Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Kwa nini hamtaki kufatilia mambo kwa karibu - hasa hasa maoni ya watu weledi kwenye masuala ya teknolojia ya termonuclear na lightening fast delivery system zake-juzi juzi hapa mwana sayansi mahili na industialist Mr.Elon Musk kawaonya Wamerika wenzake (Rais Biden na jeshi la Merikani) pamoja na watawala wa bara la Ulaya kwamba: Linapo kuja suala la silaha za thermonuclear Urusi ina uwezo mkubwa wa kuichaza Amerika yenyewe pamoja mataifa yote ya Ulaya kwa mpigo - hayo si maneno yangu bali ya mwana sayansi mbobezi na mwelewa mambo kwa kina, si mnafiki, haogopi kulahumiwa na Taifa lake kwamba ni msaliti kwa kusema ukweli, hajipendekezi kwa watawala au majenerali wa jeshi kwa kuwa ana uwezo mkubwa kifedha ndiye anaye ongoza kwa utajiri Duniani - mtu kama huyo anapo ionya Dunia kwamba Merikani na wenzake wasiichezee Urusi, maoni/onyo la Elon Musk linapaswa kuchukuliwa seriously ie anajua sana alisemalo si mtu mbumbumbu kivile.

Kwa bahati mbaya kuna baadhi ya watanzania wenzangu niliwahi kuona wanakuja na hoja za ajabu eti: kwani Elon Musk ana nini cha maana na uelewa gani kumzidi waziri wa ulinzi wa Merikani au Rais Biden kitu wanacho sahau ni kwamba Biden na waziri wa ulizi ni wana siasa tu hawana akili na busara za kumfikia au zidi za Rais Kennedy, na hatujawahi kusikia serikali ya Merikani wala Biden hata Eamerikani wenye akili timamu wakipinga maoni/ushauri ulio tolewa na Elon Musk.

Tunayo yasikia sisi ni waswahili wanao mpuuzia Elon Musk wanasema mtu wa maana ni Rais Biden ambaye anatembea na brief case yenye key code za kufyatua Trident na Minuteman nuclear ICBM kwenda kuifuta kabisa Urusi kutoka kwenye uso wa Dunia,wanayasema hayo as if Elon Musk does not know about capabilities of those very very old ICBMs (1960/70s) - wanajisemea tu, hawana hata habari kwamba Russia ina uwezo wa ku-intercept na ku-destroy completely ICBMs zote ambazo RCS signiture zake ni rahisi kutambuliwa na Russian integrated air defense systems S-550, si ICBMs tu hata hypersonic missiles nazo zinakuwa intercepted - kitu ambacho hata jeshi la Merikani wamekiri kwamba uwezo wa kujikinga dhidi ya hypersonic missiles za Urusi uwezo huo hawana kabisa - sasa sisi watu baki kwa nini hatutaki kukubali ukweli huo -masaa yote ni ku-inflate uwezo wa kijeshi wa Uncle SAM wakati hata siku moja US uhawajawahi kupigana vita na taifa ambalo lina uwezo mkubwa kijeshi na wakawashinda, tunacho kijua sisi ni wao kuvamia vamia na kupiga mabom military weak nations ie Banana Republics and not a real McCOY!!
 
Unadhani anguko la USSR halijalipatia funzo lolote MOSCOW

Mara kadhaa PUT IN kalielezea hili kam hujalifatilia lifatilie
 
Kale kwa uk kanazamishwa nusu saa
 
Pole sana mkuu, mashabiki wa putin akili hawana kabisa, hata mmoja mwenye busara hayupo.

Usiwe unawajibu.
 

​

Kwa kukaribia majira ya baridi, matarajio ya uchumi wa Ukraine yamekuwa mabaya, na bajeti inazidi kutegemea misaada ya kimataifa.​


Mwezi Oktoba, zaidi ya nusu ya mapato ya bajeti ya Ukraine yalitolewa na mikopo na misaada kutoka kwa washirika wa kimataifa wa Ukraine.
Takwimu kama hizo ziliwekwa wazi na naibu wa kwanza wa kamati ya fedha ya bunge, Yaroslav Zheleznyak.

Kulingana na takwimu zake, katika mapato ya bajeti ya Oktoba kutoka vyanzo rena Ukrainian - kodi, forodhani na NBU - yalifikia UAH 111,000,000,000, wakati kutoka kwa washirika wa kimataifa - kulingana na takwimu kutoka vyanzo vya wazi - UAH 134,000,000,000 alikuja.
Hasa, kulingana na naibu, kodi ilifikia UAH bilioni 53.3, ushuru wa forodha - UAH bilioni 32.4, na UAH nyingine bilioni 25 ilitolewa na Benki ya Taifa.

Hapo awali, Wizara ya Fedha, ikitoa mfano wa Hazina ya Jimbo, iliripoti kuwa mnamo Septemba mapato ya ushuru yalitoa zaidi ya nusu ya mapato ya bajeti - karibu UAH bilioni 80, wakati UAH bilioni 72.5 ilikuja kwenye bajeti kutoka kwa washirika wa kimataifa.
Kwa ujumla, kwa mujibu wa Wizara ya Fedha, vyanzo vikuu vya kufadhili bajeti ya serikali tangu mwanzo wa vita hadi Oktoba ni vifungo vya kijeshi, mikopo kutoka kwa mashirika ya fedha ya kimataifa, pamoja na mikopo ya nchi mbili na misaada.

Mwanzoni mwa vuli, baada ya uanzishaji wa mauzo ya nje ya kilimo Ukraine na kukabiliana na biashara ya kufanya kazi katika hali ya vita, walianza kuzungumza juu ya uwezekano wa kurejesha uchumi wa Ukraine.

Hata hivyo, tayari mnamo mwezi Oktoba, hisia za biashara zilizidi kuwa mbaya.
Kulingana na NBU, jumla ya biashara kama kipimo kiliimarika kwa kiasi fulani katika Septemba, kilikuwa chini ya pointi 45 katika mwezi Oktoba, ambayo inaonyesha matarajio hasi.
Hasa, kati ya mambo yanayoathiri matarajio hayo, NBU inataja uharibifu wa uwezo wa nishati, matatizo ya vifaa na kupungua kwa mapato halisi ya idadi ya watu (mwishoni mwa mwaka, inatarajiwa kwamba mfumuko wa bei na kiwango cha ukosefu wa ajira Ukraine inaweza kufikia 30%).

Wajenzi wana hali mbaya zaidi.
Matumaini pia yalipungua katika biashara, ambapo hisia zilikuwa bora kuliko sekta zote.
Sekta hiyo inatarajia kupungua kwa idadi ya maagizo mapya ya bidhaa, pamoja na zile za kuuza nje, na pia inatabiri kupungua kwa kiasi cha hisa za malighafi, vifaa na bidhaa zolizo tayari kumalizika.


BBC
 
J2 saa 12:00 jioni yatakua marudio ya mahojiano ya meza ya duara kule dw
Hem ukipata mda sikiliza
 
China alishamchoka urusi kitambo sana

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kama Urusi angekaa kwake haya yasingetokea.
Kama Zelenski angekuwa muungwana haya yote yasingetokea.

Jambazi anakuja ndani mwako anakuambia lete pesa zote ulizo nazo. Wewe unajua pesa iko kabatini badala ya kuitoa ubaki salama unajifanya kidume mbegu kuwa mbabe.

Kwa hakika utapigwa kama ngoma na ngumi ya ndoige. Unaeza ukawa kilema au kufariki.

(PESA NA MALI ZINATAFUTWA ILA UHAI UKIENDA UMEENDA)

Ndio jambazi anaeza kukamatwa na polisi akahukumiwa maisha jela au kifungo au wananchi wakamkamata na kumpa kipigo cha mbwa mwizi.
Au jambazi anaeza kutoroka asikamatwe na akaenda kula raha dubai na makahaba huku wewe ukiugulia.


Russia ni jambazi na aliyevamiwa ni Ukraine. .

Ukraine angetumia busara haya yote yasingetokea.

Sasa hivi alipo ni kipigo tu kila siku nchi inaharibika na matatizo kede kede huku mrusi akila bata Moscow.

Nb: Mpaka Nzi atakapotua kwenye korodani ndipo utajua si kila tatizo linaamuliwa kwa ubabe na manguvu.

Ukraine kalitambua hili huku kashachelewa. Anapigwa kama ngoma!!!
 
Iranian officials had previously said on numerous occasions that Tehran had “defence” cooperation with Russia, but had not supplied the Kremlin with arms “for the purpose of being used in the war in Ukraine”.

Moto unakata
 
Mbona USA
Supa pawa wa mchongo anayeomba msaada wa drone toka iran na siraha korea kaskazini ili apigane na kanchi kadogo saizi ya mkoa mmojawapo wa nchi yake na tena kanchi kapo uani kwake tu hata kwa miguu unafika.
Waliomba msaada kwa NATO kumvamia Gadafi hapo Libya kwa nini asiende peke yake kama alivopeleka pua Vietnam akapigwa ngumi moja ya ndoige akatii amri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…