Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa akili yako unaona Sasa urusi baada ya kuivamia Ukraine ndo imekuwa salama,sio?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Asante Mkuu natumai Bwana Utam atakua amekuelewa
 
🤝🤝🤝🤝
 
Lakini ukraine, alijitakia ,, putin alijitahidi sana kumuomba wakae waongee tofauti zao, zelensiky kwa kupewa kichwa na US, akawa anamjibu shombo, na akaanza process za kujiunga NATO,,
Russia atavuruga hiyo nchi, na hawatakuja kusahau maisha yao yote
Mpaka Sasa ushindi mkubwa kwa Ukraine ni kuigeuza operation ya saa 72 ya kuwaondoa wanazimamboleo kuwa vita ya muda mrefu..,no matter how she will suffer loses

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hakuna ushahidi wowote kuwa Ukraine walikuwa na mpango wa kupata silaha za maangamizi ili kuhatarisha usalama wa Urusi.

Lengo la uvamizi ni tamaa ya Putin kujitanua zaidi kwenye nchi zilizowahi kuwa himaya ya Ussr na kuionyesha dunia ubabe na nafasi ya Urusi, Ila ndio hivyo kakosea hesabu.
 

Mpaka Sasa ushindi mkubwa kwa Ukraine ni kuigeuza operation ya saa 72 ya kuwaondoa wanazimamboleo kuwa vita ya muda mrefu..,no matter how she will suffer loses

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Russia hakusema kuwa Atatumia saa 72,, west media ndivyo walidai hivyo,,
Lakini baada ya Russia, kuingia, aligundua kuwa, hiyo vita itakuwa ya mda mrefu, kutokana na west kuamua kumsaidia ukraine hadi mwisho, so Russia wakaamua kuondoa troops arround kiev, na kufocus on east ukraine,,
West media faster wakaanza kudai eti, Russia kashindwa,, na ndio propaganda imelishwa kwq wengi eti Russia kashindwa vita, na watu wasiofikiri, critical thinker wanadhani hivyo😂
 
Lakini baada ya Russia, kuingia, aligundua kuwa, hiyo vita itakuwa ya mda mrefu, kutokana na west kuamua kumsaidia ukraine hadi mwisho, so Russia wakaamua kuondoa troops arround kiev, na kufocus on east ukraine
Hawajaamua kuondoa kwa kupenda tu ni kwamba walishindwa kuiteka Kyiv.
 
Ushahidi wa kwanza ni mapinduzi ya ukraine 2014,, mapinduzi yalikua sponsored na US,, lengo ni kupachika kibaraka wa west, nchini ukraine,, akishashika nchi,, angeamuru Russian Navy iondoke crimea,,
Hiyo Navy base ni kubwa na the only Russian warm water Navy base, na iko very strategic kwa usalama wa Russia,
Hilo ndo lilipelekea, Russia kuamua kuichukua crimea, siku chache tu baada ya mapinduzi,
Baada ya hilo,, NATO walianza kujiingiza ukraine, na kutoa misaada ya kijeshi na silaha na pia mafunzo,
Kwa ufupi US na washirika walikua wanaiandaa ukraine, kuwa Launchpad ya proxy war dhidi ya Russia,
Walichofanya Russia ni ku pre empty,
Japo ni kama tayari walikuwa washachelewa mno
 
Hawajaamua kuondoa kwa kupenda tu ni kwamba walishindwa kuiteka Kyiv.
Hawakujaribu kuiteka kiev, baada ya kuteka uwanja wa ndege, kulikua na convoy ya km 40 nje ya mji wa kiev, kwa mda wa takribani wiki nzima, ile convoy imesimama tu, hadi west wakawa puzzled,, lakini ukweli ni kuwa hapakuwa na mapigano ya kujaribu kuteka kiev,,
Amri ilitolewa ile convoy ikarudi beralus,, japo kuna tukio moja tu, kuna sehemu convoy ilikua ambushed, tukio moja
 
Ushahidi wa kwanza ni mapinduzi ya ukraine 2014,, mapinduzi yalikua sponsored na US,, lengo ni kupachika kibaraka wa west, nchini ukraine,,
Chanzo cha maandamano yaliyomg'oa kibaraka wa Urusi ilikuwa ni pamoja na kukataa kusaini mkataba wa kibiashara na EU, wenye nchi yao waliandamana bila kuchoka mpaka huyo kibaraka akang'ooka na kukimbilia Urusi.

NATO walianza kujiingiza ukraine, na kutoa misaada ya kijeshi na silaha na pia mafunzo,
Kwa ufupi US na washirika walikua wanaiandaa ukraine, kuwa Launchpad ya proxy war dhidi ya Russia,
Baada ya Crimea kuporwa kibabe na kuanzishwa uasi bandia huko Donetsk na Luhansk, Ukraine haikua na namna zaidi ya kujiandaa kulinda Uhuru wake, hao NATO walianza ufadhili baada ya Supa-pawa kuipora Crimea.

Walichofanya Russia ni ku pre empty,
Japo ni kama tayari walikuwa washachelewa mno
Kulikuwa hakuna ushahidi wowote kuwa Ukraine walikuwa wanajiandaa kuivamia Urusi
 
Duh! Kama sio kuiteka Kyiv ile convoy ilikuwa ni kwa ajili ya kusindikiza harusi au ? (Umeamua kujitoa ufahamu tu).

Alafu ile convoy haikuendelea sababu ya matatizo mengi kuanzia hali mbaya hewa, kuishiwa mafuta na chakula, upinzani mkali kutoka kwa Ukraine

Axel Lloyd T14 Armata Sela Son
 
Walikua wanagoja amri,, amri iliyotoka ni pullback,,
I mean kijeshi hii ni kawaidq, baada ya uongozi kugundua setback, mfano logistically, etc,, wakaona haiwezi make, wanachange strategy,, hii ipo kwa majeshi yote duniani
 
Uliwahi kutoa maelezo mazuri sana jinsi warusi walivyopewa kichapo kikali walipojaribu kuparamia hostomel airport.., tatizo lenu mnachokiongea Leo na kesho ni tofauti,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Dude kubwa linalohenyeshwa na kanchi kadoogo Tena jirani yake??[emoji57]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ukraine sio ndogo kihivyo,, na wale ni warusi pia, ilikua nchi moja, wanajuana vizuri, na wote ni wapiganaji wazuri,, kwa vita inayoendelea sasa huko soleder, bakhmut, hakuna nchi ya magharibi, US, UK, france, etc,, wanaweza pigana close combat so bloody, kama inayopiganwa huko ukraine,,
Marekani walijaribu hii close quarter combat huko falluja, iraq na kamasi ziliwatoka, hawawezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…