kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Urusi afanye carpet bombing kwa teknolojia ipi aliyo nayo, ndege zake zikinusa tu anga ya ukraine zinabutuliwa bila kurusha hata jiwe [emoji12][emoji2]Kushauri wananchi waondoke ni kosa kubwa saana, wanajeshi wa Ukraine wanatumia raia kama ngao kukiwa hamna civilian hiyo carpet bombing [emoji378] itakayotembezwa nchi itakuwa magofu allepo itasubiri!
Mwambie super pawer wa mchongo aandae missiles za kutosha..,kupiga miundombinu, maana safari hatapewa nafasi ya kupumua..,ni mwendo wa kichapo tu [emoji2]Mlikubaliana na nani wewe mdebwedo wa Sanya Juu.
Ile referendum ilikuwa kwa ajili ya kufuta aibu ya kichapo anachotembezewa super pawer wa mchongo [emoji12][emoji12][emoji2][emoji2]Hivi ile referendum ilifanikiwa jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe mtoto wa Chidumule unatusumbua sana sisi wasomi.Mwambie super pawer wa mchongo aandae missiles za kutosha..,kupiga miundombinu, maana safari hatapewa nafasi ya kupumua..,ni mwendo wa kichapo tu [emoji2]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Aaaaaiiiseee π²π²Wwmechelewa maana warusi wengi wanapigwa miti
Sasa kama Ukraine ana uwezo huo unaosema hapa, imekuwaje ameshindwa kuilinda miundo mbinu ya nishati n.k ambayo inashambuliwa na Russia kupitia anga lake?Urusi afanye carpet bombing kwa teknolojia ipi aliyo nayo, ndege zake zikinusa tu anga ya ukraine zinabutuliwa bila kurusha hata jiwe [emoji12][emoji2]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Akiwemo pia mkuu wao..,hapo wanachofanya ni kuwazuga tu west [emoji848]Wwmechelewa maana warusi wengi wanapigwa miti
Take:
Nimeshangaa umeme uliokuwa Ukraine mwanzo ni 13.88GW , huku kwa Bi Hangaya tunaongelea 350MW, tuna Maji, Tuna uoepo, Tuna Gesi na nasikia tuna Uranium!!!
Anyway
Huku kwa chief Hangayaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£πππππππππππ€π€π€βοΈMy Take:
Nimeshangaa umeme uliokuwa Ukraine mwanzo ni 13.88GW , huku kwa Bi Hangaya tunaongelea 350MW, tuna Maji, Tuna uoepo, Tuna Gesi na nasikia tuna Uranium!!!
Carpet bombing lazima uingize ndege ( fighter jets) kwenye anga ya adui, tofautisha kati ya fighter jets na makombora ni vitu viwili tofauti,Sasa kama Ukraine ana uwezo huo unaosema hapa, imekuwaje ameshindwa kuilinda miundo mbinu ya nishati n.k ambayo inashambuliwa na Russia kupitia anga lake?
Asikari wa urusi wamechakazwa mpaka dicteta Putin amefanya mobilization..,Sasa nakushangaa unaposema kwamba urusi hajaingia vita kamili.., makombora yenyewe kaenda kukopa Iran[emoji16]Kwa kipigo anachotoa Urusi kwa Ukraine hasa kwenye miundombinu ya nishati, najaribu kuwaza kwa sauti urusi akiingia full mziki (vita kamili) hata bila nyukilia, Ukraine inawezwa kufutwa kwenye ramani ya dunia.
Japo vyombo vya habari vinasita kuleta ukweli, ila Ukraine sasa inaelekea kuzimu. Hakuna umeme wa uhakika, hakuna maji ya uhakika, wala hakuna shughuli ya maana ya kiuchumi inaendelea.
Jamaa wakiendelea kujifanya nunda basi yatawakuta mabaya zaidi, itakua bora uishi somalia kuliko pale ulaya kwenye nchi inaitwa Ukraine.
Mbona majibu west walikwisha toa labda kama hukusikia, Ila mfano halisi ni makombola ya air defence ya Ukraine ilipofeli kuiangusha kombola la urusi likaenda Poland na kuua raia wawiliNimekuwa Nikiuliza sana juu ya competence ya hizi air defence systems na pale zinapofail kupiga incoming missiles!
I can test salty in your tearsWwmechelewa maana warusi wengi wanapigwa miti