Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hata kikinunua million, kikubwa tu ni kwamba operation maalum ya kijeshi ya Saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo imegeuka vita ya muda mrefu.., hakuna ushindi mkubwa kwa Ukraine kuliko huu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa mara ya kwanza umekubali kuwa yukreini anadundwa,, isipokuwa ilibidi adundwe ndani ya saa 72, lkn kajikazakaza Takriban mwaka sasa, ila anadundwa au sio!
 
Sehemu kubwa unasema kweli lakini kitu ambacho siyo kweli ni kewamba Marekani hawauzi silaha kwa Ukraine. Hapo umekosea sana, mabebari hawana kitu cha bure!! Hupo ni mkopo wa muda mrefu wenye riba. Anachokifanya marekani ni kama alivyofanya kwenye vita kuu ya pili. Muunganbo wa mataifa yaliyokuwa yanapigana na Ujerumani walikuwa wanakopeshwa silaha na fedha kwa riba. Hata urusi wakati huo alikopa na deni lake ndo amemaliza kulipa miaka ya hivi karibuni tu.
 
Belarus inapewa msaada na urusi na hizo nchi zingine ambazo hazitaki kuonyesha sura zao Ni zip
Eti belarus inapewa msaada na Russia..,[emoji848]
Na urusi anapotumia ardhi ya Belarus Ili kufanya uvamizi huko Ukraine,nani anakuwa amempa msaada mwenzie kwa Hali hiyo,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ukiachana na drone za uajemii silaha zp za msaada anatumia urusi
Hata hizo drones si za Iran. Iran iliiambia ukraine ilete uthibitisho kuwa hizo drones ni za Iran. Hadi leo hawajaweza kuleta uthibitisho. Kilichofanyika ni kuwa Urusi iliwahi kununua drones za Iran. Kisha ikatengeneza za kwake kwa kutumia baadhi ya teknologia ya Iran lakini ikaziboresha zaidi na kuzifanya za kisasa na zenye shabaha kali (High precision drones).
 
Ukiachana na drone za uajemii silaha zp za msaada anatumia urusi
Tayari umeshakiri kwamba urusi anatumia silaha za msaada huko Ukraine.., nafikiri mpaka hapo tunaweza kufunga mjadala, kwamba urusi hapigani peke yake Bali ana backup somewhere,..,tusifanye mjadala uwe mrefu sana,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ndio nkashangaa mzalishaji mkubwa wa silaha afu apewe silaha tena
 
Umeona tofauti yetu xx ...sio kila kitu ubishane kwenye ukwel unasema ukwel
 
Duh! Warusi wa buza hamhishiwa vituko.., wenzako walishatoa excuse kwamba sababu inayomfanya urusi kutumia drones za msaada kutoka Iran,ni kwamba anaogopa kuweka drones zake kwenye uwanja wa vita asije akaibiwa technolojia na mataifa ya magharibi

Mkiwa waongo jitaihid kuwa na kumbukumbu [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Source uliyonipa kichwa Cha habari kinasema
""Russia 's Wagner group claims 'liberation' of soledar ,says about 500 ukranians killed ""
Ulitegemea statement tofauti na hii kutoka Kwa Wagner?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kumbuka pia urusi ana msaada wa nguvu kazi na nyenzo kutoka north Korea..,china.., Belarus.., Iran,na washirika wengine hambao hawataki kuonekana sura zao,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mdogo wangu kp kipanya44 wenzako kwa sasa wanachungulia na kukimbia hapa jukwaaani. Hali na upepo upande wa russia kwa sasa. Nakuona unapambana kwelikweli.
Russia akikanyagia hapo hapo walllah nakwambia hii smo inaenda kuisha.
 
Upepo wa urusi ulibadilika tangu aliposhindwa kuipindua serikali ya zelensiky ndani ya siku tatu ., huwezi kunidanganya kwamba urusi alikusudia kutumia muda wote huu ikipigana na taifa kama ukraine..,hakuna kiongozi yeyote anayeweza kuwa na mahamuzi ya hovyo namna hiyo,labda itokee tu bahati mbaya kama ilivyotokea kwa Putin

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Amargeddon limepiga Mitambo yote
Hiyo Nchi inawasha vibatari saiv mengi hamjui na hamuyaoni yaani Ukraine ni giza totorooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…