"Truth is not simply what is coherent or understandable. A group of people can get together and form a conspiracy based on a set of falsehoods where they all agree to tell the same false story, but it does not make their presentation true"How Russia's vast military convoy was ambushed on the road to Kyiv
Invaders' push towards the capital halted after column is hit by Ukrainian artillery and drone strikes
How Russia's vast military convoy was ambushed on the road to Kyiv
"Truth is not simply what is coherent or understandable. A group of people can get together and form a conspiracy based on a set of falsehoods where they all agree to tell the same false story, but it does not make their presentation true"Hahahaha kwahiyo wewe unayetaka tuamini kombora lililochimba shimo kubwa la taka pembeni kabisa ya jengo ndio una uwezo mkubwa wa kufikiri?! [emoji23]
Kwani hii ni mara ya Kwanza Kwa Urusi kuongopa!!!
Walikataa na kupinga kwamba Meli Yao haikuzamishwa kwa Makombora ya Ukraine (Neptune) baadae wakasema wameshambulia kiwanda kinachozalisha Makombora ya kuzamisha Meli (Neptune) kama kulipa kisasi. Sasa wanalipa kisasi kipi wakati walipinga Meli yao haikuzamishwa na Neptune missiles?!
Russia hits Kyiv missile factory after its flagship is sunk
Baadae wakakimbiza Meli zao mbali kabisa na Pwani ya Ukraine,nini kiliwafanya wazikimbize?!
Base yao kule Crimea ilivyopigwa walituambia kuna uharibifu mdogo,baadae picha za satellites zikawaumbua ndege tisa zilikua zimeharibiwa Sana.
Kyiv said nine Russian warplanes were destroyed in a series of blasts at the Saki air base in annexed Crimea on Tuesday, while Russia denied any damage and said the incident stemmed from ammunition detonating.
Destroyed Russian warplanes at southern base suggest an attack that could signal new phase in war
Na Kali ya mwaka ndio hii ya juzi, Makombora kuchimba mahandaki halafu bwana mkubwa anakuja kutuambia Kala vichwa vya wanajeshi 600[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2476034View attachment 2476035
Hii quote ingewafaa Sana propagandists wa kirusi,wazee wa 600 inapendeza[emoji23][emoji23][emoji23]"Truth is not simply what is coherent or understandable. A group of people can get together and form a conspiracy based on a set of falsehoods where they all agree to tell the same false story, but it does not make their presentation true"
Kwa hiyo unaona hii quote kutoka kwa philosopher mmoja nyie haiwafai???!!! Ndugu yangu ukitaka uwe salama kwenye mijadala jitahidi kidogo kupunguza emotions...."unajituma" sana humu kuandika issues ambazo ni pro-NATO na west na ofcourse Ukraine...Lakini ukweli utaendelea kubaki kuwa West ni mashetani ambao wanataka dunia yote iwapigie magoti wao....Hii quote ingewafaa Sana propagandists wa kirusi,wazee wa 600 inapendeza[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama Haja wahalika vita kingetokeaKwani Ukraine imewaalika NATO?...iliyoalika NATO ni Finland na mataifa ya Baltic (Estonia, Latvia, Lithuania).....na hayo pia yatavamiwa kwa kukiuka makubaliano?
Kwa hiyo unaona hii quote kutoka kwa philosopher mmoja nyie haiwafai???!!! Ndugu yangu ukitaka uwe salama kwenye mijadala jitahidi kidogo kupunguza emotions...."unajituma" sana humu kuandika issues ambazo ni pro-NATO na west na ofcourse Ukraine...Lakini ukweli unataendelea kubaki kuwa West ni mashetani ambao wanataka dunia yote iwapigie magoti wao....
Kaleta nyingine leoWewe unaumia 'wanavyoongopa'??? Waache 'waongope' kama ni kweli 'wanaongopa'.....Yaani nyie Pro-NATO hamuwezi kujiongeza kwenye thinking??!! Yaani eti Warusi waongope kwenye ulimwengu huu wa teknolojia???!!! Kwanini wale wanaokanusha kuhusu vifo vya askari hao 600 wasiwe kuwa ndiyo wanaoongopa.. Maana wameshupalia kukanusha isivyo kawaida...By the way hivi ni lini Ukraine na West waliwahi kukiri kuhusu vifo vya askari wa Ukraine? Ni lini??! maana utasikia wakisema Russia imepiga mabomu/missiles na kuua raia na watoto...utaona wanaonesha picha za watoto wakiwa kwenye wodi na akina mama na wazee...huwezi kusikia kuwa Ukraine imepoteza askari kadhaa...ila utasikia Russia imepoteza askari zaidi ya 100,000 mpaka sasa...na utamuona kipanya humu analeta taarifa hizo za udaku kama zilivyo. duh.. nyie pro-NATO jiongezeni katika uchambuzi bwana.
Warusi wanazidi kupukutika aisee..,hii vita imekuwa Janga kwa dikiteta Putin na genge lake🥱View attachment 2475990
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hoja kwenye link hiyo imeandikwa na nani??? 'unajituma' kwa west....sawa, umekiri mwenyewe....And, for sure they have 'recognized' you in kind for a 'job well done'...unaweza ukajikuta unaalikwa Marekani na kukutana na watu 'muhimu' kwa mchango wako katika 'kutetea demokrasia na haki za binadamu.' ...A fighter for the so called 'democracy and human rights'......You are 'recognized'Hahahaha emotions tena Shekhe?! Mimi sijaongea kama umbea nimekuwekea mpaka link ukajisomee mwenyewe,wewe unaleta story za vijiwe vya kahawa bila evidence yoyote ukibanwa unaleta vijiquote.
Itakua tunajituma wote Bro....wewe unajituma kwa ma-fascists ya kirusi,Mimi najituma kwa West. Kwani kuna ubaya bro?!
Unajivunia warusi millions 27 kufa? Hii inaonyesha kwamba urusi ndio taifa pekee lenye record ya kuwapeleke machinjioni raia wake kuliko taifa lolote Lile,Nione aibu Kwa lipi?Nimekupa facts kuwa warusi hawako kama wewe unavyofikiria!
Ingekuwa hivyo wasingekuwa wanasherekea Ile victory day kila mwaka!
So tulia hivyo hivyo uone mwisho ni Nini,maana unaweza shangaa sherehe nyingine ya kila mwaka ikatokea kupitia SMO hiyo!
Mkuu mbishi sana huyo, jana nimerusha video ya channel ya France imeonyesha KULIKUWA na mashambulizi makubwa sana juzi, lin Zeke anaonyesha sehemu mbili tuu.Kwa hiyo unaona hii quote kutoka kwa philosopher mmoja nyie haiwafai???!!! Ndugu yangu ukitaka uwe salama kwenye mijadala jitahidi kidogo kupunguza emotions...."unajituma" sana humu kuandika issues ambazo ni pro-NATO na west na ofcourse Ukraine...Lakini ukweli utaendelea kubaki kuwa West ni mashetani ambao wanataka dunia yote iwapigie magoti wao....
Hoja kwenye link hiyo imeandikwa na nani??? 'unajituma' kwa west....sawa, umekiri mwenyewe....And, for sure they have 'recognized' you in kind for a 'job well done'...unaweza ukajikuta unaalikwa Marekani na kukutana na watu 'muhimu' kwa mchango wako katika 'kutetea demokrasia na haki za binadamu.' ...A fighter for the so called 'democracy and human rights'......You are 'recognized'
Ndio ujue sasa huwajui warusi wewe!Unajivunia warusi millions 27 kufa? Hii inaonyesha kwamba urusi ndio taifa pekee lenye record ya kuwapeleke machinjioni raia wake kuliko taifa lolote Lile,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wanajiuliza kivipi wakati watu wamefika mpk eneo la tukio na kukuta hamna chochote zaidi ya mahandaki yaliyochimbwa na Makombora yaliyokosa shabahaHiyo abali ingekuwa UHONGO wangepinga sana vyombo vya habari vya west BADALA yake wanajiuliza kama russian wamefanya hivyo au la.
Hata jana KULIKUWA na mashambulizi MENGI sana night.
Wanajiuliza kivipi wakati watu wamefika mpk eneo la tukio na kukuta hamna chochote zaidi ya mahandaki yaliyochimbwa na Makombora yaliyokosa shabaha
Journalists visited the place in Kramatorsk where Russians claimed to have hit 600 Ukrainian soldiers, but aside from 2 holes in the ground in front of an empty building (yes, they even missed that) nothing is there.
I expected nothing else than Russian lies. #Kramatorsk
Moscow claims 600 Ukrainian soldiers were killed in overnight air strikes on the eastern city of Kramatorsk, but local authorities say there was no loss of life, as fighting enters its 319th day.
Italian journalist in Kramatorsk here. Russia allegedly killed 600 Ukrainian soldiers “in dormitories 28 and 47”. I’m checking the first place, dormitory 28: the missile missed the target, made a big hole in the soft terrain and didn’t touch the buildings around /1
Na wewe tuletee ushahidi wa kufa Kwa wanajeshi 600!!!!!!?
Hatari nimeona hapo kuna mtu katuma juu m-777 howitzer zimepigwaNa hii Tena vp?View attachment 2476068