Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Ingekua rahisi hivyo bhas majeshi yote duniani yangeacha kutengeneza hizi APC na aina nyingine za armoured vehicles na kutengeneza Makombora ya masafa marefu tu. Makombora Peke yake hayawezi kushinda vita hata siku moja ndio maana huyo Russia anatumia ground forces,ingekua Makombora yanashinda vita unadhani Putin angekubali kupeleka ground forces pale Ukraine zikafe kama kumbikumbi?! Au unadhani yeye Roho haimuumi kupoteza maelfu ya wanajeshi?!

Mpaka sasa hakuna mbadala wa kifaru kwenye vita vya ardhini na ndio maana bado vinatengenezwa tena Kwa gharama kubwa, Urusi ana project yake ya Armata tanks,Marekani ana Abrahm X. Huwezi kuacha kutengeneza ndege Vita eti kisa kuna air defenses!!!!!

Mambo sio rahisi rahisi kihivyo kama unavyofikiria.
 
Kuna mtu anakaribia Tangaza Mobilization ya wanajeshi 500,000
Kama hizo taarifa ni za kweli ina maana atakua kapeleka wanajeshi takribani 1m

Wakati wa uvamizi alianza na 190,000

Akafanya mobilization ya 300,000

Now anataka 500,000


Halafu kuna watu utawaskia eti hii ni SMO, Operation gani unafanya mobilization ya watu 1m huku ikitumia takribani mwaka mzima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Putin mwaka huu kapatikana
 
Ukraine Intelligence ndo imesema hivyo
 
Na safari hii mataifa ya magharibi yamesimama nae Kweli. Alijifanya mjuaji kuwawekea pandikizi Trump sasa wamemridi yeye sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…