Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ah wabongo nimewavulia kofia,,, yani mnajua kulikoni hata hao raia wa nchi zao tajwa hapo😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wabongo nyoko!!!
 
R-77 haikai kwenye internal bay, you are proving my point. Na sio lazima ndege iliyo stealth ikae kwenye stealth configuration. Kuna muda wanaweza waondoe ile skin ya nje au waweke pods kubeba missiles. Hii hapa F-35C ikiwa na missiles nje
 
Yani kitendo cha Marekani na Ujerumani kukataa kutuma vifaru vyao kwa Ukraine ni aibu kubwa sana na wameonyesha madhaifu kwa Warusi.

Kwa hali hii Ukraine muda sio mrefu atakubali tu matakwa ya Warusi maana hana jinsi
Wanarushiana mipira Germany anasema atatuma vifaru baada ya USA kutuma vyake maana yeye ndio ana interest zaidi huko Ukraine,USA nae anasema msaada wa vifaru kwenda Ukraine haitegemei na ni aanze.
 
Vifaru vipya vya Russia ni tudogodogo wanapanda wawili tu. SASA abraham wanapanda 12 inamaana kuna faida kubwa ukilipiga hypesonic
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]USA NI MAPUMBAVUU KWELI UNAPELEKA MKIFARU KAMA NYUMBA KWENYE VITA VYA HIGH TECH...Mrusi anavyo vifaru vipo kama ist vidogo tena avitumii binadamu bado ajavitumia
 
Kitu kibaya zaidi hizo slaa zote wanaziunda zije kutumika Africa na Nchi za kiarabu.wazungu wapumbavu sana
 
Yani hawa west kujichangisha Tank mpya 300 tu kwa ajili ya Ukraine imekuwa inshu.ivi kweli wapo serious kuwasaidia Ukraine kuwatoa Warusi kama wanavyosema au wapo kwa ajili ya kumchelewesha mrusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunaweza tukasema anataka kumchelewesha mrusi kumbe Urusi mwenyewe kapanga hiyo operation iishi baada ya 5 yrs
 
France anataka kuwe na jeshi lisiloshirikisha USA,wanaona ni kama vile jeshi la NATO linakuwa controlled na USA.UK kama unavyojua ni mke mdogo na puppet wa USA kazi yake ni kuharibu mipango yote ya Ulaya.
 
Warusi tu maana tumewazoea sana ndugu zetu[emoji23][emoji23][emoji23].wanasababisha mpaka jukwaa linapoa.

Warusi tubishane hata habari za simba na yanga.tuachane na hii vita[emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi warusi tunapiga stori ila ikitokea kazi basi stori tunauwa kwanza ili tumalize kazi...

Sasa kazi hakuna kwanini tusipige tu stori za mademu zetu wa west.?

URAAAA 🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺
 
Hofu yangu ni kuwa hii operation sijui itaishaje!? Kwa sababu imebeba mustakabali mkubwa sana wa mabwana wakubwa wa dunia.

Sina shida kwamba Russia atashinda ila sijajua West watalikabili vipi hili!
West wanasema kwamba, Russia kushinda hii vita kuna negative effects kubwa sana kwao. Na hii negative effects ndio ile President Trump aliyosemaga kwamba "NATO is becoming brain dead"

Kama Ukraine akikubali kuwa neutral na ikawa hivyo...je ni nchi gani ya ulaya itakubali tena kuleta chokochoko na Russia ili ije iharibiwe kama ilivyofanywa Ukraine? Jibu ni hakuna.

Kwa hiyo NATO inawezekana ikakosa kuwa na maana tena.
 
Kwa hiyo umu ndani nyie Ukraine ndo mmekufa wote au sioni apdate zozote kutoka huko hata za Magumashi. Ah mnatuaibisha bhana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wana mgomo hawajalipwa stahiki zao za kueneza fake news kwa wiki sasa.

Hata manager wao Kipanya ameshusha silaha chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…