mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Unajua maana ya kurudishwa nyuma?.kama wangekuwa wamerudishwa nyuma basi sasa ivi wangekuwa mpakani kwaoRussia wamerudishwa nyuma unasema miezi?
Hivi ni wewe ndio ulisema Russia ataiteka Ukraine kabla ya Christmas [emoji23][emoji23][emoji23]
Kutoka boder ya Luhansk mpaka Dibrova walipo vikosi vya Ukraine ni km hazizidi 3.Endelea kuota,majeshi ya Ukraine yanakaribia Kreminna Kwasasa yapo Zhytlivka, Dibrova na msitu wa Serebryanka. Kreminna ikifall Ukraine itakua imekata supply route ya Urusi kwenda Bakhmut
Shoga ni baba ako....Tutawapinga popote pale mnaharibu kizazi na agenda zenu za kishetani pro LGBTQ. Acheni ushoga aise
Walianza Ukraine ingeanguka baada ya siku 2 au 3, wakaja na miezi 2 na sasa imefika miezi 10 bado supa-pawa anapambana kufikia malengoRussia wamerudishwa nyuma unasema miezi?
Hivi ni wewe ndio ulisema Russia ataiteka Ukraine kabla ya Christmas 😂😂😂
Sasa raisi wa ukraine ameenda frontline bakhmut na akasema hali ni mbaya ila wewe uko hapa jf, location yako halisi inaweza kuwa namtumbo unasema tofauti huoni ulivyo mpotoshaji!? Unabishana na raisi wa ukraine aliyekwenda frontline kbs hapo bakhmut.Wakati anasema hayo alikuwa Bahkmut hiyohiyo. Na nyinyi ni superpower uchwara adui yenu yuko mlangoni na hamjui. Putin hajawahi leta pua frontline, wakati huo Ukraine ilimshambulia Dmitry Rogozin akiwa kwenye birthday party yake uko Donetsk nyuma zaidi ya Bahkmut na ndani ya eneo lililo chini ya Russia.
Btw Warusi tuambie vipi madaktari wa Moscow wameweza kumfanyia operation Rogozin au imesubiri wajadiliane mara nyingine? Maana mwanzoni alisema ameumia bega, baadae ikasemekana ameumia chini kidogo ya mgongo, baadae yeye akasema kuna chuma kimekwama kwenye mfupa gani sijui eneo la nyonga kama sikosei. Na amesema yuko hatarini kuwa paralysed. Tupeni taarifa tujue, Rogozin huwa napenda blatant bragging anayofanya na ingependeza akiponaView attachment 2460308
1. Maelezo mengi hayasaidii. Ni km 200k za mraba zimeenda mpk ss hv. Kuanzia Crimea mpk zaporozhie. Maelezo hayakusaidieni kurudisha walau km 1 [emoji16]. Ni 1/5 ya nchi ya ukreini. Nchi ya pili kwa ukubwa barani ulaya.1)Hahahaha naona umeshikilia km laki mbili, kilometres ambazo zimeshikiliwa na Urusi zinajumuisha Crimea pamoja na maeneo ambayo alikua akiyashikilia Urusi (kwa mgongo WA waasi) huko Donbass tangu 2014. Maeneo ambayo Urusi iliyakamata tangu wavamie February 24, zaidi ya 50% yamerudi chini ya Ukraine na bado Ukraine inachanja mbuga soon Kreminna itarudi ambapo itakata Supply route ya warusi kwenda Bakhmut.
2)EU walitoa ufafanuzi wa taarifa ya Ursula na kusema kwamba 100k ilijumuisa majeruhi pamoja na waliokufa kama taarifa ya Pentagon ilivyoeleza awali.
3)Halafu unauliza km za Urusi zimeenda ngapi,kwani kuna aliyeivamia Urusi?!
4)Tumia akili
Kuhusu suala la kulipwa inawezekana. Au sio tu kulipwa bali benefits nyinginezo. Watu kadhaa washawahi kugusia hilo humu lisemwalo lipo!Nafikiri humu kuna watu wanalipwa na pengine inawezekana JF yenyewe ili kurefusha mjadala si unajua na faida ndipo imo humo?!
Nimejaribu tu kuwaza kwa sauti.
Kwa sababu kama kiwango cha ujinga cha hawa kimezidi na ID mpya zinazuka mmoja akizimwa.
Ukiunganisha dot na waliochaguliwa kwenye kinyang'anyiro cha mwana JF bora wa jukwaa la kimataifa ni walewale. Nahisi tunazungukwa hapa!?
Nimejaribu kuwaza tu! Ila si mbaya elimu inapatikana. Wao wanapata faida yao (kama ni kweli) na sisi tunapata faida ya elimu.
Hali mashoga kama wewe bottomShoga ni baba ako....
Huwa anakula mashoga kama wewe sio ?Hali mashoga kama wewe bottom
Yawezekana kabisa Putin akaondolewa na wenzake, lawama akabebeshwa USA...Russia Warns U.S. Against Launching 'Decapitation Strike' on Putin
themoscowtimes.comDec 27, 2022 4:05 PM
Russia's Foreign Minister Sergei Lavrov.
Russian Foreign Minister Sergei Lavrov warned the United States on Tuesday against ordering a “decapitation strike” on President Vladimir Putin.
Lavrov’s comments refer to an anonymous U.S. military official telling Newsweek back in September that a special operation “to kill Putin in the heart of the Kremlin” had been “front and center” among the options being considered by the U.S. in response to Putin’s escalating nuclear rhetoric.
“Some 'unnamed officials' from the Pentagon actually threatened to deliver a 'decapitation strike' against the Kremlin,” Lavrov told Russia’s TASS news agency in an interview.
Describing the plans as “essentially a threat to physically remove the Russian head of state,” Lavrov warned of “consequences” should any such attack ever be carried out.
The Russian embassy in Washington slammed the so-called decapitation option as “reckless” and “delusional” at the time.
Lavrov on Tuesday also accused the United States and its NATO allies of seeking to defeat Russia on the battlefield in order to weaken or destroy the country. He also blamed the Biden administration for preventing the normalization of relations between the U.S. and Russia.
Nashukuru mkuu Kama umemuongezea chochote aelewe zaidiNilimuuliza anataka Pakistani watumie nyuklia dhidi ya Pakistani taliban!? Kwa bahati mbaya hata hakuelewa!
[emoji16][emoji16][emoji16]
Inabidi Tanzania tununue hata 2 tuziweke Kagera au NgaraHizo himars zimejitangazia soko zenyewe kwa performance ilizoonyesha na hapo bado Ukraine imenyimwa missile za masafa marefu...
Wao wanadai kuwa ile base haijapigwaMpaka Sasa Putin haamini kipigo anachotembezewa.., kabaki kwenye mikwara tu..,Jana Ukraine kachakaza airbase Yao , lakini Leo hatujaona zile mbwembe za kurusha makombora Kyiv [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hata Supa-pawa anapokea silaha kutoka Iran na North Korea.SMO imekuwa ngumu sababu ni misaada ya silaha na pesa toka western.
Kama ingekuwa kweli angeishaiteka Kyiv kitambo.....hao mamluki wapo wengi kiasi gani mpaka waunde % kubwa ya jeshi la Ukraine ?...vipi na hao wafungwa na raia wa kigeni wanaopigana upande wa Supa-pawa ?Week 2 au tatu za mwanzo za SMO Ukraine ilikuwa tayari uwezo wake wa kijeshi ulikuwa umeharibiwa kwa zaidi ya 90%. Misaada tu ndio inalifanya jeshi la ukraine ambalo kwa sasa % kubwa mamluki toka nchi mbalimbali.
Tatizo gharama za operation zake....hizo missiles zake ghali sana.Inabidi Tanzania tununue hata 2 tuziweke Kagera au Ngara
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ndo vita pekee ambayo Marekani kapata uhakika wa kutumia silaha zake kwa ukamilifu dhidi ya Urusi, karne mpyaUzuri ni kwamba kaka mkubwa yupo kufadhili pambano.
Amka hapo kwa shemejiJamani hizi story za kujifurahisha tu!! ukweli ni kwamba Ukraine imechakaa sio nchi ya kukaliwa tena na watu kwa amani.... sasahivi mwamba the Putin katoa amri kuwe na. mazungumzo ya amani akimaanisha Ukraine wakubaliane na kilichotokea (kumegwa kwa ardhi ya Ukraine) akikaidi Ukraine itakabiliwa na hatua za kijeshi kutoka Urusi.....