Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Duh hawa Wagner ni noma sana. kumbe kuna hadi wabongo.
 
Saaaasaaaa.....saaasa.... Kwa sasa Kwa akili zako HAKUNA BATTLE FIELD!!?? HAPO UKRAINE NI POULTRY!!?? Tuanzie na hilo unipe jibu kabla ya kukuuliza kuhusu Technology..maana una kichwa Cha kuku hakibebi mzigo....
 
[emoji3][emoji3]Nahisi lengo la Putin kwa Sasa Ni kuifuta kabisa Ukrain ktk ramani ya Dunia
Itafutwa kama Yugoslavia... Japo mifutio itakuwa ya tofauti... Mwenye akili na aelewe... Yugoslavian ilitengengeza nchi takriban 6 ...hapa zitatengenezwa hata 4 au 5 ... Wakizubaa wakizubaa zitaundwa 7... Wakae mezani tu.....
 
Msada wanaopata NATO ingekuwa na urusi anapata vile uk3isingekuwepo duniN
 
Kafia kazini sio ?
 
Haya hawa wase#$@ warusi wanapeleka hadi ndugu zetu Watanzania frontline.selikali ipo kimya tu
 
Saaaasaaaa.....saaasa.... Kwa sasa Kwa akili zako HAKUNA BATTLE FIELD!!?? HAPO UKRAINE NI POULTRY!!?? Tuanzie na hilo unipe jibu kabla ya kukuuliza kuhusu Technology..maana una kichwa Cha kuku hakibebi mzigo....
We usichoelewa ni nini au utoto unakusumbua kwa sasa vita ina front nyingi, political front, media front ( propaganda ) ya option ya mwisho ni mapigano ya majeshi ambayo dunia ya sasa inayaeupuka sababu ya uharibifu wake wa binadamu na miundombinu. Logic yangu ni ukichagua mapigano ya medani kama anachofanya russia ndani ya ukraine kuna madhara makubwa kwa pande zote japo si kwa uwiano sawa.

Unajua bado mdogo na unaongea kindezi pengine hujapitia hata zoezi la "under fire '' battle field ni kuzimu usiongee kishabiki kama mjinga, kuna utesaji, order za kikuda, vifo vya halaiki, adhabu, ubakaji na ukatili wa kila aina. Na ushindi wa medani huja na gharama kubwa sana pengine panaweza pasiwe na mshindi na wote wakaamua kukaa pamoja na kuyamaliza.
Saaaasaaaa.....saaasa.... Kwa sasa Kwa akili zako HAKUNA BATTLE FIELD!!?? HAPO UKRAINE NI POULTRY!!?? Tuanzie na hilo unipe jibu kabla ya kukuuliza kuhusu Technology..maana una kichwa Cha kuku hakibebi mzigo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…