Kwa sasa ni US na China wanashindania hiyo 'hegemony'..........huyu Urusi kafulia hana jipya.Ni Kwamba Russia na US wanaendelea kupigania hegemony ya kuwa waamuzi wa kila kitu duniani.. kiuchummi,kijeshi na ki
Duh!...kama ndio hivi, hii Vita itaisha kweli ?....The US has 3 different models for ending the war in Ukraine through negotiations, writes The Washington Post.
1. Withdrawal of Russian troops from the entire Ukrainian territory they currently occupy, including Crimea and Donbas.
2. Withdrawal of troops to the 2014 line.
3. Withdrawal of troops, including Donbas, but not Crimea.
At the same time, Zelensky categorically rejected the last two options, Ukraine will be satisfied only with the exit to the borders of 1991.
Lazima walete propaganda maana wameshachagua upande unaowavutia.Yaani taarifa za kipropaganda zinapotumiwa ni lazima kukereka kuwepo. Leteni Taarifa zisizo za kipropaganda ili kila mmoja wetu awe na taarifa sahihi.
Vita ni ya miezi michache mwaka 2001. Taliban ikaangushwa na Marekani ikasimamia Hamid Karzai kuwa Rais wa Afghanistan
Kwahiyo Belgorod sio sehemu ya Russia kisa iko mpakani? Ukitumia akili hizihizi utasema Kagera salient haikuwa Tanzania kisa ilikuwa mpakani na Uganda ilipovamiwa na Iddi Amin?Mpaka apo bado hujaona kama kuna mmoja anamiliki anga la mwenzie namwengine hajamiliki MKUU
Mmoja anamiliki anga la mwenzake nandio maana anauwezo wakufanya mashambulio yaanga popote pale katika ama kupitia anga hilo hilo mnalosema hajalimiliki
RUSSIA katumia anga hilo hilo ambalo mnatuaminisha kwamba hajalimiliki kupiga popote alipojisikia hapo UKRAINE ikiwemo KIEV hata kitendo cha elensky kuomba iwekwe no fly zone ilikua inaonesha hili nahata kitendo cha elensky kuomba patriot sababu anajua kua anga lake halipo salama
Mmoja hamiliki anga nandio maana anashambulia huku mpakani mpakani BELGOROD sanaaa na hapo CRIMEA
Sent using Jamii Forums mobile app
Imagine ndege yenye cockpit kama hii inatumiwa na Russia. Ni Su-27K ambayo ni naval variantFikiria huyo Supa-pawa wa mchongo angekuwa yupo vitani na nchi yeyote ya NATO yenye airforce bora alafu li-msafara mbuzi kama hilo liwepo......
............lingegeuzwa majivu tu kama vikosi vya Saddam kule Kuwait......wana bahati Ukraine haina airforce yenye nguvu kama nchi za NATO.......ila mpaka leo ingekuwa bado ni maafa.
T14 Armata lee van cliff
MK254 dudus Jackal
Unawasema hawa walioishinda USSR hadi ikavunjika?Marekani ilitumia miaka 20 kupigana na watu wanaotumia ngamia kama usafiri na mwisho wa siku wakakimbia Afghanistan kwa aibu sana.mpaka leo ukiwambia kurudi Afghanistan awataki hata kupasikia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini isifuatiliwe?!?! What type of comment is this?!?!Kumbe mnafuatilia ziara yake?
Safi sana[emoji122][emoji122]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mwaka huu mtaedit mpk mkome,hiyo picha ni Photoshop angalia bega la Biden lilivyorefushwa halafu pia angalia na urefu wa mkono wake.
Biden akicheki hapo Kama exhale nozzle inafanya kazi ipasavyo.
Ile picha akimkaribisha kwa kumshika tako iko wapi mkuu?POTUS anampokea bw.Zele wa Ukraine View attachment 2454642
Kwani vyombo vya habar havijatangaza kwamba yupo/alikuwa huko?Mkuu, Mimi swali langu lipo very specific.
Wewe ulitakiwa kujibu kwamba alama hii X, Y, Z inaonyesha kwamba Ni Bakhmut...
Story za kwenda US zinatokea wapi Tena?
Hats Samia hutumia za nchi nyengine.Ukraine hawana ndege ya rais?
Ila mkuu huwa unaya aibisha sana haya mazuzu ya pro Russia. Wakipewa chochote wanaamini kama mazombi.😂Mwaka huu mtaedit mpk mkome,hiyo picha ni Photoshop angalia bega la Biden lilivyorefushwa halafu pia angalia na urefu wa mkono wake.
Picha halisi ni hiiView attachment 2454959