Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Hahahaha Shekhe hivi Kati ya Mimi na wewe Nani hua anaongea anaongea vitu vya ajabu ajabu Bro?! Wewe si ndo ulituambia Makombora ya Trident ya Marekani ni ya kizamani yamepitwa na wakati.

Hizo missiles zinafanikiwa kulipua majengo ya Raia kama juzi walivyolipua ghorofa na kuua watu karibu 40 kwa kutumia Kh-22 carrier killer missiles. Juzijuzi hapa Urusi walituongopea kuua wanajeshi 600 wa Ukraine, ushahidi wa picha kuja Makombora yote yamepiga pembeni na kuchimba mihandaki mikubwa...hizi ndo precision missiles unazotuambia au??!

Ukraine iliharibu Podlet K-1 radar inayotumiwa na S400,je Ukraine ina S400?!
According to the plan of the Russian army, the Podlet-K1 radar will replace the 96L6-1 radar in the S-400 air defense system. The reason why the S-400 air defense system is so expensive is that because it contains such radar.
Russia's most advanced Podlet-K1 air defence radar destroyed by Ukraine inside Russian territory - Defence View

Ukraine imeharibu Pantsir AD za Urusi,je Ukraine ina Pantsir?!
#Ukraine: After more than half a year passed since the battle for Snake Island finished, another Russian loss from there was revealed: a Pantsir-S1 air defence system was destroyed there by the Ukrainian army, and has been left to rot.

Ukraine imeharibu BUK-M2 AD za Urusi,je Ukraine ina Buk-M2?!
#Ukraine: The aftermath of a Ukrainian high-precision strike on a Russian Buk air-defense system - presumably 9A317 TELAR for the Buk-M2. As a result, the vehicle was completely destroyed.

Tukiwaambia AD zenu ni za mchongo mnasema tunaleta data za Wikipedia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Pia ukitaka nikupe ushahidi mwingine wa Pantsir zilizopigwa na Ukraine naweza kukuwekea vilevile.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ya kwako ni january 7.mimi nakupa iyo january 15.usikurupuke tu ovyo bro.utakuwa kupata aibu.tafuta vyanzo sahihi vya habari kisha ndo ulete humuView attachment 2484927
Hizi Ramani mbona Sisi tunazo[emoji23]

I believe that it happened days ago, but it is only now that both sides in unison say it:

AFU has liberated Chervonopopivka and Dibrova near Kreminna.

Russian forces will soon have to decide how feasible it is to hold western bank of the Krasna River (blue line). #Luhansk

[emoji3591]Chervonopopivka and Dibrova were once again shelled by Russian forces. Russian warreporter WarGonzo has now also marked both towns as Ukrainian controlled in his maps while he is one of the last to concede defeats.

It's looking bad for Russia in Kreminna.

Amka Shekhe usije ukajikojolea bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wako Belarus standby na wengine wako wanalinda Miji iliyokombolewa na Russia!
Msipende kujifariji na vitu ambavyo havipo!
Mtaishia kuumiza mioyo yenu!
Russia anapiga anakuachia sensa ujifanyie mwenyewe!
 
Wako Belarus standby na wengine wako wanalinda Miji iliyokombolewa na Russia!
Msipende kujifariji na vitu ambavyo havipo!
Mtaishia kuumiza mioyo yenu!
Russia anapiga anakuachia sensa ujifanyie mwenyewe!
Kwani mwanzoni ni nani alikuwa analinda hiyo miji..,nikuambie tu sisi hapa hatuongei Ili kutafta faraja,sisi tunawapa uhalisia tu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ahsante kwa kunisaidia kumpa elimu huyo mwenzako,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nasisitiza tena Mwenzangu ni mke wangu tu.

Huyu ni komred, kamanda, kiongozi,mwamba,chief,jembe hayo ndio majina tunayoitana humu.

Hayo mambo ya mwenzenu, mwenzake ni teamLGBTQ ambayo sisi wazee wa uraaaaaa hatuna maana kinyume Cha Mungu na asili.

Hivi kweli kwa mtu mwenye akili timamu hatojua mafanikio ya kamanda Almageddon?

Mafanikio yake yanaongea Toka huko Uarabuni mpaka Ukraine.

Yaani hata mobilization ya soldier laki 3 ni shemu ya mafanikio

Kupiga vyanzo vya Nishati ndani ya Ukraine ni mafanikio

Kuongoza vikosi vya kirusi na Wagner kupasua Ukraine defense pale Soledar ni sehemu ya mafanikio.

Kuteuliwa Ile nafasi ni sehemu ya mafanikio.

Ndio nikakuuliza mafanikio ni nini?
 
Himars zishapatiwa muarubaini wake kama Javelin tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo mnataka kila shambulizi litakalofanywa na HIMARS mjulishwe .., mbona hatusikii habari za bunduki na lisasi zinavyotumika huko vitani??
Au siku hizi lisasi na bunduki havitumiki Tena[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
West wangekuwa wamechoka kama unavyosema ,huyo Putin asingekuwa analilia mazungumzo na rais zelensiky kila uchao [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Zele kabisa akae meza moja na Putin? Mko serious kweli? FYI Zele jana hadhi ya kukaa meza moja na Putin hata kama ni rais wa nchi.
 
Good evening friends
Yaani Ukraine imesema hakuna ADS inayoweza kuzui kh-22 missiles [emoji635][emoji635][emoji91][emoji91][emoji91]




View attachment 2484854View attachment 2484859
Ingawa nakumbuka kuna taarifa ilisambaa kwamba Ukraine wametungua Kh-22 missile kumbe hawakua na AD yenye capability ya kuitungua hiyo missile ilikua uzushi tu.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
@kp kipanya44 my young brother, una shida gani ndugu yangu? Unakaza mno bila sababu. Ukraine ina wakati mgumu ndugu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…