T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Hata Warusi wanatushangaza. Hii ni version yao ya JDAM inaonekana kama bomu la waasi wa Syria, imefungwa kienyeji kwenye rail ya hardpointNgoja tusubiri tuone maana Ukraine hawajawahi acha kutushangaza,kama waliweza ku Intergrate zile HARM missiles na old soviet jets sidhani kama hili litawashinda.
Bushmaster nilizikubali wiki ya kwanza zimefika vitani. Survival rate yake kubwa ila kuna kitu haziwezi vizuri najitahidi kukumbuka kama vile waliozitumia Iraq walidai hazina performance nzuri kwenye mchanga. Na kwa sasa IFV na APC za NATO zitakuwa expensive kuliko hata vifaru vya sasa.Ila kwenye hii vita nimezikubali zile Bushmaster za Australia.
Hata hizi MRAP za Mmarekani,kuna video nimeona mahali hiyo MRAP imekanyaga mine ikalipuka lkn wanajeshi wote wametoka salama salimini.
Mkuu naona unawachokoza ProRussia maana wakiona hii hawatakuacha salama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata Warusi wanatushangaza. Hii ni version yao ya JDAM inaonekana kama bomu la waasi wa Syria, imefungwa kienyeji kwenye rail ya hardpointView attachment 2472067
Bushmaster nilizikubali wiki ya kwanza zimefika vitani. Survival rate yake kubwa ila kuna kitu haziwezi vizuri najitahidi kukumbuka kama vile waliozitumia Iraq walidai hazina performance nzuri kwenye mchanga. Na kwa sasa IFV na APC za NATO zitakuwa expensive kuliko hata vifaru vya sasa.
Hizi projects kama Lynx unakuta unit ina bei kubwa mno unaweza nunua Leopald 2 mbili.
Hivi hakuna machine gun inaitwa Bushmaster, hili jina sio la silaha moja
Sasa hivi hawapo wamesubiri Kalibr zitumwe zilipue apartment na kuua raia kisha waje na takwimu za Lt. Gen. Igor Konashenkov msemaji wa wizara ya ulinzi, yule jamaa muongo balaa alafu anadanganya akiwa serious. Kazi yake anaiweza sanaMkuu naona unawachokoza ProRussia maana wakiona hii hawatakuacha salama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha unanikumbusha last week alivyokua akisema (tena yupo serious) wamelipua HIMARS systems mbili ambazo zilifanya mashambulizi pale Makiivka na kuua mamia ya wanajeshi ya wanajeshi wa Russia [emoji23].Sasa hivi hawapo wamesubiri Kalibr zitumwe zilipue apartment na kuua raia kisha waje na takwimu za Lt. Gen. Igor Konashenkov msemaji wa wizara ya ulinzi, yule jamaa muongo balaa alafu anadanganya akiwa serious. Kazi yake anaiweza sana
Kwa msaada wa Google nimeipata ni chain gun. Nilidhani niliisoma kwenye silaha za WW2 kumbe sio, Bushmaster sio official name ndio maana inasahaulikaIla mazingira ya Iraq na Ukraine ni tofauti,Ukraine ardhi Yao ni kama mfinyanzi fulani hivi sio mchanga mwingi kama ilivyo Iraq.
Kama hizo Bushmaster Bei inafika mpk $2m.
Usalama wa wanajeshi ni muhimu,ni kheri upoteze kifaa maana utanunua kingine kuliko mwanajeshi,kupoteza mwanajeshi/wanajeshi ni hasara maana kuwatrain inachukua muda na gharama kubwa Sana.
Sijawahi isikia hiyo Machine gun ya Bushmaster.
Ina maana Warusi wanategemea tu missiles na drone ? Airforce yao mbona kama haisikiki tena?...ndege zote zile karibu 1000 inakuaje wanashindwa kumiliki anga la adui mpaka leo huko AD za adui zinazidi kuongezeka ?Sasa hivi hawapo wamesubiri Kalibr zitumwe zilipue apartment na kuua raia kisha waje na takwimu za Lt. Gen. Igor Konashenkov msemaji wa wizara ya ulinzi, yule jamaa muongo balaa alafu anadanganya akiwa serious. Kazi yake anaiweza sana
Kama walishindwa kumiliki airspace ya Ukraine Kati ya February -April bhas Kwa sasa ndo haiwezekani tena maana kila siku Mjomba anazidi kuimarika.Ina maana Warusi wanategemea tu missiles na drone ? Airforce yao mbona kama haisikiki tena?...ndege zote zile karibu 1000 inakuaje wanashindwa kumiliki anga la adui mpaka leo huko AD za adui zinazidi kuongezeka ?
Hizo HIMARS zake anazotolea taarifa wamelipua Warusi wakijumlisha zinafika 27, wakati Marekani imetuma 20 tu hadi sasa. Hata Bayraktar alitwambia idadi waliyoharibu ikawa kubwa mpaka Baykar wenyewe wakaja kukanusha hawajawahi kuuza idadi yote hiyo kwa Ukraine. Sijui wanapiga in advanceHahahaha unanikumbusha last week alivyokua akisema (tena yupo serious) wamelipua HIMARS systems mbili ambazo zilifanya mashambulizi pale Makiivka na kuua mamia ya wanajeshi ya wanajeshi wa Russia [emoji23].
Halafu anakwambia tumeua wanajeshi 100 wa Ukraine lkn Kwasasa hamuwezi kuona ushahidi sababu Ukraine wamefanya usafi kwenye jengo kuficha ushahidi [emoji23][emoji23][emoji23]
"Sijui wanapiga in advance"Hizo HIMARS zake anazotolea taarifa wamelipua Warusi wakijumlisha zinafika 27, wakati Marekani imetuma 20 tu hadi sasa. Hata Bayraktar alitwambia idadi waliyoharibu ikawa kubwa mpaka Baykar wenyewe wakaja kukanusha hawajawahi kuuza idadi yote hiyo kwa Ukraine. Sijui wanapiga in advance
Dmitry Peskov msemaji wa Putin huwa anajifanya kuna kitu hajui, ukimpiga swali la ghafla anakana hicho kitu hajawahi sikia au anajifanya mzembe anadai hajafatilia
So kumbe hat U.s kule vietnam nae angeshinda sema tu nae alichangiwa na Nchi zaid 30?Hivi kuna MTU anawasiwasi na superpower wa urusi?yaani unachangiwa na nchi 30 bado unaendelea kushinda na kushika maeneo ni mjinga tu ambaye anaweza kuwa na wasiwasi na superpower wa warusi.
Mpaka sasa sielewi doctrine ya Russia ikoje kwenye kutumia air force kushambulia kusafisha njia. Nilishaandika humu nashangaa hawakufanya SEADIna maana Warusi wanategemea tu missiles na drone ? Airforce yao mbona kama haisikiki tena?...ndege zote zile karibu 1000 inakuaje wanashindwa kumiliki anga la adui mpaka leo huko AD za adui zinazidi kuongezeka ?
Inasemekana 'military doctrine' ya Russia airforce imechangia wao kushindwa (japo bado sijachimba Sana)..
Axel Lloyd
ProvedRussia inatumia ndege chache kwenye hii vita kwa sababu haina complete air superiority, anga la Ukraine bado liko contested. Siku ya kwanza Russia ilitumia makombora kama 100+ ambayo sio mengi.
Marekani wana tactic wanaiita Wild Weaser. Wanatoa ndege kama nne wanaziweka kwenye formation, zinaenda anga la adui sehemu wanayotaka kusafisha wanatanguliza ndege yenye radar cross section kubwa ila yenye countermeasures nyingi kama flares, electronic na chaffs. Ile ndege inatumika kama chambo, radar zinawashwa na SAM sites za adui zinatuma makombora. Kule nyuma mbali kabisa kuna ndege ya AWACS inasoma radar ziko wapi na makombora yanatoka wapi, zikisoma zinatuma wapi communications, vituo gani vinaonekana kufanya relay ya taarifa. AWACS inaambia zile ndege kwenye formation zikashambulie. Hapo wanakuwa wamefanya suppression of enemy air defense (SEAD).
Hapo airbase zishashambuliwa na zinabaki ndege chache ambazo hazina guidance nzuri ya ground radar ambapo marubani wa Marekani kwenye dogfights hawashindwi na training zao nyingi. Changamoto nyingine zinakuwa MANPADS kwa ndege kama A-10 Warthog ambayo ni reinforced na imara sana.
Doctrine za Russia sijui. Hata hivyo inawezekana NATO zile recon aircrafts zao zinazokaa angani 24/7 zinafanya monitoring ya anga na kuiambia Ukraine. Long range SAM sites za Ukraine ziliharibiwa nyingi mwanzoni