Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hujachoka tu.


Miezi miwili iliyopita nakumbuka ulileta Ramani hapa kwamba Bakhmut imezungukwa. Kumbe ilikua bado[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Miezi miwili iliyopita ulileta Ramani Marinka imebebwa,wakati mapigano mpaka Leo yanaendelea [emoji23][emoji23].

Shekhe uwe unatulizana bhas
 
[emoji298]The US is ready to help Ukraine target Crimea and strike on the peninsula, even if such a move increases the risk of escalation - The New York Times.

 
Kama walishindwa kurusha hata risasi pale Cuba warusi wakiwepo leo hii eti wawasaidie Ukraine kuchukua Crimea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].wawasaidie kwanza kupunguza spidi ya warusi wasiendelee kuchukua maeneo zaidi.

Yani mtoto unataka kumfundisha gawanya wakati hata kuhesabu namba ajui[emoji23][emoji23][emoji23].

Ebu tuletee habari zinazoeleweka.unachukua habari sijui kwa mateja wenzako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawa ndio allies wa Russia [emoji23]

[emoji298]️"For us, Crimea is Ukraine, the Donbas is Ukraine - and it will remain so. We have said from the very beginning that we cannot and will not support Russia's invasion of Ukraine", – Serbian President Aleksandar Vucic in an interview with Bloomberg.
 
Ndiyo marinka ilichukuliwa ila vikosi vya Ukraine vikajitutumua Warusi wakarudi nyuma, sasa ivi wamepelekewa moto wenyewe mpaka wameachia tena mji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Hakuna njia nyingine zaidi ya kumuomba Putin msamaha
 
19. “Appear weak when you are strong, and strong when you are weak.” – Sun Tzu
 
Ndiyo marinka ilichukuliwa ila vikosi vya Ukraine vikajitutumua Warusi wakarudi nyuma, sasa ivi wamepelekewa moto wenyewe mpaka wameachia tena mji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Hakuna njia nyingine zaidi ya kumuomba Putin msamaha
Hahahaha we jamaa bhana[emoji23][emoji23]

Vipi na safari ya Lyman imeishia wapi maana hii ulitupostia mwanzoni mwa January na sasa January inakaribia kuisha
 
Kuna mfano niliwapa hapa Kijana wangu Kp aelewe. Mwenye watu alfu MOJA na mwenye mia mbili .KILA Upande ukipoteza watu kumi KWA siku nani atashindwa vita?
 
Hahahaha we jamaa bhana[emoji23][emoji23]

Vipi na safari ya Lyman imeishia wapi maana hii ulitupostia mwanzoni mwa January na sasa January inakaribia kuishaView attachment 2487854
Muda utaongea tu we kuwa mpole wakati wake utafika tu.kuna uwezekano wa asilimia 90 mji utazungukwa kama wasipoamua kutoa vikosi vyao maana supply ishakuwa ngumu kwenye uwo mji
 
Dua na sara za vikosi vya Ukraine zipo kwenye kijiji cha Krasnoe.kikichukuliwa na warusi basi vikosi vya Ukraine watabidi kufanya sara ya toba mapema sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 

Mbona Povu Shekhe[emoji23].

Hiyo Crimea kama kuchapwa mbona ishachapwa mara kibao na hatujaona Ile Judgement Day aliyoahidi yule mvuta bangi wenu Madvedev [emoji23] sasa subirini Ukraine ipewe Long Range missile kitakachotokea hapo Crimea.

Yani Ukraine isiyokua na long range missiles mmesihindwa ndo mtaweza mziki wa NATO

Mvuta bangi wenu na Leo tena anatishia nyuklia utafikiri wanazo Peke Yao

Medvedev warned #NATO that the defeat of #Russia in #Ukraine could trigger a nuclear war. Read the full story: jpost.com/breaking-news/…
 
Hii inatisha mkuu na inadhihirisha uwezo mkubwa wa urusi just imagine shells zote hizo zinapigwa kuelekea russia na jamaa wanakuja tu they keep coming like nothing is happening to them
Kweli urusi sio zimbabwe
 
Hao NATO unaowazungumzia ni tofauti na wale ninaowajua mimi[emoji23][emoji23][emoji23]


Warusi walichukua uwanja wa ndege wa kosovo kwa nguvu, vikosi vya Nato vilipofika karibu na uwanja vikacholewa mstari mwekundu(ukivuka tu unachezea[emoji23][emoji23])

Mbona awakuanzisha vita kama kweli NATO wanajiweza kwa Warusi.nashangaa wewe unawasemea[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…