Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Lavrov: -
Turkey stands for the normalization of relations with Syria and asked for the assistance of the Russian Federation in this, contacts are being prepared in this area;

- The Russian Federation will not run after the USA with proposals "let's be friends".
 
Mmmhhh hpo kwl hakuna maswala ya ujasusi kwl maana ha ni viongoz wakubwa na tension iliyopo kwa Sasa kl kitu kinafanyika kwa umakin mkubwa Sana huyo itakua ameuawa na warusi Sasa zele inabid ajipange Sana mdayc mrefu na yy atauwa
Nyie warusi wa buza ni siku chache tu zilizopita mlikuwa mnalalamika kuhusu kila jambo BAYA au ajali inayotokea huko urusi kuhusishwa na vita ya Ukraine.., naona Sasa mnaanza kurudia matapishi yenu[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ingekuwa ni waziri wa mambo ya ndani wa Russia na hao senior officials ndio wamekumbwa na hiyo dhoruba,Pro NATO humu kelele zenu sipati picha!Hata waliokimbia Uzi wangerudi!
 

Mkuu usije kujisumbua tena kumjibu huyo jamaa,kitambo tu nilishamgundua kwamba HAJIELEWI ila anapenda kuonekana ANAJUA SANA,nikampotezea
 
NATO hawana budi kupeleka jeshi huko Ukraine.., comedian zelensiky tu anatosha kumtoa kamasi super pawer,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unajua Kiswahili kweli?
"Hawanabudi" maana yake " Inawabidi au inawalazimu". Sentensi yako mwishoni inaonesha haiwabidi maana Senselessky anatosha.

Nimeona sehemu zingine unaandika " hambao" badala ya "ambao" nikajua level ya ufahamu wako nikakupotezea.

Hujui ulitendalo
 
Unasema haya wakati unajua kabisa huyo unayemdharau keshateka vyumba vinne kwenye nyumba yako na kuviita kuwa vya kwake na hauna uwezo wa kumtoa na kila siku unalilia kupewa silaha!
Na yupo anakula upepo kwenye bustani yako bila kisahau kuwa kalala na mkeo tayari we unabaki kusema jamaa mwenyewe kitandan ni mbovu sana hajui kitu
 
Alafu unaambiwa hii ni SMO na sio Vita kamili...

lee van cliff Elungata
Hii vita inaenda kuwa kubwa, ni world war 3 in slow motion,, Russia hatakubali kushindwa,, hii ni existential threat kwa Russia na kwa US pia,,
Endapo Russia atashindwa, ile nchi itamegwa vipande vidogo vidogo,, nchi za magharibi wanazimezea mate rasilimali za Russia,, hivyo Russia hawezi kukubali,
Kwa upande mwingine, US akishindwa hii proxy war,, ndio itakua mwisho wa US kama super power,,
Hii maana yake hii vita, inakwenda kua vita kuu,, na ndo itakuwa vita mwisho kuu katika generation yetu,, 😂🙆🏻‍♀️
We are furked big time, whichever way🤷🏾‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…