kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Baada ya kuuteka huo uwanja ikawaje Tena? Wakapiga selfie [emoji1702][emoji1702] alafu wakaondoka ,sio?Jaribio la kwanza kuteka Hostomel Antonov airport lili fail sawa,, na hiyo ilikua ndo first target,, Russia walipull back, wakajikusanya na kuuteka tena huo uwanja
Typing error.., lakini habari ndio hiyo.. urusi hasara anayolambishwa kwenye hii vita atakuja kusimulia Hadi kizazi Cha nne,Sasa nani tumuamini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].wewe unasema Crimea.wenzako wanasema Belgolod.
Kwanza unatakiwa kujua kuwa Urusi ndo taifa linalongoza kwa kuwa na Vifaa vingi vya ground kuliko nchi yoyote hapa Duniani.View attachment 2475650
Russia katika hii vita aliyojiingiza hakuna rangi ataacha ona [emoji28]Wakati Ukraine wanaomba West wawape electric bikes ProRussia humu walikua wanawakejeli kumbe wenzao walikua wanataka usafiri ambao hautoi aina yoyote ya kelele ili kupiga ambush misafara ya Urusi halafu anatokea ProRussia toka kwa Mpalange anatuambia ule msafara ulitimiza malengo kwa 100% [emoji23][emoji23]
Ukraine is now using these 200-mile-range electric bikes with NLAW rockets to take out Russian tanks
Avatar for Micah Toll
Micah Toll
| May 17 2022 - 10:30 pm PT
Ukrainian electric motorbike company Delfast has seen its electric bikes used for some vastly diverse tasks, such as breaking Guinness World Records and outfitting Mexican police. But their latest use is perhaps the bikes’ most important mission yet: helping Ukrainian soldiers strike a David vs. Goliath blow against Russia’s barbaric invasion of their country.
Real life isn’t like Counterstrike, and this isn’t a video game. Getting into position in an open area to fire an NLAW or the similar US Javelin missile is incredibly risky, often exposing the operator to the enemy tank’s main cannon or multiple heavy machine guns. The use of a high-power electric bike to quickly and quietly reach a firing position can significantly reduce the soldier’s exposure and improve the mission success outlook.
Ukraine is now using these 200-mile-range electric bikes with NLAW rockets to take out Russian tanksView attachment 2475651
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baada ya kuuteka huo uwanja ikawaje Tena? Wakapiga selfie [emoji1702][emoji1702] alafu wakaondoka ,sio?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hii Tabia ya mihemko mnayo pro Russia wengi hapa jukwaani.., mnaandika kwa kuendeshwa na hisia kuliko uhalisia..,Kwa Sasa hii comment wewe mwenyewe ukiiona bila shaka utaikana,Haya sasa, waje wale WAUKRAINE waongee, tuliwaambia URUSI hawana utani, wametembeza kichapo kizito sana. Rais wa UKRAINE hana akili unawapaje Silaha wananchi wapigane na Urusi?? Sasa watakiona cha moto.
Russia wameingia mzigoni Rasmi.
Umeukanyaga hii picha KUTOKA vita ya Armenia na Azerbaijan#Ukraine: A Russian P-18-2 2D VHF surveillance radar was destroyed by a Ukrainian precision strike in #Kherson Oblast.
The P-18-2 is an upgrade of the Soviet P-18 with digital components and improved electronics.
View attachment 2475570
Hahahaha ndio maana hua nawawekea na link kabisa.Umeukanyaga hii picha KUTOKA vita ya Armenia na Azerbaijan
Ngoja tukuwekee na Warusi (sio Raia)Watu wanakufa ukraine(sio raia) hadi uchungu, US kawaingiza choo cha kike asee.. [emoji2301][emoji22]
Bro, hilo ni mabaki ya kombora,, sio Pantsir air defence system😁😂,unabugia propaganda bila kuchucha boss,,Hahahaha na ndio maana hua nawawekea na link kabisa.
Leta evidence kuthibitisha hiyo picha ni kutoka vita ya Armenia na Azerbaijan [emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuwekea nyingine hapa chini,hii ni Pantsir imegeuzwa chuma chakavu
#Ukraine: A torn apart Russian Pantsir-S1 air defence system was discovered in #Kherson Oblast, with 57E6 missiles strewn around the site.
The system was destroyed when the area was still occupied by the Russian Army, but the wreckage appeared only recently.
😂😂😂Dawa itawaingia tu,kaangalie video kuanzia 0:10sec uone liPantsir Lenu lilivyopasuliwa,na hiyo sio ya Kwanza hata ukitaka nyingine naweza kukuwekeaBro, hilo ni mabaki ya kombora,, sio Pantsir air defence system😁😂,unabugia propaganda bila kuchucha boss,,
Sawa kuna air defence chache za mrusi ziliharibiwa kherson,, hata syria pia,, kwenye vita huwezi kujudge outcome ya vita kwa kulipuliwa kifaru kimoja, vitatu, kumi, au hata kutunguliwa ndege,
Mfano, kombora la ukraine hata lifanikiwe kupenya na kupiga moscow,, haina maana Russia kashindwa,,
Siku ukraine akianza kukamata Russias territories hapo ndo utanishawishi😁
Mbona hawajamalizia hapo kwamba kombora lao likaenda kusaidia kuchimba handaki la kutupia taka kule Kramatorsk [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hicho sio kisu ni goddamn chepeo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2298],yaani ni visu juu ya godamn visu.
KP atakondaUkrainian sources report possible surrender of Soledar as early as today
Soledar, according to Ukrainian sources, may be surrendered within 24 hours. The town, for which fighters of the Wagner PMC are fighting, is in an operational encirclement. The AFU command in this sector of the front has decided to evacuate the remaining units.
In addition, Artemovsk (Bakhmut) is expected to be liberated soon. According to Readovka sources, Ukrainian army units in the populated area are in a difficult situation. There are a huge number of wounded AFU soldiers in the city, and the morale of the fighters leaves much to be desired.
Katika Pro Russia nilikuwa nawasubiri humu ndani ni weweUkrainian sources report possible surrender of Soledar as early as today
Soledar, according to Ukrainian sources, may be surrendered within 24 hours. The town, for which fighters of the Wagner PMC are fighting, is in an operational encirclement. The AFU command in this sector of the front has decided to evacuate the remaining units.
In addition, Artemovsk (Bakhmut) is expected to be liberated soon. According to Readovka sources, Ukrainian army units in the populated area are in a difficult situation. There are a huge number of wounded AFU soldiers in the city, and the morale of the fighters leaves much to be desired.
Ikifika jumamosi nitakukumbushaUkrainian sources report possible surrender of Soledar as early as today
Soledar, according to Ukrainian sources, may be surrendered within 24 hours. The town, for which fighters of the Wagner PMC are fighting, is in an operational encirclement. The AFU command in this sector of the front has decided to evacuate the remaining units.
In addition, Artemovsk (Bakhmut) is expected to be liberated soon. According to Readovka sources, Ukrainian army units in the populated area are in a difficult situation. There are a huge number of wounded AFU soldiers in the city, and the morale of the fighters leaves much to be desired.
Mkuu hata USA wanawalipa magaidi kwenda kupigana UkraineWagner Group wanasajili wafungwa waliomaliza vifungo toka Africa kwenda kupigana Ukraine.Hapo ndipo Akili ya Urusi ilipofikia 🤔
.......
Wagner Group Turns to Africa for Recruits in War Effort - Africa Defense Forum
ADF STAFF In an effort to bolster its military, which has suffered heavy losses in Ukraine, Russia reportedly is freeing prisoners from jails in Africa and conscripting them to fight in its war. Two senior military sources in the Central African Republic (CAR) recently told independent Nigerian...adf-magazine.com