Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwanza inabidi utambue kwamba siwezi kupoteza muda na kuchosha akili yangu kujibizana kwa hoja makini na nyinyi mahayawani...,nyie dawa yenu ni kujibiwa tu kipumbavu kulingana na upumbavu wenu...,Kwa hiyo umeandika kiingereza Ili uonekane mbobezi ,sio?
Ukweli ni kwamba urusi hakuna chochote alichoambulia huko Ukraine.., Kama ni kujiunga na NATO, ukraine tayari katuma maombi ya kujiunga na NATO.., Finland na Sweden tayari zimeshatuma maombi ya kujiunga na NATO...,Ile mikwara ya referendum tayari imegonga mwamba

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ningekuwa mimi Zele ningeheshimu Minsk agreement .
 
Zele alipewa options na Putin, aseme hatojiunga Nato au akaubali vita. So he chose war. Alijua NATO watampa uwanachama Kwa kuwa anapigana na adui Yao .shenzi zake kaishia majivu na madeniii
 
Wakubwa wa dunia weshapanga yote haya, wanajua nini wanafanya.
Hata hio vita ni kiini macho tuu
 
The Ukrainian Army on Wednesday put the number of Russian servicemen killed in fighting over the past 24 hours at more than 600 and said that to date more than 82,700 Russian soldiers have died since the start of the invasion.

Kuna watu wanaamini hizi data? inakuingia akilini Ukraine kutoa idadi ya wanajeshi wa Russia wanaokufa alafu haitoi idadi ya wanajeshi wake wanaokufa?
 
Mrusi so far kashashika adabu kwamba next time hatavamia taifa lingine kichwa kichwa !! na sasa ataingia kwenye mazungumzo ya amani bila masharti yoyote mezani kitu ambacho ni ushindi kwa Ukraine.

Hakuna wa kumzuia Ukraine kujiunga na NATO, hata kama itachukua miaka lakini kama wao wanataka Putin ni nani ?
 
Ndio nimesema Iran alijibu Kwa kulipua Kambi ya kijeshi ya US!Ni Hilo tu!
Labda yeye huyo unaemjibu,alitaka na Iran imtafute General wa USA imuue.
Hta hivyo kitendo ilichokifanya USA kumvizia na kumuua Gen wa Iran Tena akiwa Hana taarifa kama anatakiwa kuuawa ,ni kitendo Cha uoga na Cha kigaidi Cha USA.

Majibu ya Iran yalikua ni majibu dhahili ya kijeshi yasio ya kiuoga, kuvizia na sio ya kigaidi
 
Sasa kwanini na NATO wasimsingizie Ili wapate sababu ya kumvamia?Walifanya hivyo Kwa Iraq,akasingiziwa kuwa ana nuclear na akavamiwa!
Japo mda mwengine ni ushabiki lakni tupunguzeni mahaba.

Sasa hajafanya na uthibitisho wa uchunguzi umebaini hawakuhusika sasa waingie nato wampige urusi kwa sababu ipi?

Tupo ya 2022.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Marekani kaiweza USSR aje ashindwe Russia? Taifa lililoanzishwa 1991 kama masalia ndio unataka lishindane na Marekani?

Yani Marekani itishwe na nchi iliyowahi tawaliwa na marais watatu tu tangu ianzishwe? Come on futa hiyo njaa kichwani
Watakwambia alipigana Libya miaka 20,sijui Japan na kwengineko akakimbia ndio hoja zao hizo. Yaani wakitoa hoja hizo ndio points zao kuu.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Wakitoa hoja hizo hawazisoki hahahaaa.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] ubaloz wa germany hapo kyiv ulishapigwa na wakaufyata, hapo hata ikipigwa UK wataufyata hivyo hivyo, jamaa anajua weakness ya hao OTAN na atacheza nao segere mpaka mwisho
Miscalculation kwenye vita ni kitu ambacho hakiepukiki,hata Marekani ilishawahi kupiga Bomu ubalozi wa china kwa bahati mbaya wakati wa Vita kule Yugoslavia na kuua waandishi wa habari watatu, hakuna kilichotokea.
Vita sio km mieleka kwamba Mtu amekuchokoza tu bhas tayari usharusha ngumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…