Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sawa,tumekusikia..,kwa mantiki hiyo,nani anayedhibiti makao makuu ( city centre) ya Hilo Jimbo la kheson?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Sidhani kama unachokiongea ni kweli.
Kama moral za wanajeshi zinashuka kutokana na retreat basi hao wanajeshi hawafai kuitwa wanajeshi.

Kuna sababu nyingi kuhusiana na Russia kurudi nyuma kidogo.

Kumbuka eneo walilotoka Russia halina direct connection na supply ya silaha maana kuna mto umetenganisha. Kuna daraja lilikuwa linaunganisha pande mbili. Ukraine walikuwa wamesogeza silaha na lengo lao ni kulilipua kisha kuligawa jeshi la Urusi. Kitendo hicho kingewafanya walio upande wa pili washindwe kupata silaha.

Halafu kipindi cha baridi kinaingia Russia anachokifanya ni kupunguza vifo huku akiharibu miundombinu ya kuleta silaha kwenye jeshi la Ukraine lililoingia Kherson. Baridi ikiwagonga watanyanyua mikono yao wenyewe tu.

Mimi nawashangaa sana hawa wazungu sijui kwanini wanategwa kwenye mitego rahisi hivi wanajaa mazima. Tunakumbuka mtego wa panya kule Azov Store. Walikuja kubebwa kama samaki.

Kuhusu morali, unajua Russia siyo kajeshi kadogo ka kutishiwa nyau. Yeye anapiga na kutoa misaada.
Kinachotakiwa tusubiri mpaka mwisho wa movie hii. Lakini inakoelekea siyo nzuri upande wa Ukraine.
 
Warusi mna matatizo bila shaka sasa hivi kherson ndio mnainanga hivi ,kwani unafahamu kwa nini mandonga aliiteka kherson ? tena mapema kabisa?unafikiri mandonga alifuata mali au ilikua military strategy .
Ili uivamie crimea lazma kherson iwe kwenye imaya yako.
Kwa hiyo kherson haijalishi ikoje cha muhimu malengo ya kivita yametimia kwa ukraine.
Putin akishindwa100% kherson bas crimea inabebwa kiulain.
Pitia madesa mkuu
 
Hahahah mbona hujiulizi kuwa hawaachi kutuma silah Ukraine?
 
Hawa pro Russia ni wazee wa sizitaji mbichi hizi..,kila wakitembezewa kichapo na ku-retreat utasikia eti mtego[emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ujatafuna mirungi kweli wewe!?
 
⚡️The USA is preparing a new military aid package for Ukraine

It will be announced in the coming weeks, – Jake Sullivan, US President's National Security Adviser, says.

👉 Follow
@Flash_news_ua
 
⚡️For the current week, the Armed Forces of Ukraine de-occupied 179 settlements on more than 4,500 square kilometers of Ukrainian land on the right bank of the Dnieper, – Operational Command "South".

Stabilization works are currently being carried out in the liberated territories, including demining.
 
⚡️Ukraine and the USA will build a small modular reactor on Ukrainian territory, - Ukrainian Ambassador to the USA Oksana Markarova.

"In addition, Special Envoy Kerry announced the creation of a new initiative, Project Phoenix, aimed at accelerating the transition of coal-fired power plants in Central and Eastern Europe to SMR," Markarova added.
 
Somehow "Yes" some how "No"...

Em turejee nyuma kuangalia eneo lilivyo...


Iangalie Kherson, Iangalie na sehem inayoongelewa. Examine the situation af fikiria maamuzi yaliyo fanywa na maamuzi unayo yafikiria yapi ni sahihi.

Huo upande walipoamua kutoka hakuna sehem unayoweza peleka silaha bila kuvuka maji. Vita haipiganwi kwa style za Kungfu ama Judo bali Silaha. Upande wa pili wa mto huo kulikuwa kuna wanajeshi zaido ya 20k wa Russian F.

Na ni upande huu Ukraine walikuwa wamepeleka kila nguvu zao zote huko. Kinumber of military equipments na personnel walikuwa wengi zaidi. Na mind you moral fight ya Ukraine hawajali wanakufa wangapi wao wanachohitaji ni matokeo tu kuyafanyia PR kitu ambacho kiko tofauti na Russian AF ambao maisha ya wapiganaji wanayalinda kwa nguvu zote.

So morale unayo izungumzia ni ipi? Vifo vya hao wote 20k walio kua wamevuka upande wa pili ambao kutokana na logistics kua ngum wangeishiwa silaha na kuuawa au kuwatoa salama na kuangalia jambo lingine la kufanya?

Au huko mbali turudi hapa hapa kwenye jiji letu.

Imagine tumechukua eneo kubwa la Dar es Salaam na ilikua imebaki sehem ndogo eneo la kigamboni ili Dar yote iwe mikononi mwetu. Itizame kigamboni kama iko upande wa pili ambayo haijaungana na eneo lolote la nchi kavu upande wa huku Ilala, Temeke n.k na maana ya kwamba Isahau Twangoma na fikiria daraja la Nyerere na vile vivuko as only means of transport ya kuingia Kigamboni.

Umepeleka jeshi lako Kigamboni lipo linapigana, unayepigana nae akaongeza nguvu ya wanajeshi... Kwa lugha nyepesi ni kwamba umekua outnumbered nini utafanya?

Will you keep the fighting? If yes how would you supply your army? Fastest way ni through bridge na slowest ni kwa kivuko... Would you trust the bridge with the lives of your soldiers? What if the bridges is blown up... Would you be ready for the surrender? How will that affect the so called morale unayoizungumzia?

Sisi huku majority ni wazee wa kuunga unga... Ukituangalia hatuna professional ya kijeshi... So Maamuzi ambayo tunayafikiria ni yale yapo ki-movies oriented.

Kama ni Intelligence, Ukraine inalishwa kila aina ya Intelligence tena from all top agencies like Pentagon/CIA, Mi6, Mossad na wengineo hapo hatujaongelea Corporates ambazo zinatumia their commercial satellite ku-gather kila aina ya Intel against Russia na ikumbukwe sio jana wala juzi hata kabla Russia hajaingia walikua wanajua na walikua washajiandaa na hawajaweza kumzuia hadi dk hii zaidi ya kumchelewesha tu.

Me naona tuwe free minded ku-analyze the situation hata kama hatuna exposure kiivyo ya issue za kijeshi ila common sense kwa werevu is more than enough
 
⚡️ About 700,000 Russian citizens went to Georgia after Putin announced a "partial" mobilization in the country, Georgian President Salome Zurabishvili said on Radio France.

Zurabishvili noted that about 100,000 Russians remained in Georgia, and 600,000 could leave for other countries. There are also about 30,000 Ukrainians in Georgia who were forced to leave their homes due to the war.
 
⚡️The Luhansk Regional Military Administration confirmed the liberation of the settlement of Makiivka.

Ukraine inazidi kuchanja mbuga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…