Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,010
- 6,766
Kwa hiyo umekubali russia kashindwa siyoHamna lolote mzee...vita ni kila kitu...U.S walipoona Japan hawamuwezi waliamua kutandika mabomu mawili tu...Japan akasalimu amri...Kila mtu atumie alichonacho
Kwa hiyo mnaposemaga mnapigana na nchi 30 huwa mnamaanisha nini nyie pro RUssiaNimekuambia tafuta tofauti kati ya neno AID na INTERVENE kwanza; ukishaelewa ndio utajua kwanini Urusi hawajapiga nchi zinazo toa misaada Ukraine.
Amka usije ukakojoa kitandaniKwa hiyo mnaposemaga mnapigana na nchi 30 huwa mnamaanisha nini nyie pro RUssia
Hebu rudi shule ndugu. Hichi ndicho Putin alisema. Narudia Tena alisema atakae ingilia mgogogoro na sio atakae isaidia Ukraine kwa njia ya misaada.Duh nakuskitia wakati sikukutaka mjadala na mimi nimeandika kitu ambacho hata kitoto chΓ‘ darasa lΓ‘ pili akisoma anaelewa..
Urusi alisema yoyote ambaye atamsaidia Ukraine atamchapa zipo nchi nyingi zinaisaidia Ukraine kila aina ya msaada mbona hatimizi lengo lake.
Sasa kama unahoja nyengine mbali na hiyo niliyosema hapo juu sema.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Mimi Nina ushahhidi ya makampuni na viwanda kufungwa au kupunguza uzalishaji Kwa sababu ya upungufu wa nishati sasa nipe hayo upande wa urusi ili niamini na yeye uchumi wake unayumba kama ulayaYani unaongelea swala la uchumi US! West wameanza kutoa misaada mwaka huu?[emoji16],
Russia yeye Vita haimuumizi kwenye uchumi,? Mbona kwake umeruka.
Tutajie hivyo vipengele vya Minsk agreement vilivyokiukwa na Ukraine.Ningekuwa mimi Zele ningeheshimu Minsk agreement .
Na nyie mtujibu mnapodai mnapigana na nchi 30 huwa mna maanisha nn?Hebu rudi shule ndugu. Hichi ndicho Putin alisema. Narudia Tena alisema atakae ingilia mgogogoro na sio atakae isaidia Ukraine kwa njia ya misaada.
View attachment 2419908
Hakuna nchi imesema wazi kuwa imetuma wanajeshi wake Ukraine elewa hivyo.
he is not trusted any more, kiongozi wa Taifa kubwa kama Urusi inapofikia hatua huaminiki na wakubwa wenzako wote basi we ni mwanga, misusing your military strength.Putin anafunguka zaidi kwa mazungumzo ya amani baada ya kupata hasara kubwa kwenye uwanja mapambano,Ukraine π€
.....
Putin more open to peace talks as he suffers losses, say western officials
Vladimir Putin is becoming more open to the prospect of peace talks in Ukraine as he loses further ground on the battlefield, western officials said on Tuesday.www.standard.co.uk
Je, Fuso linaweza kubeba mchanga!?he is not trusted any more, kiongozi wa Taifa kubwa kama Urusi inapofikia hatua huamini na wakubwa wenzako wote basi we ni mwanga, misusing your military strength.
wengi humu ni vijana wadogo, wala hawana uelewa mpana juu ya haya mambo!Hebu rudi shule ndugu. Hichi ndicho Putin alisema. Narudia Tena alisema atakae ingilia mgogogoro na sio atakae isaidia Ukraine kwa njia ya misaada.
View attachment 2419908
Hakuna nchi imesema wazi kuwa imetuma wanajeshi wake Ukraine elewa hivyo.