Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vunjo na Kipanya 44 muende kuwasaidia ndugu zenu maana wanazidi kuisha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12]. Bakhmut inasababisha maafa



[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]




 
Yani unaongea pumba alafu ujui kabisa kuwa unaongea pumba.iyo Patriot ni ya mwaka gani.kama sio ya zaidi ya miaka 45 iliyopita.au uwa unakurupuka tu kuongea pasipo kujua.

kenge wa blue wewe.View attachment 2446597
Sijakushika tako usiniletee nyodo. Patriot ina variants, phase ya sasa ni PAC-3 ambayo imeanza late 1990s na early 2000. Bado kuna variant ya 2010s sijui mwaka gani. Wakati Ukraine hizo defence systems walizoambulia wakati wanavunja USSR ndio hizohizo tangu 1991 na hapo zilikuwa za miaka ya nyuma yake. Wakati Russia inajitetea kuangusha ndege ya Malaysia ilisema BUK iliyotumika ilishakuwa decommissioned kwao Russia na imebaki Ukraine, system mbili tofauti.

Russia ana Su-30 ya 1990 mwanzoni na Su-30MKM ya 2007. Ukikutana na mtu anaita IPhone 7 na iPhone 12 ni sawasawa kisa ni brand moja huyo ni ng'ombe tu
 
We chizi tu unalolote.mpumbavu mmoja[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizi ndo zilitumika February
 
Kwa iyo wapambane na hali zao
Hapana. Katika hili mimi nasimama na Ukraine. Ni kama Zanzibar wajitenge halafu Tanganyika ianze kuimiminia makombora Zanzibar. Itakuwa ni uonevu.

Enzi za Mwalimu tuliwahi kama Taifa kuwafukuza Waisrael kwa kuwa tu wanawaonea wapalestina. Hatukuwa wanyonge kwenye kutetea haki za wengine.
 
Ujui chochote silaha zozote za kisasa zinszo.pelekwa ukrain zinakwenda na wanajeshi wa nchi iliyo zitoa ...ndiyo maana askari wa USA [emoji631] wengi tu wamekufa vitani zaidi ya elfu
 
Ila hizi system ni very complex nadhani itachukua muda mpk ziingie kwenye ardhi ya Ukraine, inaweza chukua hata miezi 6....kama zile NASAMS tu zilichukua karibu 3months hizo Patriot sijui itachukua muda gani
Kwa Patriot kuna uwezekano mkubwa US ikapeleka contractors kuendesha ili kuzuia uwezekano wa transfer of tech
 
Kwa hiyo familia zao zikijulishwa na ww unakuwepo mpaka ujue majina yao?
Haiwezekani. Askari wa marekani ni mali ya Umma. Kifo kinapotokea ndugu wa karibu wanajulishwa, kisha taifa zima kupitia vyombo vya habari linajulishwa. Huwezi kupeleka Wanajeshi wa Marekani vitani kwa kificho. Mifumo ya uendeshaji wa nchi yao unazuia jambo hilo kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…