Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Ndio maana hua nakwambia taarifa zako za mchongo,eti vifaru vipya 2000 aina ya T-90M [emoji23][emoji23]. Unavijua vifaru 2000 wewe?!

Hata ukichukua jumla ya vifaru vyote (T-90M) vya Urusi kabla ya Vita na baada sidhani kama vinazidi vifaru 1000 wewe unaleta fix za vifaru vipya 2000. Leta link bhas tukajisomee wenyewe
 
Kama Urusi ilikua haitaki kuiteka Kiev wale paratroopers na Spetsnaz walioshuka pale Kiev na kutaka kuiteka Antonov airport pale Hostomel ili kuhakikisha ndege za Urusi zinatua walifata nini Kiev,kwanini hawakushukia kule Donbass?!

Vitu vingine mkubaligi tu kwamba bwana mkubwa alitaka kuikamata Kiev ila baada ya kichapo heavy akaamua kubadili gia angani na kusema kwamba anaenda Kusini mwa nchi!
 
Nauliza,SMO imekwisha?Plans za Russia wanajua wenyewe!Mwisho wa hii SMO ndio tutajua,Je alisema kweli aliposema Hizo 4 regions zitakuwa Russia forever au ni mikwara tu!
 
Na ndio maana sasa Russis imemteua Gen Gerasimov, Chairman of Joint Chiefs of Staff, ku handle hii SMO.

Hii inaenda kuwa vita kamili.
 
Wewe huoni kama unatuletea taharifa za mchongo hapa?? Ficha aibu yako!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Miongoni mwa wasio jitambua umo acha nikupe ufahamu kwa vitendo.

Hiyo picha ulie ileta ya PUTIN kua ananyongwa umeitoa kwenye chanzo kipi cha habari ?

Alafu mimi nikupe video kabisa ya huyo marehemu wako au unataka kubisha kua hajafa maana akili zako unazijua mwenyewe.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
H
Hakika tena wsvge pro-ukraine wajizime data ila Zerozensk ataita maji mma tena sio kupitia Putin Bali haohao wanajeshi wake maana Kuna karibia ya mia ya baadhi ya wanajeshi wa ukraine wamegoma kupigana na Urusi na wamemwambia jokeri Zelensky "we are coming for you." Yani mambo ni mperampera yani mukide mukide
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…