Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ila ww jamaa ni mjuaji sana yaani Bahkmut isiwe na faida kijeshi?

Bahkmut ni muhimu kwa pande zote mbili maana ndio njia kuu ya usambazaji kwa wanajeshi wa Ukraine yaliyoko kwenye mkoa wa Dombas ,na ndio njia pekee itakayo ipa Urusi uwezo wa kuanzisha shambulizi dhidi ya majiji mawili ambayo ni Slavyansik na karamatosk ambayo ndo miji pekee mikubwa iliyo baki mikononi mwa Ukraine kwenye eneo la Dombas, tofauti na hapo Urusi hana njia nyingine ya kuanzisha shambulizi dhidi ya hiyo miji.

Na ni muhimu kwa Ukraine kwa sababu kuanguka kwa mji huo ni hatari sana kwa msitakabari wake kwenye vita ya kuiwania Dombas.
 
Sijafuatilia boss,Hivi Ukraine hawajatoa official statement yoyote kumbe.
 




Yaani wewe kwa kutafsiri habari kutoka kwenye vyanzo cya magharibi basi unajiona unajua mambo makubwa?

Sasa angalia unavyoandika andika bila hata kujua unaandika nini

"Bahkmut ni muhimu kwa ukraine kuliko ilivyo kwa Russia" hivi hata wewe mwenyewe ukisoma hii ina make sense hata kidogo?.....ni vyema ukajifunza kutafakari kwa kina kwanza kabla ya kupost post ili uonekane unajua


Unaandika vitu viiingi ili kuonyesha unajua mwishowe unajichanganya na kujikana,sasa nakuweke hii kutoka kwako mwenyewe,angalia ulichopost awali na sasa hivi uone kama unajielewa kweli wewe?
 
Nimezungumzia ugaidi unaofanywa na Ttp ( Pakistan Taliban) na sio Afghanistan Taliban wala hao Balochists, hayo ni makundi tofauti kabisa usijichanganye.
 
The U.S. has pledged to deploy so much firepower to the Indo-Pacific in 2023 that China won’t even consider invading Taiwan. Lawmakers and allies say it’s already too late.

Taiwan inajiandaa kweli kweli....
 
Ehee kumbe sasa hivi Afghanistan ndo taifa lenye nguvu za kijeshi kuliko yote ulimwengu baada ya kuwapa kipigo Marekani na mashoga wenzie [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] dah hili nilikuwa sijui kabisa.
Kwa hii kauli umekubali mwenyewe kwamba urusi anapokea kipigo haswa kutoka Ukraine [emoji106]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
hiyo Donbass vita ilianza 2014 hao waasi wakapigana na serikali. Leo hii miezi 10 imepita ya operation eti jeshi la Russia haliwezi kutumia advantage iliyokuwepo hapo Donetsk kuchukua maeneo yote na ya karibu.
Inawezekana hao waasi walikuwa wanashikilia maeneo madogo tu japo Vita vilianza toka 2014...........ila nachojiuliza kulikuwa na ulazima gani wa kuvamia Kyiv na baadae kugeukia mashariki baada ya kushindwa kwanini wasingepeleka vikosi moja kwa moja huko mashariki baada ya Vita kuanza ?....... kumbuka kabla ya Vita kuna mswada ulisainiwa na Putin ili kuruhusu askari wa Urusi kuingia huko Ukraine mashariki kuzuia walichokiita ' genocide ' dhidi ya wanaozungumza Kirusi.
 
Russia Warns U.S. Against Launching 'Decapitation Strike' on Putin
themoscowtimes.comDec 27, 2022 4:05 PM

Russia's Foreign Minister Sergei Lavrov.
Russian Foreign Minister Sergei Lavrov warned the United States on Tuesday against ordering a “decapitation strike” on President Vladimir Putin.


Lavrov’s comments refer to an anonymous U.S. military official telling Newsweek back in September that a special operation “to kill Putin in the heart of the Kremlin” had been “front and center” among the options being considered by the U.S. in response to Putin’s escalating nuclear rhetoric.

“Some 'unnamed officials' from the Pentagon actually threatened to deliver a 'decapitation strike' against the Kremlin,” Lavrov told Russia’s TASS news agency in an interview.

Describing the plans as “essentially a threat to physically remove the Russian head of state,” Lavrov warned of “consequences” should any such attack ever be carried out.


The Russian embassy in Washington slammed the so-called decapitation option as “reckless” and “delusional” at the time.

Lavrov on Tuesday also accused the United States and its NATO allies of seeking to defeat Russia on the battlefield in order to weaken or destroy the country. He also blamed the Biden administration for preventing the normalization of relations between the U.S. and Russia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…