kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Maumivu yakizidi muone daktari.., ukweli ni kwamba urusi anajaribu kuficha aibu ya kipigo Cha mwaka mpya,,Ni kauli kutoka kwa mtu mhuni na a mentally deranged person..kujitekenya ndiyo Nini?! Watu wanakufa huko halafu wewe unasema eti watu wanajichekesha na kujitekenya?! What is the meaning of that?! Wewe unadhani wote humu wako kama wewe na wenzio wachache mliobobea kuleta habari za uzushi?! Iwe no kwa Askari wa Ukraine au Russia mtu makini hawezi kufurahia vifo vya Askari 600..
Mi nawaambia bakhmut hali mbaya uko[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Mwanamgambo wa Ukraine akitoroka mapigano na toroli lake huko Bakhnut baada ya Russia kushusha mvua ya motoView attachment 2473816
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Tukiwaambia NATo uwezo mdogo hawahaminiHata hivyo Pro-Russia wenzangu munajitahidi kutoa elimu stahiki kwa Pro-NATO. Fikiria uwezo wa mtu anae beza fact ya uwezo wa RUSSIA (taifa moja) linalo pigana na mataifa zaidi ya 30 yenye nguvu duniani. Lakini muna ng'ang'ana as if wana hoja!
Tatizo ni kwamba wanatumia nguvu kubwa kuwaaminisha watu kitu hambacho ni dhairi na kinaonekana kwa macho ya kawaida tuNo obvious signs of casualties where Russia says soldiers killed: Reuters reporters
Russia-Ukraine updates: Ukraine denies Russian strike killed 600
All the updates on the Russia-Ukraine war from January 8 as they happened.www.aljazeera.com
No sign of casualties after Russia claims revenge attack on Ukrainian soldiers
Moscow claimed the strike killed 600 Ukrainian soldiers.www.reuters.com
Ila Russia wamekuwa waongo sana...
Mkuu WANAONA aibu kutangazaWamefyekwa 600 na idadi inahofiwa kuongezeka na vikosi vya urusi vinasonga mbele kwa kasi
Tangia mwezi wa Tano huo wimbo mbona haubadiliki,[emoji848]Mi nawaambia bakhmut hali mbaya uko
watakwambia tulileta jengo before and afterNyie mlileta hata picha mlivyosema warusi 400 wameuawa?
Mkuu kwani ufaji wa bomb mpaka likukatekate kishindo kinatosha kuua vizuri tena kama wewe Yanga/mwananchi mlio wa risasi ya g3 ukiwa huna taarifa ya kupigwa inatosha kukuua.HIKI NI KITUKO CHA MWAKA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hivi hawa Urusi wanadhani watu wote ni matahira eeeeh!!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Journalists visited the place in Kramatorsk where Russians claimed to have hit 600 Ukrainian soldiers, but aside from 2 holes in the ground in front of an empty building (yes, they even missed that) nothing is there.
I expected nothing else than Russian lies. #Kramatorsk
View attachment 2473861View attachment 2473862
Kwanini Russia alitumia bombers ndani ya Syria zikadondosha mabomu, alikuwa na airbase pale Latakia. Si angetumia hizo missiles unazosema za 7000km range. Missiles are expensive ndio maana pro NATO walivyotutisha na Kinzhal hypersonic missile niliwaambia shangwe yao haitadumu Russia haiwezi afford kutumia very expensive missiles kila mission. Tangu wafyatue siku moja hadi leo sijawahi sikia habari za Kinzhal.Hata hivyo bombers za kirusi Kama TU 95 Zina uwezo wa kurusha makombora hasa nyuklia mpaka km 7000 zikiwa Uwanja wa nyumbani .
Hivyo basi Russia ana advantage kubwa zaidi ya kushambulia kutoka kwao kuliko kuingia deep inside na expensive nuclear bombers.
Kazi hiyo inafanywa na su 25, ka 52 na mi 28.
Nb.
Russia kushindwa kucontrol anga la Ukraine Ni kwasababu ya activation ya mifumo ya Ulinzi wa anga iliyoongezeka hasa kwa misaada ya west.
Inabidi Zelensk akapige tu goti Kremlin maana hakuna jinsi kwa sababu hali ni mbaya sana kwake.Daa hali mbaya uko jamani
Ikiwa kama ni vifo vya wavamizi na waonevu(Russians) wanapata stahili yao!Ni kauli kutoka kwa mtu mhuni na a mentally deranged person..kujitekenya ndiyo Nini?! Watu wanakufa huko halafu wewe unasema eti watu wanajichekesha na kujitekenya?! What is the meaning of that?! Wewe unadhani wote humu wako kama wewe na wenzio wachache mliobobea kuleta habari za uzushi?! Iwe no kwa Askari wa Ukraine au Russia mtu makini hawezi kufurahia vifo vya Askari 600..
Hamana jinsi kafanye tuu hivyoInabidi Zelensk akapige tu goti Kremlin maana hakuna jinsi kwa sababu hali ni mbaya sana kwake.
Sasa leo kawatoa sadaka vijana 600, kesho je itakuwaje.
Sawa Mkuu tumekubali kwamba wanajeshi 600 wameuawa kwa kishindo cha Bomu[emoji23][emoji23]Mkuu kwani ufaji wa bomb mpaka likukatekate kishindo kinatosha kuua vizuri tena kama wewe Yanga/mwananchi mlio wa risasi ya g3 ukiwa huna taarifa ya kupigwa inatosha kukuua.