Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,724
USA wanaelewa hali ni mbaya hukoUkiangalia mahudhui aliyotumia wakati akiripoti hii habari,utagundua kwamba Millard ni Moja kati ya vijana wa hovyo View attachment 2471244
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hizi ndio habar za kina kipanya 🤣🤣🤣🤣🤣Halafu tunategemea hii vita russia ashinde kwa propaganda.
View attachment 2471217
Anataka Ukraine wayatambueje wakati walishapiga Kura na kusema hayo maeneo ni sehemu ya halali Urusi na kwamba watayalinda hata kwa silaha za nyuklia!!!!RUSSIA na PUT IN wakitaka SMO iishe nirahisi tu c wanaondoka UKRAINE
Ila kwakua hawataki SMO imalize punde wamesema wazi ili SMO imaliE UKRAINE wayatambue hayo maeneo kama ni RUSSIA la sivyo wanaendelea na SMO
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani ndo unatoka usingizini muda huu.Bakhmut sasa ivi hali ni mbaya sana kwa vikosi vya Ukraine.wanajaribu kuvunja madaraja ili kuwapunguza Warusi kasi ila bado ngoma ngumu.ilo eneo unaloliona hapo ndo daraja lilipo.Hivi si kuna kipindi Wagner walikua karibu kabisa kuingia Bakhmut mjini,baadae wakarudishwa nyuma!!!
Wiki mbili zilizopita ulipost hapa Opyte karibu inachukuliwa na Wagner,baadae wakarudishwa nyuma.
Huo mji watapigana mpk atakaeona anapoteza Sana aamue kusalimu amri Ila shughuli ya Bakhmut si ya kuisha Leo wala kesho.
Russia anasonga mbele wapi?!Kama hawana equipment nzuri inakuwaje bdo anazid kusonga mbele na Ukraine kila cku inaharibiwa ...
Sasa UNATAKA russia watupie nuclear Ukraine au???Hii mikwara iliishia wapi wakuu [emoji57]View attachment 2471274
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Russia ana askari 900,000 wa wa kazi na anareservr ya 1,200,000 assume alopoteza ni 10,000 na hao wengi waliokufa sio well trained tunasema wasafisha njia. Nyie mnachukulia habari zenu wapi? Ukija kwa silaha russia anatumia za zaman sana hajatumia silaha kali kabisa.
Mkuu nikukumbushe hii ni special military operation ZONE,Mm shabiki Kindaki ndaki wa Russia..Lakini amefail sana katika hii vita udhaifu wake ni mkubwa sana Kijeshi
Alipokua week iliopita ndio alipo Saiv au ...axel kua neutral utaona ukweli ila ukisema we shabik wa upande fulan bhc utaona mazur tuh ya huo upande uliopo hata Kama Ni uongoRussia anasonga mbele wapi?!
[emoji23][emoji23]Hali ni mbaya Ila sio kama unavyokoleza wewe hapa jukwaani,Kwa mujibu wa Ramani zako ulizoleta hapa ni kwamba Soledar imebebwa,nikiangalia Ramani zako umezitoa kwa ProRussia huko Twitter...Ramani za ProUkraine inaonyesha warusi wanasonga mbele Ila sio kama unavyotuletea wewe hapa ndio maana hata kupost sijapost maana sielewi yupi mkweli yupi Muongo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani ndo unatoka usingizini muda huu.Bakhmut sasa ivi hali ni mbaya sana kwa vikosi vya Ukraine.wanajaribu kuvunja madaraja ili kuwapunguza Warusi kasi ila bado ngoma ngumu.ilo eneo unaloliona hapo ndo daraja lilipo.
Kwa iyo Warusi wapo karibu kabisa na katikati mwa mji wa Bakhmut.View attachment 2471292
Soledar kwa sasa sio ya kuongelea kwa sababu ishanguka ilo hakuna ubishi.Bakhmut nayo ndo inaenda kuanguka ivyo ivyo.kama unaona naongopa basi leta taarifa mpya kutoka kwenye vyanzo vyako vya kuonyesha Warusi wapo wapi hapo Soledar[emoji23][emoji23][emoji23].[emoji23][emoji23]Hali ni mbaya Ila sio kama unavyokoleza wewe hapa jukwaani,Kwa mujibu wa Ramani zako ulizoleta hapa ni kwamba Soledar imebebwa,nikiangalia Ramani zako umezitoa kwa ProRussia huko Twitter...Ramani za ProUkraine inaonyesha warusi wanasonga mbele Ila sio kama unavyotuletea wewe hapa ndio maana hata kupost sijapost maana sielewi yupi mkweli yupi Muongo.
Week mbili zijazo utarudi tena hapa utapost ramani utasema Bakhmut Hali ni mbaya Kwa vikosi vya Ukraine,mpk tutafika Pasaka ngonjera itakua hiyohiyo.
Narudia tena Bakhmut Ngoma bado mbichi,kama picha ndo Kwanza trailer. Kama unabisha nitakukumbusha week mbili zijazo.
Hii Bakhmut kazi yake ishakwisha kwa sasa.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Ukraine defence imezama kwa sasa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zelensk kama vile namuona anavyotoa macho.View attachment 2471306
Yani we jamaa unachekesha,inaelekea hujui hata unachozungumzaKwani we hujui siraha za URUSI.
Sasa kama alitumia hypersonic missile muliifanya nini, maana hata Nato Na USA HAWANA hio.
Kwanza nikukumbushe
HII NI SPECIAL MILITARY OPERATION ZONE.
na wameweka limit ya matumizi ya siraha hata USA wanajua,
INGIA YOUTUBE TAFUTA DOCUMENTARY YA SPECIAL MILITARY OPERATION UTAIONA.
ILIKUWA CHANNEL NYINGI TUU YOUTUBE , NA WANZEE WA MAGHARIBI WALIIONDOA
ILA STILL IPO.
Wanajiita mashabiki no wonder wanavopayuka ...na cku zote uwongo huenea haraka kuliko ukweliiUSA wanaelewa hali ni mbaya huko
zous
Angalia picha ya jamaa kp kipanya44
USA wanaelewa hari mbaya huko , sasa watu HUMU ndani wanapayuka tuu.
Yani we jamaa unachekesha,inaelekea hujui hata unachozungumza
Embu tuambie kwenye convectional weapons,ni silaha gani ambayo Urusi haijaitumia bado hapo Ukraine?!
Watu wanatumia mpaka Phosphorus munitions halafu wewe unatuambia eti wameweka limit ya silaha?! Haya tutajie convectional weapon ambayo Russia bado hajaitumia kwenye hii vita.
Maana naona sasa hivi WANASEMA URUSI nimetumia siraha za aina yote.Wanajiita mashabiki no wonder wanavopayuka ...na cku zote uwongo huenea haraka kuliko ukwelii