Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji23][emoji23][emoji23] yani unafananisha vita ya Iraq na vita vya Ukraine.mzima kweli wewe ?
Ulitaka nifananishe na vita ya majimaji?!

Ndani ya week 3 Mrusi alishindwa hata kuiteka Donbass yote ambayo kuna maeneo yupo tangu 2014,wakati huo Ukraine hata silaha za maana hawana wameanza kuja kupewa zile Howitzer baadae Sana wakati warusi washabalaswa Kiev.
 
Urusi ilisepa yenyewe na iliikalia Afghanistan nzima sasa USA imetumia miaka.20 na vita haikushinda[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]


Sasa ndo itaweza kupigana na Iran taisha lililoshiba technology
Alisepa baada kukutwa na nini?![emoji23]

Marekani alipoingia Afghanistan hakuchukua hata mwaka alikua kashaangusha utawala wa Taleban akasimika serikali ya kidemokrasia pale Afghan ambayo imekaa madarakani miongo miwili.
 
Alisepa baada kukutwa na nini?![emoji23]

Marekani alipoingia Afghanistan hakuchukua hata mwaka alikua kashaangusha utawala wa Taleban akasimika serikali ya kidemokrasia pale Afghan ambayo imekaa madarakani miongo miwili.
Mwisho wa siku na marekani ikapinduliwa na Taliban . sasa Taliban ndo wameshika inchi kumbuka lengo LA operation lilikuwa ni kulifuta kundi LA Taliban dogo kubali tu marekani kikeshi INA udhaifu mkubwa ndo maana makamanda wao walikamatwa wengi pale mariupolo 😀😀
 
Kuna sehem nimesema hio sehem ya RUSSIA !!?

Nimekwambia anaemiliki anga anapiga popote anapojisikia kupitia huko huko angani

Kama RUSSIA hajamiliki anga ya UKRAINE tutajie jiji moja la UKRAINE ambalo halijaguswa na shambulizi la anga la RUSSIA kwasababu tu anga lake lipo chini ya uthibiti wa UKRAINE

Halaf ujiulize kwanini jamaa kaomba sijui NASMAS akaomba No fly zone ila kwakua RUSSIA sio LIBYA basi hawathubutu bado tunaona jamaa kaenda kulialia apewe patriot sababu anajua anga yake inavuja na inamilikiwa nanani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujielewi wewe bangi izo zinakusumbua[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Marekani haikuwahi pinduliwa na Taleban,iliyopinduliwa ni serikali ya Afghanistan ambayo ilishindwa kupambana na Taleban baada ya Marekani kuondoka.
 
Kbsaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hivi Vita vitaisha baadae, huenda vikaliacha jeshi la Urusi likiwa hoi kabisa sababu ya vifo vingi, majeruhi na hata ukosefu wa vifaa.

Wataanza kujenga jeshi kutokea chini kabisa 'from scratch' tena huku wakitafunwa na vikwazo vikali

..........ila inashangaza sana pamoja na uwekezaji wote wa Putin kwenye jeshi tangu Vita vya pili vya Chechneya, bado limeonekana na kasoro nyingi kwenye hii vita.
 
Asilimia kubwa ni mashoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…