Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Israel inazitumia kila siku huko Syria...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani israel yupo vitani na Syria mpaka kila siku atumie ndege vita.Israel anatumia sana f-16 na f-18 kwenye mashambulizi Syria.

Israel ndo mtu wa kwanza kutumia F-35 kwenye mashambulizi.na imetumika mara 4 tu kwenye mashambulizi,mpaka walipoamua kutozirusha kwa sababu ya kuonekana zina shida.

Sasa hapo zimetumika vipi.ungeniambia F-16 nisingepinga maana ni ndege iliyotumika sana kwenye operation nyingi na pia katika ndege bora zilizofanya vizuri uwezi kukosa kuitaja.

Kwenye F-16 walitulia.wanastahili pongezi[emoji120]
 

Sasa Kaka mbona unabadili mada!!!! Nani kazungumzia kuhusu Russia kuishiwa Missiles?!

Wewe umesema Cruise missiles ni cheap,nimekuwekea Bei ya Cruise missile,ikionyesha sio cheap.

Sasa hayo mengine yanatokea wapi tena[emoji23]

Kwenye hizo missile 120 walizoangusha kuna kilichobadilika kwenye uwanja wa Vita?! Offensive yao kule Bakhmut imepungua Kasi, Ukraine inasonga mbele Svatove na Kreminna ambapo hiyo miji ikianguka supply route za Russia kwenda maeneo ya Donetsk inakua imekatwa ikiwemo Bakhmut.
 
MKUU INATEGEMEANA ILIKUWA UMBALI GANI INAWEZEKANA ILIKUWA IPO KARIBU TUU.
Soma vizuri comment yangu niliyomjibu mwenzako.

Ndege za Urusi huko Ukraine zinaruka chinichini ili kukwepa zisionekane na hizi long-medium range air defenses kama S-300 na BUK. Sasa zikishuka chini ndio zinakutana na Manpads ndio maana imekua ngumu kwa Urusi kukamata anga la Ukraine kikamilifu.

Kuna Manpads kama Starstreak ya Muingereza hii inakimbia mara nne zaidi ya Kasi ya sauti (Mach 4) hakuna ndege inaweza kuiout run hyo missile maana inampa rubani muda mchache Sana kurespond.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Taarifa zako sijui uwa unatoa sehemu gani maana zinachekesha sana kwa kweli.Bakhmut Warusi wanazidi kusonga mbele na muda sio mrefu njia zote zinakaribia kufungwa kwa iyo Mariupol inaenda kutokea tena Bakhmut.

Ebu angalia hapo kwenye ramani, Optyne ilikuwa kwenye vikosi vya Ukraine je sasa ivi ipo wapi[emoji23][emoji23][emoji23].

Kuna kichapo kikali kinaendelea muda huu maeneo ya Dibrova. Km 7 kufika mji wa Kremina.Warusi wanateketeza msitu kwa kutumia ndege vita ili kusiwe na hata mdudu atakayetoka kwenye msitu, alafu baadae wanajeshi wanaingia kumaliza masalia
 
Sasa hio sio kawaida
Ukweli unabakia pale pale kua ndege zina shida nandio maana zikazuiwa

Hilo nalo lakupinga !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichapo kimeendelea usiku wa kuamkia leo kwenye mji mkuu wa Kyiv.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

Mashambulizi ya drone yamefanyika




 
[emoji635][emoji3538][emoji1255]AFU are suffering serious losses in the battles at Bakhmut and Soledar, said Oleksiy Arestovych,advisor to the Office of the President of Ukraine

"They are desperately trying to attack there... They are supported by tanks, aircraft and artillery, which in combination with suicide tactics gives a certain effect. In any case, we are suffering serious losses ..."– Oleksiy added

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hahahaha haha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umerudi tena na picha zako za mchongo!!!!

Hiyo Bakhmut tangu wiki mbili zilizopita unatuambia warusi wanasonga mbele,ulisema wapo karibu kuingia mjini Bakhmut....Leo bado wanasonga mbele tu...hawafiki!!!![emoji23][emoji23]

Offensive ya Russia hapo Bakhmut ishapungua Kasi na sasa hawasongi mbele tena baada ya Ukraine kupeleka reinforcement hapo ikiwemo Azov battalion. Urusi kuikamata Bakhmut asahau.

Hapo Kreminna warusi wamehamisha HQ yao imepelekwa Rubizhne,ukihamisha military command maana yake inashambuliwa na huwezi ilinda tena....ipo kwenye range ya artillery za Ukraine.
Warusi wameanza kuretreat kwenda pembezoni ya mto Krasna.
Warusi walijaribu kufanya mashambulizi hapo Chervonopopivka Ukraine wakawabalasa.

Eti wanafanya mashambulizi ya ndege,ndege hizihizi ambazo kila siku zinashushwa na Stingers au!!!!!!!!? Halafu ndege inashambulia msitu Aiseeee [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una muda gani toka useme Majeshi ya Ukraine yanaenda kuchukua mji wa Stavote na kremina.ina maana kila siku wanaenda awafiki[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una muda gani toka useme Majeshi ya Ukraine yanaenda kuchukua mji wa Stavote na kremina.ina maana kila siku wanaenda awafiki[emoji23][emoji23][emoji23]
Pidkuichans'k imekombolewa Jana.

AFU wameanza kurusha mizinga Zmiivka ambayo ipo 3km toka Svatove.


I'm sorry, I should have clarified, the AFU are now possibly close enough to Svatove to be able to smell eventual Orc BBQ parties.

In #Zmiivka (near #Svatove), Luhansk Oblast, the 92nd Motorized Brigade & 40th Special Operations Brigade #AFU inflicted fire damage on the Russian MLRS BM-21 "Grads" @GeoConfirmed
1st hit 49.454637, 38.072994
2nd hit 49.451408, 38.066733
twitter.com/SerDer_Daniels…
 
Muda utaongea.tutajua tu Kremina itabaki upande gani na Bakhmut itabaki upande gani.


Kwanza unatakiwa kujua Bakhmut ni kubwa sana.svatove + kremina na bado hazifikii Bakhmut.Bakhmut ni mji mkubwa sana kieneo.
 
Kwa iyo siku zote izo wapo kwenye ivyo vijiji vi 2[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].sasa mpaka kufika svatove si itachukua miaka
 
Kwa iyo siku zote izo wapo kwenye ivyo vijiji vi 2[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].sasa mpaka kufika svatove si itachukua miaka
Kama vile ambavyo Warusi tangu mwezi uliopita wanasema watawa- encircle Ukraine hapo Bakhmut lkn mpk Leo OLAAAA!!!

Bakhmut
RU aims to encircle Bakhmut in preparation for a future attack on Kramatorsk-Slovyansk (stated by Wargonzo today). Everyone who was not dropped on the head as a child see this is not within the realm of possibilities.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…