Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ila unatakiwa kuwatukana wakiwa wameondoka Ukraine.ila kama bado wapo basi jua lolote linawezekana.
Wako Ukraine toka 2014 katika hiyo mikoa waliyojitangazia kuwa ni ya kwao ukiachana na hizi situations za sasa za Russia kurusha makombora kwa raia na kuharibu miundo mbinu so far hakuna walichoweza kuachive toka 2014
 
Hitler alichapwa nanani!!!??.
Malengo kubadilika kawaida naomba anguko la RUSSIA na sio PUT IN ukiliona unambie
PUT IN ata down tena punde sababu mwanadamu
RUSSIA kushindwa hii SMO musahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Pongezi Toka Kremlin kwa Pro Russia wote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji106][emoji106]
Russian President Vladimir Putin said he considers the dynamics that have developed in the combat zone in Ukraine to be “positive,” according to an interview the president gave to journalist Pavel Zarubin, for the “Moscow. Kremlin. Putin” program on network Russia 1. Putin’s words were a response to Zarubin’s observation that “there’s news from Soledar.”

“The dynamic is positive. Everything is developing according to the plans of the Ministry of Defense and the General Staff. And I hope our fighters make us happy more than once with the results of their combat work,”…

Continue Reading


News Source: Putin on Wagner Group forces capturing Soledar: ‘I hope our fighters make us happy a few more times’ — Meduza
 
Hitler alichapwa nanani!!!??.
Malengo kubadilika kawaida naomba anguko la RUSSIA na sio PUT IN ukiliona unambie
PUT IN ata down tena punde sababu mwanadamu
RUSSIA kushindwa hii SMO musahau

Sent using Jamii Forums mobile app
Russia kuanguka inawezekana as long as Putin ataendelea kuexist ,vita ni Uchumi Mzee na Vita inavyoendelea Uchumi wa Russia ndivyo utazidi kuanguka
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji1787]
Pigo la leo limepiga kwenye moyo wa magaidi
During its daily briefing, the Russian Ministry of Defense reported that Russian troops hit Ukrainian military command and energy targets during a massive strike on the country on January 14.

“All designated targets have been hit. The goal of the strike has been achieved,” said ministry spokesperson Igor Konashenkov.

The Ukrainian side reports that the massive strike damaged energy facilities in six regions. In Dnipro, a missile struck a nine-story apartment complex, killing over 20 people and injuring over 70.

News outlet Agentstvo writes that the January 14 attack was Russia’s…

Continue Reading


News Source: Russian Defense Ministry says missile strike that destroyed a Dnipro residential building ‘reached its target’ — Meduza
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Waokoaji wanapambana kuchomoa viwiliwili vya Wanamgambo wa Ukraine iliyochanganywa na kifusi Cha Screpa
Video: Rescuers Comb Through the Rubble of an Apartment Building in Dnipro The New York Times

Continue Reading


News Source:
 
Wako Ukraine toka 2014 katika hiyo mikoa waliyojitangazia kuwa ni ya kwao ukiachana na hizi situations za sasa za Russia kurusha makombora kwa raia na kuharibu miundo mbinu so far hakuna walichoweza kuachive toka 2014
Lete ramani ya 2014.alafu mimi nilete ramani ya leo ili tujue kama kuna tofauti au hamna
 
Russia akitumia ardhi ya Belarus nchi za NATO zitailngulia Safari hii ndio sbbu ya kuifanya Ukraine kua mwanachama wa NATO si kisheria ndio mkakati uliopo sasaivi
Ha ha NATO kupigana dhidi ya Russia wakitokea Ukraine hi sidhani Kama itatokea. Hata kwa bahati mbaya.
Warusi Ni taifa la kutisha zaidi dhidi ya magharibi kuliko taifa lingine lolote.
Wataendekeza proxy war lakini so kuingia direct.
Mataifa 28 yamejikusanya si kwa sanabu ya ugaidi wa ISIS but Ni juu ya taifa moja tu la kutisha. Huitwa Russian Federation. Na kiongozi wake Ni Leutenant Vladmir Putin.
 
Russia kuanguka inawezekana as long as Putin ataendelea kuexist ,vita ni Uchumi Mzee na Vita inavyoendelea Uchumi wa Russia ndivyo utazidi kuanguka
PUT IN atakuepo na hakuna litalotokea UCHUMI kudorora mlisema tokea mwaka jana ila mwaka kesho kutwa

Mnasubiri RUSSIA aporomoke poleni sanaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia akitumia ardhi ya Belarus nchi za NATO zitailngulia Safari hii ndio sbbu ya kuifanya Ukraine kua mwanachama wa NATO si kisheria ndio mkakati uliopo sasaivi
Unazungumzia NATO gani iyo ya kuingia front na Warusi.NATO hii hii iliyocholewa mstari na Warusi kule Kosovo kwenye airport ya Pristina na haikuweza kuvuka.
Bro ebu acha utani.kafatilie mgogoro wa uwanja wa kosovo unaitwa Pristina airport,kisha ndo utajua kuwa Warusi sio waoga kabisa na Vita ya Dunia[emoji23][emoji23]
 
Interesting admission from a German diplomat was made that Ukraine spends more artillery shells in a day, than Germans produce in 6 months. Considering Russians have been firing as many as 10 shells for every 1 UKR, it really puts Russia's production capability into perspective.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…