Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dah hoja nyingine za ajabu!
Hivi kumbe baadhi ya watu hawatakiwi kutumia bidhaa za nchi nyingine?

Aisee!
Ina maana NATO au west hawatumik kabisa bidhaa kutoka Urusi?

Kuna hoja nyingine zikitolewa na baadhi ya watu unabaki kushangaa TU.
Hivi kuna bidhaa gani ambayo unaitumia wewe made in Russia?

Au kuna bidhaa gani anatumia jirani yako au hata rafiki au ndugu yako made in Russia?
Rusia ni kama North Korea tu, Nje ya gas she has nothing.

Ulimwengu wa sasa bila modern sayansi na teknologia ni sawa na kuishi gizani, Rusia awekeze kwenye maendeleo ya sayansi ya kileo, aachane na mambo ya kizamani, mwenzake China anakimbiza sana na Muhindi pia anakuja kwa kasi ya ajabu.

Elimu ya Russia ilikuwa ya kizamani zaidi ila Dunia imebadilika na watu wapo kwenye modern sayansi. Unakuwaje Taifa kubwa na hata kakiwanda kabajaji ambazo unaweza fanya biashara na mataifa mengine na ukaongeza ushawishi wako.

Russia nje ya gas na nuclear hana jipya
 
Afu kitu kingine USA , wafanya kazi wengi ni RAIA kutoka nje , we angalia jeshi Lao wapo mapaka WAbongo huko tena wengi tuu, Kuna kampuni zaidi ya 5 ya USA maCEO ni wa Wahindi,
Ukweli ni kwamba wamarekani wenyewe wanapenda sana starehe.
Hata Elon musk mwenyewe ni south Africa kule kaenda kama mwekezaji ,
Wamerakani wataendelea kudukuliwa na Urusi mapaka basi.
Sijawahi kusikia USA wamedukua system za Urusi.
Sasa kama Urusi wanadukua mpaka matokeo ya uchaguzi unafikili kuna nini kule.
Ila URUSI wafanya kazi ni wakwao na ni RAIA wao kabisa.
Tofauti ya USA kuna RAIA wa nje wengi sana wanafanya kazi kwenye system za USA.
Wewe uwe na akili tuu wanakichukua.
 
Hata wewe una nini unachotumia cha USA tutajie hata viwili. Mimi binafsi sina hata kinoma cha USA, voters ni china.
Urusi ni nchi ambayo ina rasilimali nyingi sana na zingine hawajahaza kuzitumia bado , kuna gesi, mafuta , diamond, iron etc.
Kinacho Mtia kiburi USA ni pesa yake inatumika dunia mzima hicho ndicho kinacho Mtia kiburi.
 
Bajaj kweli mkuu. Wakati Russia wanazalisha mamilioni ya cheap vehicles?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
British Prime Minister Rishi Sunak: The golden era of British-Chinese relations is over.
Uingereza inajaribu kujitutumua lakini wapi?
Uchina haidhibitiki Tena kirahisi. Kama bamkubwa wao US imeshindwa kutia athari kubwa kiuchumi kwa nchi ile , je itakuwa Uingereza?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Punguza ujuaji usio kuwa na kichwa wala miguu.
Ww hapo unaweza kunitajia bidhaa kutoka Israel, Singapore,Taiwan au Finland ambayo unaitumia kwenye maisha yako?

Lakini hayo mataifa niliyo yataja ni moja wapo wa mataifa yenye teknolojia ya hali ya juu sana ulimwenguni lakini mara nyingi huwa ni kwa ajili ya mahitaji yao ya ndani.

Urusi inatengeneza bidhaa za kila aina sema makampuni yake hayajajitanua na kuwa makubwa, na mara nyingi ili uone bidhaa za Urusi inabidi uende kwenye nchi za Ulaya mashariki ,Asia ya kati na baadhi ya mataifa ya magharibi na hata America ya kusini hizo nchi ndio watumiaji wakubwa wa bidhaa za Urusi na sio razima uzitumie ww kutoka bara la giza.

Hata kwa upande wa mitandao ya kijamii warusi siyo watumiaji sana wa mitandao ya kijamii ya kimagharibi bali wana mitandao ya kijamii ya kwao wanayo itumia, hata mtandao wa Telegram una kutokea Urusi bila shaka hili ulikuwa hulijui.

Alafu kingine unacho takiwa kutambua ni kuwa sio razima kila nchi iwekeze kwenye eneo moja ,,yaani kisa tu Ujerumani na Japan wanewekeza kwenye magari basi na Urusi ikimbilie huko huko?

Nyinyi ndo huwa mnafeli kwenye biashara kwa kuiga biashara za watu bila kujua huyo mtu mpaka anaingia kwenye biashara hiyo amepita njia ipi.
 
Hiyo statement nilitoa kipindi mobilization inafanyika wakati huo UKRANE alikua ameshika makali lakini unaweza kuona uhalisia wa hii kauli KWA SASA. Hakuna quality inayoshinda bila quantity hasa pale watu wanajeruhiwa kuugua na kufa. Usijikaririshe . USA Wana vikosi KILA engo ya dunia. Himmar kwa mfano unahitaji watu 10 au zaidi ku opperate
 
Mobilization ina clusters. Wapo waliokuwa ASKARI ama waliokuwa na mafunzo ya kijeshi tayari. Mfano KWA hapa tanzania wastaafu wa umri fulani wanaweza kurudishwa pia JKT .Sio kwamba ni wapya kwenye fani.
 
Warusi wakiona hii kitu matumbo ya kuhara ydnawashika kabisa.Sasa US anataka kuleta yenye kupiga umbali mrefu zaidi🤔
........
It's HIMARS o'clock.

https://www.facebook.com/
 
Ukweli kabisa huu, kwa Sasa Urusi imekuwa dhaifu mno na hii Vita vimedhihirisha hilo.
dudus lee van cliff T14 Armata
 
Urusi maskini kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…