Hiyo inaitwa one rat at a timeIla battle wanayopigana ni ya kikatili sana! Hii battle ya kusafisha mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba ni battle ngumu mnoo! Sidhani kama wamagharibi wangeiweza hii battle!
Weka na ramani hapo ya nchi zote zinazokasaidia hako kanchi unakokaita kadogo!Unadhani kangekuwa kenyewe si kangekuwa kameshamezwa!Russia ni nchi kubwa wakati anatolewa kamasi na kataifa kadogo hambako hakafiki hata size ya mkoa wake??
Hizi ngonjera mtaendelea kutuimbia Hadi lini??View attachment 2485748
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mi wanajichekesha hao jamaa yani uhalisia uko lakini wanajifanya vipofu.Source:Kyiv[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Common sense is not so common, is it!?Ukiambiwa hata wewe mwenyewe usome hapa huwezi jielewa. Umeandika:
"Kwa hiyo Kh ikitumwa ikapige kwa mkapa inaenda 'kuangukia' temeke. Yaani Missile ikikosa shabaha inaenda kuanguka sehemu nyingine na sio 'kupiga' sehemu nyingine!?"
Ndio umeuliza nini hivyo?
Ukraine hawajajiumbua, wametoa taarifa sahihi na clarification. Haya mambo huwezi yaelewa kama unaamini kwenye nguvu za superpower ambaye last week alitangaza kuharibu silaha ambazo hazijafika hata Ukraine.
Hizo missiles zilizokuwa zinapiga playground ndio walizielekeza hivyo. Hata kama hujui, si utumie common sense?
Unataka kusema Russia ni ngumbaru kupiga uwanja wa kuchezea watoto? Yani superpower ana makombora ya kupigia viwanja vya watoto vikiwa na majani pekee ila anaacha military facilities?View attachment 2485161
Niambie nchi Moja iliyowqhi kwenda vitani na kuwa na Zero casualties!!!Tumieni ubongo,huwezi kujua ni askari gani atakufa vitani hivyo ni vema kila askari akapewa fursa ya kuendeleza ukoo!Mtu akianza kununua jeneza anakuwa anajua wazi tu kwamba mauti yake hayako mbali..,hiki ndicho anachofanya Putin. ,Anawaandalia mazingira askari wake wanaopelekwa huko field maana anajua wazi uwezekano wa kurudi nyumbani kwa askari wake wakiwa hai ni mdogo sana,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Siwezi kusema habari haieleweki kama sikuisoma! Au wewe unaweza!? Nimeisoma yote lkn sikupata kuelewa chochote. Na tena nimesoma mara mbili lkn wapi. Umegusa kila kitu kwa wakati mmoja hakuna mtiririko. Usikasirike sasa ukiambiwa ulichokiandika hakieleweki. Uliandika ili tusome tuelewe tumesoma hatujaelewa tueleweshe.Umejuaje nataka kufikisha ujumbe mmoja?
Una uhakika nimepanga shaghala baghala. What if hujaelewa au umekaza kichwa. Na mbona umejua kutoa summary tena kwa mtiririko, hata kuficha unafiki umeshindwa. Shaghala baghala ila umejua ku-summarize.
Unauliza what's my point na umesoma mwanzo mwisho. Si ungeachia njiani sasa, umesoma na hujaelewa unauliza nikueleweshe kwa voice note au video?
Kama hujui hiyo ndiyo taarifa yako sasa. Tena sio Prigozhin, hata Kadyrov haziivi. Hata pro-Russian channels zinasema, hata bloggers wenu maarufu wanasema. Telegram channels kibao hizo taarifa zipo. Unataka ushahidi tafuta
Kila changamoto ina namna yake ya kuitatua kulingana na ukubwa wake au madhara yake, suluhisho la tatizo A haliwezi kulingana na suluhisho la tatizo B.Rafiki yangu Proved ,kabla ya mgogoro huu nilikua nakuona kama mtu unaelewa mambo kwa haraka sana.
Ila kwa michango Yako humu unaonekana ni mtu tofauti kabisa.
Rafiki Iko hivi?
Nilishakueleza vizuri huko juu,hata hivyo Sasa hivi ntaeleza kwa mtindo mwingine.
NATO sio umoja wa kutoa michango ya silaha kwa nchi wanayotaka kuisaidia,bali NATO huingia vitani kamili kwa kuingiza wanajeshi wake ambao wengi wako west Europe na wengine huongezwa kutoka nchi wanachama pale inapohitajika.
Sasa kwa kuangalia body language TU ya NATO ni kwamba wameipenda sana Ukraine na hata kufanya Kila mbinu ili ijiunge na NATO sema Urusi imekua ikitibua.
Sasa nchi wanayoipenda kwa kiwango hicho Leo hii imevamiwa na inapigwa Hadi kumegwa ardhi yake.
Tena inapigwa na nchi adui ambae ndiyo aliepelekea kuundwa kwa NATO.
Kumbuka NATO haikuumdwa kwa ajili ya kujihami dhidi ya Africa,Asia, South Amerika wala middle east.
NATO iliundwa kwa ajili ya Urusi.
Leo hii Kwa mapenzi waliyonayo NATO kwa Ukraine kwa mara ya kwanza NATO safari hii hawajatumia jeshi lake kamili Bali wanachangishana silaha,Tena kwa masharti ya silaha zisizoweza kufika ndani kabisa ya Urusi. Umeona hiyo?
NATO wan jeshi kamili la askari wa miguu,wakiwa na silaha zote,wan jeshi la anga na Majini.
Kwa huruma walioonesha juu ya Ukraine ilikua ndio muda Sasa wa kuingia jeshi lote la NATO na kumsaidia Ukraine. Zaidi ya hapo wanamuogopa Urusi kubali kataa.
Rais wa USA kaka mkubwa wa NATO aliiambia Dunia safari hii hatutapeleka jeshi Ukraine kwa sababu safari hii tunadili na moja kati ya jeshi kubwa sana hapa ulimwenguni.
Urusi sio mtandao wa kigaidi.
Hapa ni kama kusema sisi USA tumezoea kudili na vijitaasisi vidogo kama Al-qaida,Isis na nk.
Kwa hiyo kupeleka silaha kwa mtindo wa kuchangishana,NATO wanashiriki vita hii kwa uoga na kujifichaficha.
Sio utamaduni wa NATO na sio kawaida ya NATO.
Ukisema Ukraine sio mwanachama wa NATO majibu unayo kua NATO walishazipigania nchi ambazo sio hata wanachama wa NATO.
Bado kwenye comment nyingine unamuita Urusi super pawa wa mchongo!Unakuwa umejizima data makusudi ama?Kila changamoto ina namna yake ya kuitatua kulingana na ukubwa wake au madhara yake, suluhisho la tatizo A haliwezi kulingana na suluhisho la tatizo B.
Urusi nI nchi kubwa sana tofauti na Yugoslavia au Libya, isitoshe inamiliki pia silaha hatari za nyuklia (tena kwa maelfu), kuishambulia hii nchi ni hatari mno kwa amani na usalama wa dunia....hivyo lazima itumike njia nyingine kushugulika nao kama vikwazo vikali vya kiuchumi, kuifukuza uanachama kwenye mashirika mbalimbali (mfano Uefa), kutaifisha mali zake na mali za maafisa wake na pia kusaidia kwa hali na mali upande anaopigana nao ili kumdhoofisha ikiwezekana ashindwe kabisa, hicho ndicho kinachofanyika kwa Sasa.
Kutamani NATO kushambulia Urusi ni kulazimisha suluhisho la tatizo A litumike kutatua tatizo B kwa hoja kuwa yote ni matatizo tu, wakati yametofautiana athari na madhara, hilo haliwezekani.
Huyo mwingereza wako na mafunzo ni kama mwalimu tu wa shule ya msingi ana Baki palepale mwanafunzi anaenda kuwa profesa (Urusi)Mwaka 1982 Uingereza ilitembelea kilomita 13,000 kutoka kwake kwenda pwani ya Argentina kupigana vita ya Falklands. Argentina wakiwa na ndege za kisasa kipindi kile kutoka France, Super Etendard ambazo hazikuwa hata na miaka 10 tangu zianze kutengenezwa. Argentina wakiwa na one of the best anti ship missiles zile Exocet za Ufaransa hadi leo zinatumika.
Uingereza ilitumia wiki 10 kumaliza vita. Jeshi lake lilivuka maji 13,000km na likashinda. Russia ina miezi 11 inapigana na jirani ambaye hata wanajeshi wake ikiamua wavuke mpaka kwa kuruka kichura wanaweza.
Uzuri wa UK huwa inaprove wrong wanaojifanya wajuaji. Alikuwepo Napoleon Bonaparte, ego kubwa maradufu kupita Putin. Alikuwa anajua hapigiki, basi dharau za kutosha, ikaja Battle of Waterloo kamanda Mwingereza mmoja smart akamtimua Napoleon na kuikomboa Spain, Portugal na kuiepusha Ulaya nzima. Unahisi ni mchezo nchi nane (8) kumpa rank ya Field Marshall Duke Arthur Wellesley, ana batons za Field Marshal nchi zote hizo wakati Field Marshal wengine wana baton moja ya jeshi lao. Tukianza kutaja vyeo vyake alivyopata kihalali tutakesha.
Second World War pale Hitler alijua Britain ni dhaifu. Operation Sea Lion ilifeli hakuna meli ya Ujerumani ilivuka kufika Britain, ikaja The Blitz, ikaja Battle of Britain. Pote uko Nazi Germany ikaangukia pua. Kisha Hitler akaamua avamie nchi dhaifu nyinginezo, akapiga Operation Barbarossa kuitafuta USSR.
Ukweli mchungu msiotaka kuambiwa, Britain ndio ilitangaza vita dhidi ya Ujerumani baada ya uvamizi wa Poland. USSR na Stalin wake walikuwa na non-aggresion pact na Ujerumani maarufu kama Molotov -RRibbentrop pact. Na Marekani ikatangaza vita dhidi ya Ujerumani. UK na USA zilikuja kukomboa mataifa dhaifu ambayo Ujerumani ilivamia na kunyanyasa. Britain na UK wangeamua kuufyata ila sio utamaduni wao, na hata sasa utaratibu ni uleule kwenye Ukraine hii. Hujatuvamia sisi ila cha moto utakipata.
Kuidharau Britain ni kujifurahisha tu. Mjenzi mwenyewe wa Russian Navy ya kwanza kabisa aliacha nchi akaenda kupiga kambi Uingereza akajifunza kuunda meli. Bila Uingereza, Russia melivita sijui ingezijulia wapi. Peter the Great, one of the best Russian Tsars in history aliufyata pale London akapigwa shule jinsi ya kufanya navigation baharini na kuunda meli. Russia ilikuwa na maji mengi haijui kufanya navigation, shukuruni Waingereza ebo!
Sasa unavyomuitaga super power wa mchongo unakuwaga umejizima Data au umevuta sigara bwege!!?Kila changamoto ina namna yake ya kuitatua kulingana na ukubwa wake au madhara yake, suluhisho la tatizo A haliwezi kulingana na suluhisho la tatizo B.
Urusi nI nchi kubwa sana tofauti na Yugoslavia au Libya, isitoshe inamiliki pia silaha hatari za nyuklia (tena kwa maelfu), kuishambulia hii nchi ni hatari mno kwa amani na usalama wa dunia....hivyo lazima itumike njia nyingine kushugulika nao kama vikwazo vikali vya kiuchumi, kuifukuza uanachama kwenye mashirika mbalimbali (mfano Uefa), kutaifisha mali zake na mali za maafisa wake na pia kusaidia kwa hali na mali upande anaopigana nao ili kumdhoofisha ikiwezekana ashindwe kabisa, hicho ndicho kinachofanyika kwa Sasa.
Kutamani NATO kushambulia Urusi ni kulazimisha suluhisho la tatizo A litumike kutatua tatizo B kwa hoja kuwa yote ni matatizo tu, wakati yametofautiana athari na madhara, hilo haliwezekani.
Jikite kuchambua silaha tu haya mengine unajionyeasha tu jinsi Gani ulivyo TABULA RASA.... Empty mind....Taliban gani iliishinda Uingereza. Sasa Russia haiwezi kuipiga Ukraine hao NATO itawaweza wapi
Russia ni dubwana kubwa kama mbuyu unaweza kuuzunguka lakini KUUKUMBATIA NI MTIHANI.... NATO wanazunguka tu hawewezi KUUKUMBATIATushangae wote MKUU
Kuna watu wanaiona RUSSIA kama kenya au uganda
Ila wanasahau kama RUSSIA ni DUDE fulani kuubwa sana hapa DUNIANI kwenye angle zote KISIASA KIUCHUMI KIJESHI nk
Ila tuyaheshimu maoni yao MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmhhh hpo kwl hakuna maswala ya ujasusi kwl maana ha ni viongoz wakubwa na tension iliyopo kwa Sasa kl kitu kinafanyika kwa umakin mkubwa Sana huyo itakua ameuawa na warusi Sasa zele inabid ajipange Sana mdayc mrefu na yy atauwa
Duh unawatisha wenzio Wataharishiana bure!!!Mmmhhh hpo kwl hakuna maswala ya ujasusi kwl maana ha ni viongoz wakubwa na tension iliyopo kwa Sasa kl kitu kinafanyika kwa umakin mkubwa Sana huyo itakua ameuawa na warusi Sasa zele inabid ajipange Sana mdayc mrefu na yy atauwa
Well said, wafanye kama Russia alivyofanya. Russia ni kidume bana tuache masiharaMwenzao RUSSIA alipeleka jeshi kabisa kule SYRIA nakasema ASSAD haondoki nampaka leo yupo
Nawao wapeleke jeshi kama alivyofanya RUSSIA pale SYRIA
Laa sivyo woga tu kama woga wengine
Sent using Jamii Forums mobile app