Acha wapelek moto
Minutes ago 15 Caliber missiles from the Black Sea are flying towards the Kyiv region.
Tuliposema hawa watu hawana utu tulimaamisha. Ona Sasa wameisha - corrupt - kuwaza kwa kijana huyu.Na kuelewa sasa kumbe unajua kabisa kua Ukraine inazidi kupotea alafu unataka danadana ziendelee wewe Raia wale watazikwa kaburi moja.
Mkatafutana humu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu hawa hawaelewi kuwa kipindi vita vinaanza USA na washirika WAKE walipeleka zaidi ya takribani 50 billion dollar na abject ya russia ni 64 billion dollar.Ivi upo Duniani au upo usingizini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].maana unaongea kama vile vita imesimama.wenzako wanapelekewa moto, weww upo huku unaongea pumba
Unonekana mweupe sana kichwani kuchambua mambo yanayoitaji utulivu wa akili na uelewa kuhusu medani na siasa za mataifa. Elimu yetu vijana hamna analytical mind mnachowaza ni ushabiki yanayoitaji uelewa angalau kidogo.Ha ha NATO kupigana dhidi ya Russia wakitokea Ukraine hi sidhani Kama itatokea. Hata kwa bahati mbaya.
Warusi Ni taifa la kutisha zaidi dhidi ya magharibi kuliko taifa lingine lolote.
Wataendekeza proxy war lakini so kuingia direct.
Mataifa 28 yamejikusanya si kwa sanabu ya ugaidi wa ISIS but Ni juu ya taifa moja tu la kutisha. Huitwa Russian Federation. Na kiongozi wake Ni Leutenant Vladmir Putin.
Vita ni gharama kubwa sana kijana sio jambo la ushabiki maana uzalishaji na manunuzi vinashuka sana. Kwa mfano watu ambao wako karibu na mstari wa mbele wa mapigano hawawezi kutoka kwenda kufanya kazi wanasubili msaada. Kutoa fidia kwa askari wanaokufa vitani, supply, kuboresha miundombinu inayoharibiwa.Mkuu hawa hawaelewi kuwa kipindi vita vinaanza USA na washirika WAKE walipeleka zaidi ya takribani 50 billion dollar na abject ya russia ni 64 billion dollar.
Nato na USA walipeleka siraha nyingi sana mara ya kwanza na waliamni pamoja na vikwazo zile russia itaanguka miezi michache.
Ila kilichotokea mpaka wao kakamata TAMAA.
Hata sasahivi speed ile ya MARA ya kwanza ni mdogo .
Sasa kama UK anapeleka challenger 2 tanks 10, zinakazi gani kule mkuu.
Kulinda kwa zele hio haiwezekani
Wao wameenda kulinda taifa Lao, baada ya Nato na Ukraine kukiuka makubaliano.Vita ni gharama kubwa sana kijana sio jambo la ushabiki maana uzalishaji na manunuzi vinashuka sana. Kwa mfano watu ambao wako karibu na mstari wa mbele wa mapigano hawawezi kutoka kwenda kufanya kazi wanasubili msaada. Kutoa fidia kwa askari wanaokufa vitani, supply, kuboresha miundombinu inayoharibiwa.
Russia ni taifa kubwa kijeshi na utajari wa utamaduni ila kuvamia nchi ya watu sio guarantee ya ushindi. Inawezekana unachoongea wewe warusi wakawa na maoni tofauti juu ya hii vita, wapo wanaopoteza ndugu zao na wapo waliopoteza kazi zao kutokana na vikwazo.
Sijashabikia vita itokee sawa.Vita ni gharama kubwa sana kijana sio jambo la ushabiki
Jambo la kusema tu kuwa Russia wamevamia nchi ya watu inaonesha ni jinsi gani hujui hata historia ya uwepo ya iyo nchi iliyovamiwa, hata sababu ya kuvamiwa hujui au pengine unakurupuka watu tumekuwa tukifuatilia huu mkasa tangia 2014 na inajulikana nani mchokozi pia nchi ambayo inatakiwa kulaumia kwa uvamizi wa nchi zingine ni marekani sio Urusi, mrusi mpaka akufuate ujua wewe ndo ulionzisha yeye anamaliza tu ulichoanzisha. Kama hujui au huna uwakika wa jambo usikurupuke tu ku commentVita ni gharama kubwa sana kijana sio jambo la ushabiki maana uzalishaji na manunuzi vinashuka sana. Kwa mfano watu ambao wako karibu na mstari wa mbele wa mapigano hawawezi kutoka kwenda kufanya kazi wanasubili msaada. Kutoa fidia kwa askari wanaokufa vitani, supply, kuboresha miundombinu inayoharibiwa.
Russia ni taifa kubwa kijeshi na utajari wa utamaduni ila kuvamia nchi ya watu sio guarantee ya ushindi. Inawezekana unachoongea wewe warusi wakawa na maoni tofauti juu ya hii vita, wapo wanaopoteza ndugu zao na wapo waliopoteza kazi zao kutokana na vikwazo.
Ikifika chini uniite nije kuishuhudiaNow Inaporomoka unataka iporomoke mara ngapi?
Kawaida ya gari Huwa inavuta gurudumu Moja tu!!amebaki peke yake wenzie wote wamesambalatika [emoji3][emoji3]
Mnatamani iwe hivyo lakini hiyo ni ndoto hambayo haitokaa itimie,Wamarekan waandamana kuipinga NATO wanasisitiza nchi yao isipeleke siraha UkrainView attachment 2482631
Soledar limekuwa fupa gumu mmeona Bora muipe kisogo, sio? Propaganda haipigani vita mzeeLyman, Seversk na Kupyansk zipo kwenye danger kwa sasa.inaonekana kwa sasa vikosi vya Ukraine vimepoteza nguvu na morali kwa wanajeshi wao.
Tutalajie kuanguka kwa maeneo mengi zaidi View attachment 2482636
Kama nchi ilishindwa kuchukuliwa na ule msafara wa km 64..,Cha msingi huyo super pawer wa kuchonga aendelee kuugulia maumivu tu [emoji28]Kwa mtu mwenye akili kwa kipigo alichotoa Russia wiki iliyopita na kwa kasi aliyotembea nayo ya kuchukua maeneo angekaa nao mezani. Zelensky akifanya masihara eneo kubwa la nchi litachukuliwa na mwisho itabakia kuwa history!
Urusi hii vita amejiingiza machinjioni,na lazima atachinjwa tu , maana Kwa Sasa kila mmoja anamgombania kama mpira wa Kona π₯±π₯±Hata Hitler alikuwa greatest na stronger lakini alichapwa... Putin hii ndio downfall yake hii vita ilikuwa simple kwa Russia lakini now kila siku malengo yao yana twist mwanzo ilkuwa ni kumuondoa zelenky na kuweka utawala wake then ikaja kudemilitalize Ukraine baadae ikaja kuimega uraine mikoa minne ambayo kwa asilimia kubwa alikuwa anai control kutoka mwaka 2014 baada ya kuanza kuloose kushindwa kuicontrol hiyo mikoa now anafanya war crimes kwa kurusha mabom ovyo kwenye makazi ya watu...Kifupi hii ni Loosing battle kwake na ndiyo down fall yake
Kenge tope mama yo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kenge tope unaishi maisha magumu sana
Shida mmemezeshwa sana propaganda namkazimezaVita ni gharama kubwa sana kijana sio jambo la ushabiki maana uzalishaji na manunuzi vinashuka sana. Kwa mfano watu ambao wako karibu na mstari wa mbele wa mapigano hawawezi kutoka kwenda kufanya kazi wanasubili msaada. Kutoa fidia kwa askari wanaokufa vitani, supply, kuboresha miundombinu inayoharibiwa.
Russia ni taifa kubwa kijeshi na utajari wa utamaduni ila kuvamia nchi ya watu sio guarantee ya ushindi. Inawezekana unachoongea wewe warusi wakawa na maoni tofauti juu ya hii vita, wapo wanaopoteza ndugu zao na wapo waliopoteza kazi zao kutokana na vikwazo.
Sio Miezi 6 Tena Bali miaka 5πππ!Russia dude kubwa sana!Ngoja danadana ziendelee..,ikifika miaka angalau 5 hambayo tayari imeshatengewa bajeti tutajua mbivu na mbichi[emoji6]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app