kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Huoni aibu unafanya propaganda juu ya bakhumut kwa miez 7 Sasa,.., wenzio Ukraine wamekomboa miji zaidi ya 5 ndani ya muda huo[emoji28]Huko Bakhmut Brigade mzima ya Ukraine imeamua kujisalimisha kwa Warusi kukwepa kupigana.
Sasa naona vijana wa Ukraine wameanza kumstukia Zelensk kuwa ana jambo lake kuhusu wao.
Hahahaha,sio miaka mitano Tena Bali miaka kumi😆😆😆,amal kweli Russia sio Zimbambwe!Stoltenberg mara zote amekuwa akisisitiza kwamba urusi amedhamilia kuendelea na hii vita kwa muda mrefu na Hana dalili za kukomesha vita hii.., usifikiri katibu huyu wa NATO anatoa kauli hizi bahati mbaya, Bali hizi kauli zinakuwa zinalenga kuyaweka attention mataifa mbalimbali kuendelea kusupply silaha nyingi kuelekea Kiev kadri wawezavyo,na lengo lao ni kuhakikisha urusi anapigishwa danadana Mpaka apate kilema Cha maisha hata kama hizo danadana zitachukua miaka 10
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa yeye anaongeza miaka tu.Hahahaha,sio miaka mitano Tena Bali miaka kumi[emoji38][emoji38][emoji38],amal kweli Russia sio Zimbambwe!
Bajeti iliyotengwa ni miaka 5 Mzee,ikiisha hiyo ndo itaongezwa nyingine,Sio Miezi 6 Tena Bali miaka 5[emoji38][emoji38][emoji38]!Russia dude kubwa sana!
👏👏👏👏👏👏🤝🤝🤝🤝🤝👍👍👍🇷🇺💪Jambo la kusema tu kuwa Russia wamevamia nchi ya watu inaonesha ni jinsi gani hujui hata historia ya uwepo ya iyo nchi iliyovamiwa, hata sababu ya kuvamiwa hujui au pengine unakurupuka watu tumekuwa tukifuatilia huu mkasa tangia 2014 na inajulikana nani mchokozi pia nchi ambayo inatakiwa kulaumia kwa uvamizi wa nchi zingine ni marekani sio Urusi, mrusi mpaka akufuate ujua wewe ndo ulionzisha yeye anamaliza tu ulichoanzisha. Kama hujui au huna uwakika wa jambo usikurupuke tu ku comment
Ndio maana ya danadana hiyo..,kama alitegemea anakwenda kufanya operation ya saa 72 ya kuwaondoa wanazimamboleo basi asahau Hilo[emoji12]
Waeke tu hata miaka mia sio bongo ile wala sio taifa geni ki vitaBajeti iliyotengwa ni miaka 5 Mzee,ikiisha hiyo ndo itaongezwa nyingine,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wakati Putin anaendeleaa kuchakazwa na comedian na kutiwa kilema Cha maisha naona pro Russia wa buza mnazidi kuleta masihara..,kwa ufupi jamaa safari hii kaingia Cha kike [emoji28][emoji3][emoji3]Nahisi lengo la Putin kwa Sasa Ni kuifuta kabisa Ukrain ktk ramani ya Dunia
Basi Kaa kwa kutulia Ili danadana ziendelee,Waeke tu hata miaka mia sio bongo ile wala sio taifa geni ki vita
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Soledar gani iyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787].kwani kuna Soledar mbili.ivi wewe una akili timamu kweli.yani bado unabisha kuwa soledar haijaondoka.umelogwa wewe sio bureSoledar limekuwa fupa gumu mmeona Bora muipe kisogo, sio? Propaganda haipigani vita mzee
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ivi kwani ni lazima kila kitu kupinga tu.Unabisha kuwa Soledar haijanguka kama vile upo uwanja wa vita.muda mwingine jaribu kupunguza ubishi na uwe na point ili hata wenzako wakupe eshima.Soledar limekuwa fupa gumu mmeona Bora muipe kisogo, sio? Propaganda haipigani vita mzee
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Baada ya kuteka soledar mmeelekea wapi vilee!?[emoji12]Soledar gani iyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787].kwani kuna Soledar mbili.ivi wewe una akili timamu kweli.yani bado unabisha kuwa soledar haijaondoka.umelogwa wewe sio bure
Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuchukulia seriously hizo propaganda zako.., umeshakuwa zilipendwa,labda ubadilishe I'd,labda itasaidia kuongeza ladha[emoji28]Ivi kwani ni lazima kila kitu kupinga tu.Unabisha kuwa Soledar haijanguka kama vile upo uwanja wa vita.muda mwingine jaribu kupunguza ubishi na uwe na point ili hata wenzako wakupe eshima.
Penda kufatilia vitu kwa ndani zaidi ili uwe na taarifa ya kina na ya kweli.jaribu kutafuta habari vyanzo mbalimbali.
Watu tuna vaa medali huku mpe taarifa huyoSoledar gani iyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787].kwani kuna Soledar mbili.ivi wewe una akili timamu kweli.yani bado unabisha kuwa soledar haijaondoka.umelogwa wewe sio bure
We kijana watu tuna vaa medali huku. Njoo na wewe tukuhongeHakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuchukulia seriously hizo propaganda zako.., umeshakuwa zilipendwa,labda ubadilishe I'd,labda itasaidia kuongeza ladha[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mnavaa medani huku mkiendelea kuchinjwa,duh,nyie watu mna kazi sana kumtetea huyu super pawer wa kuchonga [emoji16][emoji16]
Urusi ameshakuwa mdebwedo, hasafishiki hata kwa dawa,We kijana watu tuna vaa medali huku. Njoo na wewe tukuhonge
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Picha yako umeiokota wapiMnavaa medani huku mkiendelea kuchinjwa,duh,nyie watu mna kazi sana kumtetea huyu super pawer wa kuchonga [emoji16][emoji16]View attachment 2483110
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Muulize kwanza huyo kenge anayejiita Idris propaganda zake anazitoa wapi ukishafanya hivyo Rudi Tena tujadiliane [emoji16]