Walijiandaa kwa hii vita muda mrefu ila hawakuwaheshimu wapinzani wao.Ila jamaa (Urusi) wana artillery nyingi Sana nadhani waliwekeza Sana hapo.
Shoga baba akoAcha kujipendekeza hatutaki mashoga mnaharibu dunia
Atwkupelekea moto we jipendekeze tu***** baba ako
Kama hivyo itakua ni Jambo zuriUkraine amefufua uzalishaji wa artillery.
Na walisema wamegawanya viwanda sehemu tofauti tofauti ili hata ikitokea attack basi viwanda vingine viendelee na kazi.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Huwa anakupelekea wewe pia ?Atwkupelekea moto we jipendekeze tu
Njoo kwenye content kuhusu nuclear na kile ulichochangia mwanzoNimezungumzia ugaidi unaofanywa na Ttp ( Pakistan Taliban) na sio Afghanistan Taliban wala hao Balochists, hayo ni makundi tofauti kabisa usijichanganye.
Dunia hii nani akuogope bila nyuklia?Unafikiri kuwa na silaha za nyuklia ni suala la mchezo!?
Ulisema ukiwa na nuclear unajihakikishia usalama dhidi ya taifa hasimu......vipi kuhusu usalama wa ndani (hasa usalama wa hizo silaha ikiwa nchi ina changamoto za usalama wa ndani )?Njoo kwenye content kuhusu nuclear na kile ulichochangia mwanzo
Huu uchoko mpaka uache hamuwezi kuharibu dunia na mambo yako ya kishogaHuwa anakupelekea wewe pia ?
Umeamua kujipiga picha na kujitangaza kabisa.Huu uchoko mpaka uache hamuwezi kuharibu dunia na mambo yako ya kishogaView attachment 2460767
Vitendo mnavyovifanya sirini mnataka mvilete hadharani. Hatutakubali ntakukemea kila sehemuUmeamua kujipiga picha na kujitangaza kabisa.
Kwa hiyo wewe ni muhanga wa hivyo vitendo vya sirini umeamua kujitokeza hadharani ?Vitendo mnavyovifanya sirini mnataka mvilete hadharani. Hatutakubali ntakukemea kila sehemu
Kwa mtazamo wangu naona silaha za nyuklia zimeongeza usalama duniani maana bila ya nyuklia bila Shaka Dunia ingekua imeshashuhudia WWIII au hata WWIV. Leo hii Russia anaogopa kuvamia mwanachama wa NATO sababu kuu ni nyuklia pia NATO wanaogopa kuivamia Urusi sababu kuu ikiwa ni nyuklia,MAD.Ulisema ukiwa na nuclear unajihakikishia usalama dhidi ya taifa hasimu......vipi kuhusu usalama wa ndani (hasa usalama wa hizo silaha ikiwa nchi ina changamoto za usalama wa ndani )?
Kama ukiwa na nyuklia ndio usalama mbona hao wakubwa walikuwa na mikataba ya kupunguza huo usalama huku wanazuia wengine kumiliki wawe salama ?Kwa mtazamo wangu naona silaha za nyuklia zimeongeza usalama duniani maana bila ya nyuklia bila Shaka Dunia ingekua imeshashuhudia WWIII au hata WWIV. Leo hii Russia anaogopa kuvamia mwanachama wa NATO sababu kuu ni nyuklia pia NATO wanaogopa kuivamia Urusi sababu kuu ikiwa ni nyuklia,MAD.
Aliyesema hivyo ni jamaa mmoja anaitwaRussia wamerudishwa nyuma unasema miezi?
Hivi ni wewe ndio ulisema Russia ataiteka Ukraine kabla ya Christmas [emoji23][emoji23][emoji23]
Sure,ni background tu to the conflictToo late..
NWOSure,ni background tu to the conflict