Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hivi kwa sasa sehemu nyingine kuna ama uasi katika nchi za uarAbuni ni wapi
 
Supa-pawa anafanya uwekezaji wa muda mrefu.

Al Jazeera
Russia offers free sperm freezing to soldiers sent to Ukraine

3 weeks ago

===================
Supa-pawa ameona mbali Sana....'if you fail to plan, you plan to fail"...hapa Kuna la kujifunza.

T14 Armata MK254 dudus Jackal HIMARS Axel Lloyd
 
🤝🤝🤝🤝👏👏👏👏
👍Jamaa ni mjuaji sana ,kwa mawazo yake,na wapo wanaomuamini,hawaamdiki chochote bila kumtag.
Anaandika mamaboengi sana ,ukisoma unagundua ni chuki TU.
 

Mkuu, Putin alikuwa na plan moja tu nayo ni kukomboa South east na South West ya majimbo ya Ukraine yenye majority ya ethnic Russians ambao walikuwa wanakuwa brutalized by Kiev Regime kwa muda - mpaka vita inanza Feb mwaka jana ethic Russian in Ukraine walisha uwawa 14,000 lakini hakuna Serikali hata moja ya magharibi iliwahi ku-condemn ukatiri huo hata siku moja!!

Sasa Zelensky na mataifa walipo panga final solution ya kuwamaliza ethnic Russian kwenye majimbo ya kusini mashariki mwa Ukraine - walipanga vile vile kuishambulia Crimea na kuiteka moja kwa moja - luckily enough Russians got wind of what NATO/US and Zelensky were planning ndio maana wakawawahi by pre emptive strike kutoka kwa jeshi la anga la Urusi wakaharibu ndege zote za kivita zilizo kuwa uwanjani mwa Kiev.

Msafara wa 64Km wa maghari ya kijeshi ya Urusi, hiyo ilikuwa danganya toto ya kuwaghiribu jeshi la Ukraine wadhani kwamba jeshi la Urusi lina mpango wa kuuteka mji wa Kiev hivyo Zelensky aka-panic kwa kudhani jeshi la Russia lina mpango wa kuukalia mji wa Kiev na kumuondoa Zelensky madarakani - kumbe huo ilikuwa ni Decoy tu ya kuchezea akili majenerali wa Ukraine ili wahamishe majeshi kutoka kusini mashariki na kuyaleta Kiev ku defend mji wa Kiev, thereby kupunguza nguvu za jeshi lilokuwa limejipanga vilivyo wakishirikiana na some troops wa NATO/US kujaribu kukomboa majimbo ya kusini mashariki yaliyo kuwa yametekwa kaliwa na ethnic Russia ambao waliokuwa/wamepania kujitenga na brutal regime ya Zelensky - Zelensky and his masters planned to wipe out ethnic Russians from Ukraine as a final solution - akili za Zelensky na wafadhili wake wa west notably the US hazina tofauti na akili za enzi za utawala wa KINAZI (Hitler) zilizo kuwa zinawahusu kuwamaliza Wayahudi wote huko Ujerumani na Ulaya mashariki!!

Wala mimi sishangai, after all Zelensky is a clown, mtu unategemea nini kutoka kwa binadamu ambaye ni a comedian by default- maigizo tu 24X7, unajua vizuri kwamba jeshi lake halina uwezo wowote wa kuishinda Russia kijeshi - lakini wapi bwana!! Yupo yupo tu anapuyanga akiamini mataifa ya magharibi yatamsaidia kuigeuzia kibao Urusi - vigumu sana kumwelewa.
 
All over the map

Unasoma hadi katikati alaf unajiuliza anazungumzia nini!? Unarudi unaanza upya tena na tena

Mtu anaandika kbs Putin hampendi fulani anampenda fulani. How do you know that!?
Huyu jamaa hua yupo Kila sehemu,yupo Kremlin,yupo red square,yupo white house,yupo pentagon.
Anajua silaha zote duniani,ubora wa Kila silaha.kila unalolijia wewe yeye analijua na usilolijua wewe yeye tayari analijua ila ukisoma maandiko yake ndo utajua ni mtu wa aina Gani.
 
Mkuu, kuna watu ukipanga nao hoja ni kama vile unaongea na ng'ombe. Hamna chochote waachoweza kubadilika hata uwafundishe vipi.

Dawa ni kuwapuuza
 
Mtu akianza kununua jeneza anakuwa anajua wazi tu kwamba mauti yake hayako mbali..,hiki ndicho anachofanya Putin. ,Anawaandalia mazingira askari wake wanaopelekwa huko field maana anajua wazi uwezekano wa kurudi nyumbani kwa askari wake wakiwa hai ni mdogo sana,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Pingeni hoja zake kwa hoja, sio kutuhumu watu kuwa 'wajuaji' (kisa mnatofautiana mtazamo) wakati hata nyie mna nafasi ya 'kujua/kufahamu' mambo mengi mkitaka.
 
Umenisikitisha sana,,,Ni wewe huyu au mwingine?
 
Nadhani tusimsikile Genaral wa UK tumsikilize yeye kwasababu anajua mengi zaidi.
 
Aisee uzi tu Russia ameshinda tena kwa knock out utasemaje isiwezekane katika uwanja wa Vita.

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

Bravo Russia. [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kupeleka misaada ya silaha wazi wazi ni uoga na kujificha ?
Rafiki yangu Proved ,kabla ya mgogoro huu nilikua nakuona kama mtu unaelewa mambo kwa haraka sana.
Ila kwa michango Yako humu unaonekana ni mtu tofauti kabisa.
Rafiki Iko hivi?
Nilishakueleza vizuri huko juu,hata hivyo Sasa hivi ntaeleza kwa mtindo mwingine.

NATO sio umoja wa kutoa michango ya silaha kwa nchi wanayotaka kuisaidia,bali NATO huingia vitani kamili kwa kuingiza wanajeshi wake ambao wengi wako west Europe na wengine huongezwa kutoka nchi wanachama pale inapohitajika.

Sasa kwa kuangalia body language TU ya NATO ni kwamba wameipenda sana Ukraine na hata kufanya Kila mbinu ili ijiunge na NATO sema Urusi imekua ikitibua.

Sasa nchi wanayoipenda kwa kiwango hicho Leo hii imevamiwa na inapigwa Hadi kumegwa ardhi yake.
Tena inapigwa na nchi adui ambae ndiyo aliepelekea kuundwa kwa NATO.
Kumbuka NATO haikuumdwa kwa ajili ya kujihami dhidi ya Africa,Asia, South Amerika wala middle east.
NATO iliundwa kwa ajili ya Urusi.

Leo hii Kwa mapenzi waliyonayo NATO kwa Ukraine kwa mara ya kwanza NATO safari hii hawajatumia jeshi lake kamili Bali wanachangishana silaha,Tena kwa masharti ya silaha zisizoweza kufika ndani kabisa ya Urusi. Umeona hiyo?

NATO wan jeshi kamili la askari wa miguu,wakiwa na silaha zote,wan jeshi la anga na Majini.

Kwa huruma walioonesha juu ya Ukraine ilikua ndio muda Sasa wa kuingia jeshi lote la NATO na kumsaidia Ukraine. Zaidi ya hapo wanamuogopa Urusi kubali kataa.

Rais wa USA kaka mkubwa wa NATO aliiambia Dunia safari hii hatutapeleka jeshi Ukraine kwa sababu safari hii tunadili na moja kati ya jeshi kubwa sana hapa ulimwenguni.
Urusi sio mtandao wa kigaidi.
Hapa ni kama kusema sisi USA tumezoea kudili na vijitaasisi vidogo kama Al-qaida,Isis na nk.

Kwa hiyo kupeleka silaha kwa mtindo wa kuchangishana,NATO wanashiriki vita hii kwa uoga na kujifichaficha.

Sio utamaduni wa NATO na sio kawaida ya NATO.
Ukisema Ukraine sio mwanachama wa NATO majibu unayo kua NATO walishazipigania nchi ambazo sio hata wanachama wa NATO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…