiev were left without water supply - Mayor Klitschko
Naomba tukumbushe tena marekani, canada, australia, na wenzao hizo ardhi alizipataje vile
yaani hii nchi itakuwa shithole just like that?Al Jazeera wanaonyesha hapa Wananchi wa Kiev wakiwa na ndoo za maji na madumu huku wamepanga foleni ndefu za kuchota maji.
SI mkatoe meli za nafaka .... Yaani awasumbie kidudu mtu Mmoja nchi 30+ na mbaki mnalalama tu!?? Si muweke azimio tu Hapo UN kama mlivyofanya Kwa Gadafi na Sadam mmkamtoe Dunia itulie??? Shida ni Nini!!??Marekani hana haja ya kutumia base zake kuishambulia Urusi maana ana Makombora mazuri tu ya kuishambulia Urusi na kuifuta kabisa Kwenye uso wa Dunia na Urusi analifahamu hili pamoja na uchizi wake wote.
Marekani ni moja ya nchi yenye submarines nzuri na za kisasa kabisa duniani ambazo zinabeba Makombora hatari ya Trident II ICBM kila kombora moja linabeba vichwa vya nyuklia 8-12 huku likisafiri kwa speed ya hypersonic.
Hizi submarines zimetapakaa karibu Bahari zote zinasubiri tu order ya kufanya mashambulizi,ukiacha submarines ana Makombora ya Minuteman III haya yanarushwa toka Ardhini yanaweza toka Washington mpk Moscow ndani ya Nusu saa tu.
Hua nawashangaa Sana wanaodhani kwamba ni Russia pekee ndio yenye Makombora ya hatari ya ICBM.
Punguza MALALAMIKO.... Mmeweka vikwazo maelfu yeye Nafaka tu na GESI .... Mnalia vilio ..... Kila aliaye hushika kichwa CHAKE hauwezi kulia umeshika kichwa Cha mwingine. Mchuma janga hulia na WA kwao lieni kilio chenu. Mliruhusiwa kutumia grain corridor kutoa meli za nafaka ziende kwenye nchi hitaji HAMJAFIKISHA HUKO MMEPELEKA KWENU ULAYA.... Mbaya zaidi mmetumia grain corridor kurusha drones zenu. Wakati wa kulia usisahau kushika kichwa Chako kukumbuka Matendo yako.Putin ana vita vya ki longi time sana, eti unaharibu miundo mbinu ili watu wahangaike na baridi, hapo ndipo Dunia inamshangaa huyu dingi kwa kukosa busara.
Kuharibu miundombinu ya Umeme, Maji na Piple za gesi yeye anaita ni mbinu za kivita.. aisee kweli nimeamini mrusi kachoka. Kuna muda alianza kuzuia usambazaji wa vyakula toka Ukraine ili Dunia imjue yeye ni nani ? mbinu za ki longi sana hizo dingi - badilika wewe si Taifa kubwa haya pambana na wanaume wenzako si uliyataka mwenyewe.
Hata Ukraine ilipojitenga USSR ilikua na mipaka yake inayotambulika kimataifa pamoja na Umoja wa mataifa kama nchi huru,sasa inakuaje linchi lingine likubwa litake kujimegea hiyo ardhi kwa kisingizio cha Historia?! Kwanini wasiende ichukua Alaska maana kwa mujibu wa Historia ilikua sehemu Yao halali.Ukweli upi uliouongea hapa !!?
ALASKA nisehemu halali kabisa isiotenganishwa na US sababu watu walikaa chini wakafanya biashara yakuiuza ALASKA sasa unatakaje kuifananisha hii ALASKA na KALININGRAD!!?
ukweli utabakia kua ALASKA nisehemu halali ya US lakini ukweli zaidi nikwamba maamuzi yakuiuza ALASKA hayakua ya busara
Endelea kuota Mkuu!Niliwahi sema hapa kwenye hii SMO kama jamaa hawatapita na ODESSA sidhanii kama watakua wamefanikiwa kwenye malengo yao ingawaje wao wenyewe ndio wanajua zaidi
Ila kwahii kauli naiona kabisa ODESSA inaenda kua sehemu ya RUSSIA sijui lini ila kupitia hii SMO
Kama vipi USSR irejee tuuu [emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji635][emoji1255]The city of Odessa is one of the most beautiful in the world, it can be both a bone of contention and a symbol of conflict resolution-Putin
There goes Odessa Ukraine...