President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Kumbe hujui. Unasoma biblia gani wewe? Ibrahim alikuwa Mrusi kabisa.Yaani Ibrahim alikuwa mrusi? teh teh teh teh
Nakusahihisha mwenye Chechnia hawana wanamgambo Wana wanajeshi tu ila Ukraine ndio ina wanamgambo mpaka toka Nchi mbalimbali pamoja na magaidiNaombeni kuuliza hivi Wale wanamgambo wa chechnia mbona siku hizi siwasikii sana? Wapo kweli au ndio waliamua kurudi makwao?
Ukosefu was nidhamu ya kijeshi na kuchukulia Vita Kama mchezo wa mpira. Mtu Yuko uwanjani katika eneo la kivita but sio mstari wa mbele, lakini haamini Kama watu wanakufa kweli.Sasa ilikuwaje hawa walio shambuliwa wakawa nazo?
Duh! Inasikitisha sana kuona Putin anaendeleaa kuwapeleka machinjioni watoto wa mother Russia 🥱🥱Putin alisahau huu usemi au labda haujui",Vita si lelemama".[emoji848]
Jan. 5 update on russian losses in the war
View attachment 2469531
Nyie wapinga kristo tunawajua. Sisi tuna Mungi nyie mnashetani.Duh! Inasikitisha sana kuona Putin anaendeleaa kuwapeleka machinjioni watoto wa mother Russia 🥱🥱
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Acha unafiki sheikh...Sipendi wa2 kuuawa,, lakini niko upande commando PUTTIN. Sababu kuu?? Hayumbishwi na nchi za magharibi.
Andika thread za mahaba huku huwezi maana utaonekana mjinga.Sahii kabisa,
Zelensky Ni Raisi mpumbavu Sana.
Hii Vita hakukua na ulazima wa kuipigana
Hiyo Kyiv imeshatekwa ?kiev imezungukwa kila upande kuna raia wengi wanabidi watoke kwanza baadhi wanajeshi wa ukraine wanavaa kirai na kura kona
Huu msafara wa Supa-pawa ilikuwa vituko vitupu...Wanaouliza ule msafara mrefu mbona haufiki?.
Issue ni kwamba Ukraine inaanza kuharibu huo msafara na Hadi mwezi unaisha Watakuwa wameshauharibu Hadi Beralus.
View attachment 2145472haa
Mimi nimeisha m'block huyo KipanyaMkuu kila kitu kipo wazi na hila za west azijaanza leo ..lakin watu wanajidai hamnazo...Kama huyo kipanya hata umpe fact vip atakupa jibu la kitoto yaan cjui waafrica tuna matatizo gan
Uturuki ni taifa kubwa.Mwaka juzi kulikuwa na uzi nadhani ni wa North Korea nikadokeza somewhere kwamba Uturuki inaweza ipiga Iran watu wakaja juu kweli kwamba nawakosea Iran. Ila Uturuki ni taifa lingine kwenye silaha na ni superpower kwenye drone tangu kabla ya hii vita ianze. Silaha nyingine za Uturuki kama meli za kivita, helicopters, jet trainers, IFVs na APCs, missiles na precision guided munitions tuziache kwanza. Bado nasema hivi Iran hawezi kumpiga Uturuki na ambavyo dynasties za Persians zina historia ya kupigana na Ottomans mara nyingi. Hawa wote wapiganie mipakani ila sio deep in territories hiki tunachokiona kwa Ukrainians kiko kwenye damu ya Wairan sio kwamba unaanza kuwahamasisha.
Yale mapinduzi ya 2016 yaliyofeli Uturuki maelfu ya raia waliingia barabarani kutengeneza human chain kuzuia vifaru vya wanamapinduzi visipite, kuna clip nadhani YouTube bado zipo raia wamezuia njia crew ya kifaru ikafungua hatch kuongea nao raia wakawashusha na kuwachapa makofi. Nikiunganishi na jinsi Ottomans walivyopigana kwenye Gallipoli campaign kuzuia zile staits ambazo unapitisha meli za kivita ndio uende Urusi. The way kina Winston Churchill kipindi hicho ni kamanda walivyoshindwana na Waturuki mpaka kila upande ukapoteza wanajeshi 56,000 kwa vifo naamini Uturuki ukiwachokoza ujipange sana. Kuna jamii zina spirit ya tangu kale ya kupigana
Uturuki anaizidi China na Urusi kwenye unmanned aerial vehicles ila anazidiwa mbali na Israel na Marekani. Hizi ndege za Russia kina Su-25 na Mig-34 zinazopigwa kwenye anga la Ukraine hazina ulazima sana wa kutumika kama Russia ingekuwa na effective attack drones. Uzuri ni kwamba ukiwa na drone huogopi kupoteza rubani na unakuwa na confidence, rubani akiwa na Su-25 anakuwa na hofu, anaenda haraka na coordinates anaweza kosea kwa kiwewe maana kila siku ndege zinadondoshwa na mwishowe anakosea target. Operator wa drone anatulia maana haoni kingine zaidi angani, hata ikipigwa hatokufa, drone si gharama sana na zimetengenezwa kwa materials ambazo ni ngumu kuziona kwa radar.
Syria na Iran hawawezi kuishinda Uturuki kwa chochote, hao bado wanajitafuta.uturuki ishakutanaga kwenye battle na syria na uturuki akakalishwa ilifika stage uturuki ikaomba patroit kutoka marekani hata kwenye mgogoro drone tb2 hazijafanya kitu . Upande wa iran iran irgc wana uzoefu coz wametapakaa mashariki ya kati kuhusu drone iran historia inawabeba mjadara wa uturiki na syria upo humu humu