Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kukumbusha tu ni kwamba ukraine kakomboa zaidi ya km² 4500 ( elf nne mia Tano) huko kheson pamoja na mycolaiv...,nyie andeleeni kuleta ramani zenu uchwara [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa anajiamini sana

Russia-Ukraine live: Zelenskyy visits liberated Kherson city​


Zelenskyy arrives in Kherson city for a flag rising ceremony after Russia's retreat from the regional capital [Valentyn Ogirenko/Reuters]
By David Child and Linah Alsaafin
Published On 14 Nov 202214 Nov 2022
Updated:
a minute ago
Click here to share on social media
  • Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy visits the recaptured city of Kherson in Ukraine’s south.
  • Zelenskyy accuses Russian forces of committing hundreds of war crimes throughout the Kherson region.
 
City centre ndo WaUkraine wameuchukua, ni kama dsm Posta na Kariakoo zirudi, uku Kigamboni na mbagala ziende,
Pale WaUkraine walipopachukua ndo penyewe, uko kwingine ni makazi tu
 
City centre ndo WaUkraine wameuchukua, ni kama dsm Posta na Kariakoo zirudi, uku Kigamboni na mbagala ziende,
Pale WaUkraine walipopachukua ndo penyewe, uko kwingine ni makazi tu
Niliposoma huo ufafanuzi wake nilimuuliza nani anadhibiti makao makuu (city centre) ya Jimbo la kheson?

Mpaka Sasa nasubiria jibu.., sijui jamaa kaingia mitini [emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Nadhanj Russia ndo hawajari wanakufa wangap wanacho jari ni matokeo sababu Kuna video nyingi za mobilazed solder,mateka na waliopo makambini wakilaum kupokea mafunzo Kwa wiki Moja na kupelekwa Frontline.pia tuona Russia akipiga miundombinu isiyo ya kijeshi
 
T14 Armata ....hizi helikopta ni sawa na Apache ?
AH-64 Apache ni bora zaidi kuliko Ka-52. Distinguishing feature ya Ka-52 ni counter rotating rotors ambazo huifanya isihitaji tail rotor na kuipa stability kubwa zaidi angani na kuifanya iwe survivable zaidi maana tail rotors huwa ni dhaifu na zinaongeza chance ya kudondosha helicopter kama zikipigwa. Kumbuka rotors huwa nyepesi hata risasi moja ya .50 cal inatosha kuikata ikibahatisha shabaha. Ila kwenye vita hii imeonyesha Ka-52 inatetemeka ikibeba mzigo mzito, structure yake sio imara sana. Kutetemeka kunaharibu aiming.

Pia inategemea unguided rockets zaidi wakati Apache inazo guided missiles nyingi. Na mawasiliano yake sio mazuri sana, uwezo wa kuona adui mfano systems kama night vision nazo inapungukiwa. Ila ina speed kuliko Apache.

Kiujumla Kamov walifanya kazi nzuri kwa Ka-52 ila inaangushwa na subsystems zinazoundwa na subcontractors. Urusi unakuta silaha ina structure nzuri, engine nzuri ila electronics na communication systems za kawaida. Hakuna integration nzuri
 
kurudi nyuma haikua strategy yao ila ni kwamba maji yalizidi unga, general alisema alirudi nyuma kwa order kutoka kwa bosi wake na ilikua uamuzi mgumu sana kuukubali
 
Kuna watu tuliwaambia Russia hana na sio mtengenezaji wa hizo suicide drones mkabisha. Mzigo ulioletwa kwa ndege mbili za Iran tena zilikuwa tracked na mabeberu uliisha sasa hivi kimya.

Russia wanasubiri kuombaomba watumiwe mzigo mwingine wasumbue anga la Ukraine ila angalau kwa sasa air defence systems zipo baadhi ya maeneo ingawa zikiwa saturated with attacks zinatumia gharama kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…